kuuawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Satoh Hirosh

    Maisha ya Temeke: Uhuni, defender za polisi hadi kunusurika kuuawa kisa mwanamke

    Hii ni series ya matukio yaliyotokea miaka ya 2010-2013. Ni mtiririko wa matukio ya ujasiri,kushangaza,kufurahisha na kusikitisha. Maisha ya watoto wa Temeke. Miaka hii ilikuwa ndiyo mwisho mwisho wa uhuni uliokithiri wa watoto wa Temeke. Bhangi,wizi,mauaji, kukimbizana na defender za polisi...
  2. H

    Kila Aliyekuwa Mbunge Aulizwe Alifanya Nini Kuhusiana Na Watu Waliokuwa Wakimkosoa Rais, Kutekwa Na Kuuawa?

    Kimsingi kila mbunge ana wajibu wa kitaifa na wa kijimbo, lakini katika majukumu yake yote hayo mawili, yeye anastahili kuwa mwakilishi wa maslahi ya wananchi. Tumeshuhudia mambo ya ajabu katika Bunge hili la Tulia, ambapo wabunge wote, kazi yao kubwa ilikuwa kumsifia Rais na Serikali dhidi ya...
  3. Mstahiki Mea

    Benjamin Netanyahu: Kumuua kiongozi wa juu wa Iran ndio kutamaliza mzozo

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema haondoi uwezekano wa kumuua kiongozi wa juu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, akisema hiyo ndio namna ya kuumaliza mzozo baina ya Israel na Iran ambao ni mahasimu wakubwa. Netanyahu amesema hayo kwenye mahojiano na kituo cha utangazaji cha ABC News...
  4. Mto wa mbu

    Je, kwanini wanaotekwa, kuuawa, kuumizwa, kesi za uongo,kulawitiwa na kurekodiwa video za uchi ni WA Tanganyika tu?

    Hali hii inatisha sana. Vitendo hivyo vya kishenzi vinavyofanywa na serikali ya Samia ,vinawalenga watanganyika. Sijaisikia mzazibar hata mmoja aliyetekwa, kuumizwa, kubakwa, kulawitiwa na kurekodiwa video za uchi. Swali why matendo hayo yanawakuta watanganyika tu?
  5. Fbn

    Uchunguzi wa mauaji ya Mbunge Ong'ondo Were aliyepigwa risasi na kuuawa Nairobi wamepatikana haraka ila wa Lissu ulishatupiliwa mbali

    Kuna zidi kunuka huko kenya inasemekana kuna wabunge wanahusika.Ila kwetu itelejensia ni CCM. https://www.youtube.com/watch?v=_rM8NExBTGw Mbunge Ong’ondo Were alipata majeraha matano ya risasi, huku risasi zikiharibu viungo muhimu vya mwili wake kama vile moyo, mapafu, ini na mshipa wa aorta na...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Harakati za Daudi kuwania Ufalme zinatupa Somo gani katika Siasa na namna ya kuepa Kuuawa?

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli kabisa Hakuna ufalme au utawala usiotoka kwa Mungu. Huo utawala haupo. Hata watawala wenyewe wanajua Jambo Hilo kutokana na maisha Yao walikotoka na walipo hivi Leo. Niliwahi msikiliza Magufuli na pia Rais Samia mwenyewe alishawahi kukiri kuwa hakuwa...
  7. S

    Kenya isilinganishwe na Tanzania, Rais anaweza kuuawa kama Panya? Uganda na Rwanda ni nchi za kujifunzia. Kenya ilikuwa ya Moi

    Kuna wapumbavu wanalinganisha great nation na Kenya, ni aibu. Watanzania jifunzeni kdg, historia ya nchi yetu tofauti kabisa na Kenya. Sisi msimamo wetu kuiokoa Afrika wakati wakenya walikuwa wanainjoy mali za waingereza. Two different things. Nchi yetu ardhi ni mali ya serikali. Km wakenya...
  8. Roving Journalist

    LHRC: Tukio la Emmanuel Lucas kuuawa kwa kupigwa risasi na Askari Magereza (Mara), uchunguzi ufanyike na Haki ipatikane

    Dar es Salaam, 02 Aprili 2025. Jana tarehe 01 Aprili 2025, LHRC ilipokea taarifa za kuuawa kwa mwananchi mmoja aitwae Emmanuel Lucas Mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa Kijiji cha Kisangura Wilaya ya Serengeti mkoa wa Mara kilichosababishwa na askari wa Jeshi la Magereza Sijali William Hence na...
  9. Setfree

    Mtumishi wa Mungu anusurika kuuawa kwa bomu

    Jana asubuhi, Alexandra, Mtumishi wa Mungu katika jiji la Kiev, Ukraine, alinusurika kuuawa kwa bomu lililodondoshwa na drone ya Urusi, juu ya nyumba aliyokuwa amelala. Mlipuko wa bomu hilo uliiteketeza nyumba hiyo kwa sekunde chache tu. Kwa njia inayoonekana wazi kabisa kuwa ni muujiza wa...
  10. Stuxnet

