Bill Cooper alikuwa mwanaharakati na mwandishi maarufu kwa kazi yake ya "Behold a Pale Horse," ambapo alijulikana kwa kuandika kuhusu nadharia mbalimbali za njama na masuala ya serikali. Katika kitabu chake, aligusia mada nyingi, ikiwa ni pamoja na mauaji ya Rais John F. Kennedy.
Cooper alidai...
25. Re-create yourself (Rebrand, ongeza huduma.)
Kufanya rebranding ni kitu kampuni kubwa nyingi duniani zinafanya mara kwa mara. Rebranding inakusaidia kuonekana mpya, na kuzuia mazoea kwa wateja.
Pia rebranding inakuaidia kubadirika na kuendana na mazingira ya technologia.
26. Keep your...
SOMO LA LEO ♌️: JINSI YA KUFUNGUA SIMU ULIYOSAHAU PASSWORD KWA KUTUMIA KOMPYUTA 💻📱
Kama umesahau password yako (Pattern, PIN, Fingerprint) usikimbilie Kariakoo unaweza kuweka sawa mwenyewe kwa kutumia kompyuta
🧰 VIFAA VINAVYOHITAJIKA
1📍Kompyuta yenye internet
2📍USB cable
3📍Simu iliyo-lock...
Friends and our Enemies,
Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake.
Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US...
Hii mada sitaki kuunganishwa mods wa JF.
Mnapenda kuhamisha mada ili kukosa nguvu ya ukweli.
Wanayofanya serikali ya Tanzania kupitia CCM ni kama akili za watu wenye upeo mdogo sana.
Wanafanya hivi ni kwamba mtandao wa X una nguvu kubwa ili mambo yao ya wasiojulikana ili wasijulikane.
Mbona...
Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class)
CapCut Course: Beginner to Advanced
🔰 Kozi hii ni kwa ajili ya:
Content creators (TikTok, Instagram, YouTube)
Wamiliki wa biashara wanaotaka kutengeneza video za matangazo
Freelancers wanaotaka kuuza huduma ya video editing
Wanafunzi au mtu yeyote...
Habari za Sabato!
Kuna Mambo yanachekesha kwa nje lakini kwa Ndani yanasikitisha Mno.
Yanavua heshima.
Mjeshi mwenye mafunzo ya kijeshi. Komando tena jasusi bobevu ATI kupigana na raia ambaye Hana mafunzo yoyote Yale.
Tena zaidi wengine hufikia hatua unampiga mtu asiye na mafunzo lakini...
📌 HATUA KWA HATUA: JINSI YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA CANVA
1. Fungua Akaunti ya Canva (Free au Pro)
Tembelea www.canva.com na fungua akaunti yako. Tumia toleo la bure kwa kuanza, lakini ukitaka templates na picha zaidi — Canva Pro ni suluhisho bora.
2. Jifunze Kuunda Designs Zinazouzwa
👉 Badala...
Mungu hutupa neema kubwa kubwa na ndogo ndogo. Neema ni kitu unapewa tu bila kukisumbukia au kukitarajia. Akupaye neema hatarajii uifanye kuwa haki na siku akitaka kuchukua hatarajii ugome bali umshukuru kwa angalau alichokupa. Pia anaweza kuamua kuongeza neema juu ya neema kwa kadiri atakavyo...
Kaingia mule mule katika Mtego wa Mafia ambao wanaona hatoshei japo wanatumia nguvu Kubwa ili atoshee.
Kama kuna ZAWADI KUBWA ambayo GENTAMYCINE nimezawadiwa na Mwenyezi Mungu basi ni ya kuwa na MAONO MAKALI ya kuweza hata KUTABIRI JAMBO, MACHALE ya HALI YA JUU na KUUSOMA VIZURI SANA MCHEZO na...
Mshiriki maarufu aliyeimba kwa kutumia kujamba (flatulence) katika kipindi cha America’s Got Talent (AGT) ni Mr. Methane. Huyu ni mchekeshaji na mcheza maigizo kutoka Uingereza anayejulikana kwa uwezo wake wa kudhibiti misuli ya njia ya haja kubwa na kutoa sauti kama muziki — yaani, “kuimba kwa...
■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT.
-Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa.
-Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa watoto wengi wenye afya njema.
-Huboresha kinga ya mwili hivyo nguruwe...
ingawa kazi ya waandishi wa habari za uchunguzi wakati mwingine inahusisha kuwasiliana na vyanzo visivyojulikana kwa taarifa zilizofichwa au hata kufanya kazi kwa siri, nyuzi za habari kuu mara nyingi hupatikana katika vyanzo vya wazi vinavyopatikana kwa kila mtu. Kwa sababu hii, "web scraping"...
Serikali ya Chama cha mapindinduzi imekiri ya kuwa inatumia vyombo vya dola kuteka, kushambulia pamoja na kuua.
Ni ngumu kushinda uchaguzi, ndio maana wote wanaikosoa serikali na chama tunawashughulikia haraka iwezekanavyo.
Msidhani kama kuna hatua zitakazochukuliwa, mtasubiri sana hata hili la...
Tarehe rasmi ya mchezo ilikuwa 8, Busara zikatumika kumkimbia Pacome, Sasa mnalazimisha Busara isitumike kumpatia Yanga haki yake na kumlazimisha kucheza hiyo June 😀 Mna akili timamu kweli? Kateni hizo alama shusheni hata Ligi ya Mkoa HATUCHEZI!
Semguto, Jaribu tena na Karia watacheza 🤝
Wakuu nimeona mtandaoni jambo la kushangaza kidogo nikaona niwashirikishe ili tupeane uzoefu. Majuzi huko Insta niliona body builder mmoja wa Kenya akisema hutumia viagra kabla ya kuingia Gym ili imsaidie kuwa fit zaidi mazoezini. Mwenyewe anasema hakuna madhara kwa upande wake.
Binafsi...
Watu wengi siku hizi wanakimbilia bei nafuu bila kujiuliza kuhusu ubora wa bidhaa wanazoweka kwenye magari yao. Ukiambiwa brake pads ni elfu 30 badala ya elfu 80, unafurahi haraka bila kujua kuwa hiyo elfu 30 inaweza kukupeleka kwenye ajali. Siyo kila kilicho rahisi ni cha heri. Spare parts feki...