kutokana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Man Utd ya 2008 Vs Man City ya 2023 | Nani angeibuka na ushindi kutokana na ubora wa vikosi vyao?

    Chukulia vikosi vote katika ubora wake, Man Utd iliyoshinda Uefa Champions League 2008 Vs Man City iliyoshinda UCL 2023 nani angeibuka na ushindi?
  2. JamiiForums Tanzania Kariakoo derby ya U20 ya yayeyuka kutokana na Yanga kutosajili

    Ilikua zikutane leo Simba U20 na Yanga U20 Ila Simba wamegoma kuingia uwanjani kutokana na Yanga kutumia wachezaji ambao hawakusajiliwa. Nisikuchoshe kiufupi Yanga hawana mchezaji waliemsajili kutumikia u20 kwa msimu huu.
  3. JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo Tanzania itaenda kuwa na watu wenye msongo mkali wa mawazo kutokana na madeni

    Ili kuwepo na ustawi ni lazima nchi ikuze hali ya uchumi wa watu wake. Purchasing power lazima iongezeke. Kinyume na hapo ni stress na madeni. Leo kuna viwanja vinauzwa kwa mkopo, kuna wafanyabiashara wanakopesha zana za ujenzi kwa riba, kuna magari ya mkopo na hamna kipato cha uhakika...
  4. JamiiForums Tanzania Usijifunze kutokana na ajali

    Habari zenu wana jf...leo nmependa kuja kitofauti kidogo, katika harakati za msoto hapa na pale nmeona wengi tunapitia changamoto nyingi mno lakini ukweli ni kwamba msaada wako ni WEWE MWENYEWE. Katika safari ya maisha, tunakutana na changamoto za kila aina. Zipo nyakati tunazungukwa na giza...
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi letu lijifunze kutokana na vita ya Ukraine na sasa huko Israel/Hamas

    Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi. Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979, jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera. Kimsingi baada ya vita ile...
  6. JamiiForums Tanzania Watu Milioni 40 wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na migogoro barani Afrika

    Kwa muongo wa pili mfululizo, idadi ya Waafrika wanaolazimika kuyahama makazi yao imeshuhudiwa kuongezeka, sasa ikiwa na jumla ya zaidi ya watu milioni 40. Ongezeko hili la hivi karibuni linajumuisha watu wengine 3.2 milioni waliolazimika kuhama kutokana na migogoro katika kipindi cha mwaka...
  7. JamiiForums Tanzania Wangapi wametumbuliwa na kushitakiwa kutokana na Ripoti ya CAG 2022?

    Habari wakuu, Hii ripoti ilisababisha mvutano mkubwa na mpaka wanaojitambua kutaka kulazimisha bunge kuijadili kabla ya muda wake. Hivi wale walichezea pesa zetu, kodi zetu kwa maslahi yao na familia zao wamechukuliwa hatua gani? Au ni siri na hatupaswi kufahamu? Tuliambiwa tusubiri bunge la...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo cha Ushirka Moshi (MoCU) level ya Diploma kushindwa kufanya udahili kutokana na kucheleweshwa kwa matokeo ya supplementary

    Uongozi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) umechelewesha kutoa matokea ya supplementary kwa wanafunzi wa level ya Diploma na pia kutuma matokeo hayo NACTE kwa ajili ya utambuzi, Hivyo kusababisha zaidi ya wanafunzi 200 kushindwa kufanya maombi ya elimu (Degree) kwa mwaka wa masomo 2023...
  9. JamiiForums Tanzania Mamlaka ziweke matuta barabarani Tegeta Kibaoni, kuna matukio mengi ya ajali kutokana na mwendokasi wa magari

    Barabara ya Tegeta Kibaoni mpaka Mbezi kupitia Madale Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kutokea mtukio ya ajali, kuna baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na ajali hizo. Tatizo zaidi lipo hasa kipande cha kuanzia Wazo Kontena hadi Flamingo, magari yanakimbia kwa kasi sana, tunaomba...
  10. JamiiForums Tanzania Iringa: Kina cha Maji Bwawa la Mtera chapungua na kuathiri uzalishaji Umeme

