Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema vyombo vya habari nchini havipaswi kuwa neutral (kutokuwa na upande), bali viwe objective yaani kuwa na misimamo yenye msingi wa ukweli na uchambuzi makini.
Amesema hayo Julai 8, 2025 jijini Dar es...
https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0
General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.
Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono...
Kiwanja Kinauzwa Kibaha-Visiga(Kwa daladala Unashuka Kwa kipofu au madafu kwani kipo Kati ya vituo hivyo viwili.
Eneo la kiwanja ni Mita za mraba 408, Huduma zote muhimu zipo kama maji,Umeme, shule ya serikali na private zipo karibu na eneo.
Bei ni milion 3.7
Mawasiliano:SIM no.0658500812
Hata masikini wa kijijini kwake waliokuwa wanalalamika kurubuniwa huduma tena watakuwa wanamsimanga utafikiri wanamcheka kwa nini hakuiwaibia vya kutosha.
MENTALLITY ⚡⚡
Kiwanja Chenye eneo la Mita za mraba 408 Kinauzwa sh.Milioni 3.7
Kipo Visiga madafu(Kwa usafiri wa daradara Unashuka Kwa kipofu au madafu Kwani eneo lipo Kati ya vituo hvyo viwili) ,umbali wa km 1 kutoka Barbara kuu (Moro road).
Huduma za msingi zipo kama vile maji ya DAWASCO,Umeme,Shule ya...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei : sh 18,000/= kila moja.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh 2,000/= tu.
Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
Katika shamrashamra za maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika jijini Stockholm, Sweden, mgeni rasmi, Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri wa zamani wa Usawa na Jinsia nchini Sweden, ametoa hotuba kwa lugha ya Kiswahili fasaha na yenye mvuto.
Mhe. Nyamko, mwenye asili ya Jamhuri...
Kumbe waamuzi wetu wengi ni wapuliza filimbi sio waamuzi. Waamuzi wetu wanapuliza filimbi nyingi sana kuliko inavyosrahili.
Waamuzi wa Misri wametuonyesha kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa kutumia nguvu, hivyo sio Kila msukumano wa wachezaji unahitaji filimbi.
Filimbi nyingi zinazalisha timu...
Habari zenu Watanzania wenzangu,
Mwanzoni wakati najiunga na Jamii Forum nilitumia jina la Bheka jina hili lenye asili ya Kizulu lenye maana ya Ulinzi lakini watu wa humu wakalibadili na kuniita Bakari nilikwazika kwa kuharibiwa jina na maana na pia kupewa jinsia isiyo yangu, haya sasa...
Kwa vijana ambao ndio mnatafuta maisha basi hakikisha
usitafute mwanamke wa
kujenga naye maisha, tafuta maisha yako mwenyewe ukipata omba Mungu au shirikisha mizimu na ushirikishe akili upate mwanamke wa kujenga naye familia.
Kama wewe huwajui vzr wanawake wa kisengerema asee usioe nini shida ni hivi
Siku mkigombana afu wewe ukatoka jua ukirudi unakuta chumba cheupeeee mweee😁😁
Wanaroga sana wanaume safari za waganga haziishi.
Ugomvi kidogo anakimbilia kwao au kwa mwenyekiti utasikia unpigiwa simu baba fulani...
Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, CCM mwaka 2020.
Mwaka huu wamefika 4,109 pekee.
Nini kimejili?
Sababu zinaweza kuwa;
1. Kukosekana mvuto kwa CCM,
2. Rushwa kutamalaki,
3. Kanuni za kura za maoni kutokuwa rafiki kwa Watia nia,
4. Na kadhalika.
1.Kifo ni kifo tu.
2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse.
3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe.
4.Utekaji ni drama za wapinzani.
5.Katiba ni kijitabu tu.
6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe.
Ongezea kauli za Rais Samia...
Nawafanyia watu (natuma) maombi ya vyeti vya kuzaliwa online. Nikiwapa fomu wakienda ofisi za RITA wanapewa cheti lakini huku kwenye mfumo hakuna mabadiliko yoyote yanayoonekana
Ni kwa nini?
Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika kwenda Ulaya lakini hakuna aliyependrkeza wazo la kujenga daraja. Wakati tunaelewa Ulaya inapata malighafi nyingi kutoka Afrika na pia inapata wafanyakazi vijana kwa ujira mdogo.
Ndugu wapendwa katika Kristo,
Ni nani anayeweza kujidai kuwa na mamlaka ya pekee ya kuifahamu kweli yote ya Mungu? Ni nani anayeweza kudai kusikilizwa kwa sababu ya utakatifu wa nje, huku moyo wake ukiwa mbali na upendo wa kweli wa Kristo?
Tunasikitika na kutafakari kwa uchungu juu ya majeraha...
Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP.
Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.