kutosha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ATCL yafilisika rasmi, haina ndege za kutosha baada ya ndege tatu kukamatwa. Wanaghairisha safari bila taarifa

    ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika...
  2. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Halotel nimewavumulia vya kutosha, kwaherini

    Niliwaamini Sana niliwavumilia Sana. Najua nikiangalia salio nimechangia kampuni yenu na vinatosha. Narudi nyumbani. Inatisha, nimekuwa nikununua airtime tena via halopesa, nimefanya hivyo kw mtindo wa si chini ya 8-9000 Kwa siku..... Kwa mwezi mzima haipungui 9000*30 =270,000 Kwa uchache...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ulaya ‘haina nguvu za kutosha’ kukabiliana na tishio la Urussi – Finland

    Nchi za Magharibi zinapaswa kuimarisha ulinzi huku mzozo wa Ukraine ukiendelea, Waziri Mkuu Sanna Marin amependekeza Nchi za Ulaya zingekuwa katika hatari sasa kama isingekuwa kwa Marekani kubeba jukuu katika mzozo wa Ukraine, Waziri Mkuu wa Finland Sanna Marin alidai Ijumaa. Pia aliwataka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Phiri ni zaidi ya Mayele, Phiri ni winga ila anagoli za kutosha

    Kuna watu wanadiriki kumfananisha Mayele na Jenerali Phiri, Mayele ni mshambuliaji na Phiri ni winga. Phiri kupambana na Mayele kwa idadi ya goli ni heshima sana kwake.
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ile nchi ya kusadikika itakuwa imeuza vya kutosha majenereta kutokana na zoezi linavyoendeshwa, wameamua kutoa kadogo kama asante

    Nchi ya kusadikika imesikika ikitoa msaada kwa nchi fulani hivi ya kwenye uso wa Dunia ukizingatia hakuna cha bure lakini yote kwa yote watakuwa wanenufaika na yanayoendelea katika nchi ya kisiwa cha wami ambayo iko pande hivi za Dunia Wagawiaji wamenufaika na mikakati yao ya kuiweka Ile nchi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro imejaa barafu ya kutosha

    Tofauti na wanasayansi wanavyotabiri barafu Inaendelea kuwa nyingi Kwenye mlima Kilimanjaro
  7. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya ghorofa Arusha yenye uwanja wa kutosha

    Habari wakuu. Natafuta nyumba ya kununua iwe na ghorofa moja hapa Arusha na iwe na uwanja wa kutosha angalau nusu eka.
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025 tutegemee drama za kutosha

    Kuna maswali wanajiuliza wananchi kuhusiana na kucharuka kwa wabuge wa Bunge la CCM kwenye kikao kinachoendelea huko Dodoma. Napenda kuwakumbusha kwamba tusiwe wasahaulifu sana tukidhani wanaongea kwa maslahi ya nchi. Tujikite kwenye msingi wa hoja zao hasa kuchunguza vyanzo vya hizo hasira...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ulaya wana gesi ya kutosha kabisa tofauti na walivyotegemea

    Bara la Ulaya sasa lina akiba kubwa sana ya gesi asilia tofauti na walivyotegemea hapo awali kufuatia kutiliwa ngumu na Russia ambayo imekuwa ikilipiza kisasi cha kuwekewa vikwazo na nchi za magharibi kwa kitendo chake cha kuivamia taifa la Ukraine...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wengine wanasema miradi ya gesi na mafuta inachelewa sana kwasababu hatuna wataalamu wa kutosha wa kujadili mikataba ya gesi na mafuta

    Moja ya tatizo linalokumba taifa letu ni kuchelewa kwa miradi ya gesi na mafuta. Majadiliano yamekua yakichukua muda mrefu sana. Labda pengine changamoto imekua kwenye kuelewana na kuridhiana vile vifungu vilivyowekwa kwenye mikataba hiyo. Watu wengi wameweza kusema kuchelewa kwa miradi ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally tafadhali kama huna Taarifa za Kutosha kuhusu Ujio wa Manzoki acha Kututamanisha nae Mitandaoni Kwako

    Kila ukihojiwa na Media Outlets mbalimbali kuhusu Ujio wa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki unaruka Kimanga na Kukanusha Ujio wake, ila katika Social Media Platforms zako kila mara unafanya Teasing ( Unatutamanisha ) kuwa anakuja au utamtangaza muda Wowote. Ama ubaki na Kauli yako kuwa haji au...
  12. May Day

    JamiiForums Tanzania Tunalalmika njaa, ukame, ukosefu wa mvua ili hali Mkaa unapatikana wa kutosha, kuni zipo tele, Yadi zimejaa mbao za kila aina.