    Kina cha maji cha Bwawa la Mtera, Mkoani Iringa kimepungua na hivyo kupunguza Uzalishaji wa umeme kutoka megawati 80 mpaka 72. Hayo yamebainika leo Septemba 9, 2023 baada ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kutembelea bwawa hilo ili kuona uzalishaji wa umeme. Mwenyekiti wa Kamati...
  11. JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na maisha ya majuu kutokana na majungu ya Wabongo

    Aisee hamna watu wenye visirani, majungu, chuki na unafiki kama wabongo aisee nimekoma wakuu sio kwa msoto huu ambao wabongi wamenifanyia yaani sio poa kabisa yaani bila hawa white wabongo ambao nimetoka nao nchi moja wangenifanyia ilikuwa too much. Yaani kutokana na blessing na mafanikio...
  12. JamiiForums Tanzania Ndoa ilikufa kutokana na sababu hii

    Sina maneno mengi sana leo ila wacha niwape ukweli kuhusu kufa kwa ndoa na sababu iliyo sababisha. - Pale tu walipo ruhusu mwanamke atafute pesa kwa udi na uvumba kama mwanaume ndipo ndoa ilikufa mazima. - Pale tu walipo ruhusu usawa wa kijinsia ndipo ndoa ilijifia. - Pale tu waliopo ruhusu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya kanuni itakayotumika kuwagawia wachezaji wa Taifa Stars pesa zao kutokana na zawadi ya 500,000,000/=.

    Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila...
  14. JamiiForums Tanzania India: Watu 49 wafariki kutokana na mafuriko

    Watu 9 kati ya waliopoteza maisha wameangukiwa na majengo huku zaidi ya watu 10 wakiwa hawajulikani walipo kutokana na mvua kubwa iliyosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi. Mafuriko hayo yamesomva magari, kubomoa majengo na kuharibu madaraja katika Majimbo ya Kaskazini ya Himalaya ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna Ukweli katika hili? Tuelimishane kutokana na uzoefu

    Why watu flani huharibu pesa kwa makusudi? Nlikutana na hili jambo pia mwaka jana nlienda Mtwara kwenye Mgahawa mmoja karibia kila change waliyotaka kunipa ya note imechanwa pembeni. Nlikataa sababu sikupenda pesa ambayo imechanwa. Ila nikaja ambiwa ni mambo mambo tu ya binadamu.
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Benki ya Dunia yasitisha Mikopo Mipya ya Uganda kutokana na Sheria ya Kuzuia Mapenzi ya Jinsia Moja

    Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja. "Maono yetu ya kutokomeza umaskini yanaweza kufanikiwa ikiwa yatajumuisha kila mtu bila kujali Rangi au Jinsia, Sheria hii inadhoofisha...
  17. JamiiForums Tanzania Walimu wanajidhalilisha kutokana na yafuatayo:

    Katika uchunguzi wangu nimebaini mshahara wa Kanda ya ualimu kibongo bongo ni mkubwa kiukweli ila nikabaini mambo yafuatayo ndio yanaifanya Kanda hiyo kudharaulika katika jamii... 1.Mavazi hasa walimu wa kiume wanavaa suluari Pana za kijivu na mashati mekundu. 2.Viatu vyenyewe four angle...
  18. JamiiForums Tanzania Maeneo ambayo kwasasa ya Fursa ya Ajira kutokana na ujenzi hapa Dar

    Hizi ndio sehemu ambazo kwasasa zinafursa za ajira kwa mafundi kujenga, umeme, Rangi nk 1. KIGAMBONI, Maeneo mengi ya Kigamboni kwa Sasa yanaendelea na ujunzi wa nyumba, shule, na majengo mbalimbali, maeneo hayo ni kama ifuatavyo; Mjimwema, Kibada, Kimbiji, nk. Nakuhakikishia Fundi ujenzi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili. Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti: 1. Mwabukuzi ni mchochezi. 2. Mwabukusi...
  20. JamiiForums Tanzania Umewahi kutamani Kuhama mtaa kwasababu ya mambo ya Majirani zako?

    Kwenye kuishi tunakutana na mengi sana. Unaweza kuwa na nyumba yako kali na maisha yako safi tu ila aina ya Majirani wanaokuzunguka wakafanya uone kero ya maisha na kutamani kuondoka eneo hilo ila unashindwa kwasababu ndio ushajenga hapo. Tupe experience yako eneo unapoishi au wewe naye ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…