    Maiti ya Polisi wa Kenya yadhalilishwa baada ya kuuawa na gangs wa Haiti

    Chanzo: https://x.com/Darrenvickmell/status/1904837433637695607?t=D_cvUfRD4yeI98DSPU1TtA&s=19 Huku William Ruto akiwa ameficha commission yake aliyopewa baada ya kukubali kupeleka Polisi nchini Haiti, haya ndiyo yanaendelea.
  11. Setfree

    Mchungaji apata kipigo, anusurika kuuawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

    Mji wote ulizizima! Mchungaji mashuhuri, anayeheshimika kwa mahubiri yake makali ya utakatifu, alijikuta kwenye kashfa nzito baada ya kufumaniwa na mke wa mtu. Tukio hilo la kushtua lilitokea katika mji mmoja huko Mashariki ya Kati, na chanzo chetu cha kuaminika kimedokeza kuwa Mchungaji huyo...
  12. Bams

    Marekani kuendelea kushambulia Houthis wa Yemen, Houthi wakiri kuuawa kwa Watu wao 53. Marekani yadungua Drones 11 za Houthi

    Baada ya shambulio la tarehe 15 March 2025 la ndege za Marekani dhidi ya wapiganaji wa Houthi huko Yemen, na kusababisha vifo vya watu 53, na mamia kujeruhiwa, tarehe 11 March, wapiganaji wa Houthi walirusha drones 11 na kombora 1. Drones 11 zote zilidunguliwa kabla ya kuzifikia meli za...
  13. Just Pray

    Mwenyekiti Jumuiya ya wazazi CCM Ileje adaiwa kuuawa

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Chitete wilayani Ileje, mkoani Songwe, Harison Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na watu wasiojulikana. Mwenyekiti wa kijiji, hicho Joseph Mwashitete amesema tukio hilo lilitokea jana Jumatano Machi 12...
  14. W

    Kundi la watu wachache linapofanikiwa kupitiliza husababisha chuki na wivu, haya ni matukio yaliyopelekea kuuawa, kufukuzwa, kubaguliwa

    Katika historia ya dunia, kumekuwa na matukio ambapo makundi ya watu wachache yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa kijamii, kisiasa, kielimu, kiuchumi, n.k. Hali hii mara nyingi imepelekea chuki kutoka kwenye kundi kubwa na hatimaye mauaji ya kimbari (genocide), kuwafukuza, n.k. Aidha, wachache hawa...
  15. GRAMAA

    Maandamano ya kuchukua fomu makamanda wanajitokeza lakini maandamano ya kupinga kuuawa na kitekwa kwa watu makamanda hawaonekani!

    Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA. Eti ebu wewe mwenyewe fikiria. Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja aliyejitokeza wote walichimba docho! Soma Pia: Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA...
  16. Waufukweni

    LGE2024 Amos Makalla: CCM ina makada sita waliopigwa Mapanga na Kuuawa

    Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo vya kupigwa na kuuawa.
  17. Allen Kilewella

    Kuuawa, kutekwa, kupotea na kushambuliwa kwa viongozi wa CHADEMA, kunaashiria nini?

    Wakati huu Leo tarehe 27/11/2024 ninapoandika hapa, tayari CHADEMA wametoka taarifa za kuuawa kwa wanachama wao wawili. CHADEMA wameripoti kuwa kwenye Kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni aliyekuwa mgombea wao kwenye kitongoji kinachoitwa "Stendi" amepigwa risasi na kufariki. Lakini pia CHADEMA...
  18. Mtoa Taarifa

    LGE2024 Kada wa CHADEMA - Tunduma adaiwa kushambuliwa na kuuawa na Green Guard

    Taarifa iliyotolewa na Mwanachana wa CHADEMA, Hilda Newton imeeleza kuwa kada wa chama hicho katika mji wa Tunduma, Steve Chalamila amevamiwa nyumbani kwake na kuuawa na wanaodaiwa kuwa Green Guard. Amendika kupitia mtandao wa X "tumepata msiba mkubwa Kamanda wetu Stivu Chalamila ameuwawa...
  19. J

    Mitume wa Mwanzo Walivyoteswa na Kuuawa

    Mitume wa Mwanzo Walivyoteswa na Kuuawa Petro Mtume Petro alikuwa kiongozi wa kanisa la kikristo. Alikuwa ni mvuvi kabla Yesu hajamteua kuwa mwanafunzi wake. Aliuawa huko ROMA, ITALIA. Alipata adhabu ya kifo cha msalaba. Ila, yeye alisulubiwa tofauti na Yesu Kkristo. Kusulubiwa kwa Petro...
  20. Wakusoma 12

    Sheria iliyopitishwa na bunge inayowaruhusu maafisa usalama kutenda jinai na wasihojiwe ndiyo inatuletea matukio haya ya watu kuuawa na kutekwa.

    Very painful Karne ya ishirini na moja unaruhusu binadamu mwenziyo kuuawa na kuteswa kwa kisingizio Cha kutekeleza majukumu. Nani asiyejua Kuna bahati mbaya na ndiyo maana kwenye makosa ya mauaji yapo ya kukusudia na Yale ya kutokusudia. Sasa inakuwaje bunge letu, Baraza la mawaziri pamoja na...
Back
Top Bottom