    Imeandikwa "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"...na ndio kinachoendelea kwa sasa. Kuna wakati ukijaribu ku imagine huyu Mungu anatuchukuliaje ni ngumu sana kupata jibu. Tunachojaribu kumfanyia Mungu kwa sasa ni kama Mtu usikie kilio kikali cha Mtoto ndani alafu ukiingia unamkuta kaweka...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kukosa usingizi wa kutosha hupelekea kupungua kwa Nguvu za Kiume

    KUKOSA usingizi wa kutosha kunaweza kusababisha kufifia kwa nguvu za kiume. Madaktari wanasema kuwa mwanaume anachukuliwa kuwa amepata usingizi wa kutosha usiku iwapo atalala kwa kati ya saa saba na tisa. Hata hivyo, watu wengi huwa hawazingatii muda huo kutokana na aina ya kazi wanazofanya au...
  14. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Posho walipandisha mara 2 sababu zinawahusu wao, mishahara wakaongeza kiduchu kama danganya toto.

    Kuna mambo yako wazi sana wala hayahitaji rocket science kujua kwamba hawa wanasiasa wamejifavor wao, ukitumia hesabu za kawaida kabisa unaona lengo lilikuwa kujilipa vizuri wao na sio watumishi wa umma. Watumishi ambao wanalipwa kima cha chini nchi hii ni wachache sana, hata wale wa daraja la...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 5 mbele naiona Yanga SC ikiwa klabu yenye misuli ya kutosha kiuchumi

    Katika maeneo ambayo yanga wamefanikiwa kuset msimu huu ni kwenye management, klabu yoyote ikiwa na management goigoi lazima mambo mengi yatakwama, Matunda ya mafanikio ndani na nje ya uwanja ya klabu yanaanzia kwenye management. Kikosi cha uongozi kilichoko yanga kwa sasa kina kiu kubwa sana...
  16. Madjeshi

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wananchi wamepata elimu ya kutosha kuhusu sensa ya watu na makazi, kwa maendeleo?

    Sensa ya Watu na Makazi inatarajiwa kufanyika Agosti 23 mwaka huu kote nchini, wengi tunaamini na kufahamu Sensa ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu. Bila shaka kuna baadhi ya watu hawajatambua umuhimu wa Sensa katika taifa letu la Tanzania licha ya zoezi hilo kuwasaidia Wananchi hao na...
  17. Tatamobitch

    JamiiForums Tanzania Usitumie hela nyingi kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa.. weka stock ya kutosha.

    Kwa Tanzania hasa kwenye miji mikubwa hili limekuwa tatizo kubwa. Wafanyabiashara wadogo tena wanaoanza biashara utakuta wanatumia hela nyingi za mtaji kuwekeza kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa anazouza. Vijana wengi hasa kwenye biashara ya nguo wamejikuta wanafunga biashara zao chini...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

    Leo nimehudhuria msiba wa waluguru nimeona mambo ya kushangaza naomba mnisaidie maelezo. Mtu amefia nyumbani kwake tena chumbani kwake anapolala na mke wake. Sasa kwakuwa marehemu ni muislam wameamua kupitia mila ya waluguru kumuosha mwili wake mulemule chumbani. Kilichotokea wamechimba shimo...
  19. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania CCM bado inao researchers wenye weledi wa kutosha?

    Sina uhakika kama hiki chama kinachojinasibu kuwa dola kinajitizama ila simple research yangu mitandaoni na mtaani mnaenda down the hill kwa speed ya mwanga hasa huduma kwenye ofice za umma . Rushwa ,hali ya uchumi wa watu, serikali kurejuvinate kwenye stage ilokwisha kataliwa huko nyuma , in...
  20. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Imeandikwa muishi nao kwa akili, akili ya kwanza hii hapa jinsi ya kuishi na wanawake

    Habari wakuu Mwanamke kama namtongoza akiniuliza una mpenzi au mke ?? Nitamjibu kwa kujiamini kabisa ndio nina mke. Watu wengi wanadhani wakisema wanamke basi watakataliwa. Lakini majibu ni kinyume chake Hebu tutumie mfano wa duka lenye wateja wengi na lisilo na wateja, Duka lenye wateja...
Back
Top Bottom