kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Full Time: NBC PL | Azam FC 0-0 Yanga SC | Mkapa Stadium | 15/03/2026

    Timu ya soka ya Azam leo inaikaribisha timu ya Yanga kwrnye mechi ya NBC PL kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
  2. R

    Kila kesi ni Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi

    Ndiyo mwendo na siyo coincidence, ni deliberate move from the so called judiciary! Takataka
  3. ELI COHEN

    Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?

    Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?
  4. kimsboy

    Kwa madudu ya Epstein files, bado unaamini Israel ni taifa teule?

    Kwa ule uchafu wa Epstein's file bado kuna mjinga anaamini Waisrael ndo taifa teule? Jeffrey Epstein ni mteule? Trump ni mteule? Netanyahu ni mteule? Cha kufurahisha hizo files hakuna Kiongozi wa Iran hata mmoja, hayupo Saddam wala Gadafi, Wala Putin Wala Xi jinping, wala Maduro wala Fidel...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Sifa kuu tano za Mtu Maskini au utakuwa Maskini

    SIFA KUU TANO ZA MTU MASKINI AU UTAKUWA MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Umaskini ni kama nguo. Yes ni Vazi ambalo mtu huamua kulivaa au pengine huweza kuvalishwa. Lakini asilimia kubwa ni vazi ambalo MTU huamua mwenyewe kulivaa. 2. Maskini ana sifa zake ambazo humtambulisha na...
  6. Mohamed Said

    Wayahudi Waliohifadhiwa Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili Vya Dunia Wasiuliwe na Hitler

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8
  7. Mohamed Said

    Wayahudi Waliohifadhiwa Ndani ya Msikiti Mkuu wa Paris Vita Kuu Vya Pili

    https://youtu.be/Z1r0OuKrUN8?si=vmE4Ph5dSZivJ_JO
  8. kavulata

    Demokrasia ni lango kuu la migogoro Afrika, hakuna nchi imenufaika

    Demokrasia na haki inaanzia majumbani kwenye ngazi ya famila, inalelewa mashuleni, inakomalia vyuoni na kuanza kutumika Ikulu, taasisi za serikali, mahakamani na bungeni. Juzi niligombana sana na mke wangu kwasabu alimpiga sana mtoto wetu wa miezi 8 eti kwa mujimu wa yeye alitenda kosa la...
  9. appoh

    Maandamano yajayo siku kuu ya iddi yatafanikiwa kama yatafanyika hivi

    Maanadamano ya tarehe 29 yalikua na mwitikio mkubwa sababu ya urahis wake wa kukutana location zilikua familia na hazina barrier yoyote huitaji pesa wala gharama yoyote maandamano ya disember yalifeli sababu location ilikua ni moja kwa mkui wa mkoa ili kufika kwa mkuu wa mkoa kulikua na barier...
  10. E

    Mahakama Kuu Zanzibar yatupa maombi ya wagombea ACT Wazalendo, wafugua kesi upya

    Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu kuchomaaukuharibu nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Uamuzi huo umetokana na hoja ya...
  11. M

    Maisha yanaenda speed sana, Leo hii Simba ni wa kuvimba na kujisifu kwa kuinyanyasa timu inayoshika mkia ligi kuu ?

    Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya. Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
  12. kavulata

    Stendi kuu ya Magufuli sio rafiki, ni laana kwa wasafiri na wasafirishaji jijini

    Inaonekena kuwa ujenzi wa stendi ya mabasi ya magufuli jijini Dar ilijengwa bila kuwashirikisha wadau. Haizingatii desturi, mazoea, utamaduni, uchumi na utaratibu wa wadau. Ninapotaka kusafiri kwenda au kutoka mikoani hofu yangu kuu ni nitafikaje au nitatokaje stendi ya Magufuli, maana hakuna...
  13. N

    KERO Mitaa ya Mbagala Kuu tuna kero ya takataka, ni zaidi ya miezi mitatu hakuna gari la taka

    Kero ya matakataka Mitaa ya Mbagala Kuu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hakuna gari la taka lilopita mtaani kwetu. Matakataka yamezagaa na ukizingatia sehemu za wazi ambazo Watoto wanacheza, Serikali ya Mtaa haijachukua maamuzi yoyote. Ni hatari kwa afya. Maeneo ya Mbagala Kuu ni Mitaa ya Mbagala...
  14. MakinikiA

    Benki Kuu ya Tanzania kukusanya Dhahabu za Dola Bilioni 2, wajiona wamefanikiwa sana; Russia wamekusanya Dola Bilioni 402 lakini hawajauza – Tafakari

    Russian gold reserves break record The country’s bullion holdings were valued at $402.7 billion as of early February The value of Russia’s gold reserves has reached an all-time high, exceeding the $400 billion mark, according to statistics released by the country’s central bank on Friday...
  15. Roving Journalist

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya yaadhimisha Siku ya Sheria, yasisitiza utoaji Haki na Ufanisi wa usikilizaji mashauri

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeadhimisha Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Mahakama Kuu, ambapo Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Joachim Tiganga, amesema kuwa wajibu wao wa kikatiba ni kutoa haki kwa wananchi na kwamba wameendelea kuutekeleza kwa kusikiliza mashauri na migogoro mbalimbali...
  16. jamaikatz

    Sifa kuu za mtu maskini ni zipi ?

    Sifa kuu za mtu maskini ni zipi ?
  17. Allen Kilewella

    Dhahabu yetu iko chini ya CCM ama Benki kuu?

    Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu? Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu? Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa...
  18. K

    Benki Kuu inafisha ukweli? ‘Kusawazisha mizani’ ndiyo nini?

    Bank kuu sio kijiweni kuna utaalamu wa kufanya mambo. Hakuna kitu kama kusawazisha mizani yaani bank kuu inanunua gold sasa kusawazisha mizani maana yake ni nini? wanajua kabisa wanaeleza vitu ambavyo havipo kwa lengo ya kuuza gold bila watanzania kujua idadi maalumu na bila kukubali wanauza...
  19. MakinikiA

    Marekani anaficha lengo lake kuu ,lengo la Marekani ni dolla vs yuan ya China

    Dunia inayumbishwa na Marekani ,yaani Marekani akicheka au akikohoa dunia inaitika namuu,kwa hiyo anachofanya Marekani ni kudhoofisha Yuan ya china isipate nguvu na mvuto ,yaani Dolla ndio iwe na mvuto duniani. Leo Nawapa siri za ndani ni hivi katika dunia hii Noti ya kimataifa ni DOLLA...
Back
Top Bottom