kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  2. D

    Inawezekana Shule ya Serikali Kukopa Kutoka Benki? Taratibu zipoje?

    Najua humu Kuna wajuzi wengi sana waliohudumu na wanaohudumu serikalini na maeneo mengine, in fact, wakurugenzi pia wapo humu hivyo Nina Imani hoja yangu itapata mashiko na msaada wa kutosha. Inashangaza kuikuta shule Haina photocopy machine Wala printer. Haina meza nzuri Wala viti. Swali langu...
  3. Godoro kutoka mombasa kuja tanga

    Wadau niko na mattress natak iende tanga niko mombasa vip naweza kusafiri nayoo sio mpya ni ya kitamboo kidogo jeee nafanyajeee ifike tanga nikawape ndugu zangu ni godoro la 5 ×6
  4. Mbunge wa Nyatike, Kenya: “Freedom of Speech” iko Kenya pekee, ukivuka mipaka mambo yako tofauti

    "Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
  5. Watumwa kutoka Afrika Mashariki

    Watumwa wengi kutoka Tanganyika na Afrika Mashariki walipelekwa Uarabuni na Afrika Magharibi walipelekwa Marekani kusini na kazkazini kama mnavyoona hapa chini
  6. Jitu alilolichukua kutoka huko nje na kuliteua ni nani hasa?

    Mama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes. Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake...
  7. Niliyoyaona hapa JamiiForums kutoka kwa Watu aina tofauti

    Shikamooni wakubwa, Kwanza nishangae, Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki. Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao. Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea...
  8. Nimeipenda sana hii picha kutoka The Chanzo. EBU TAZAMA!

  9. GE2025 John Heche: CHADEMA haileti Wanaharakati Kutoka nje, LHRC ndio inawaleta

    CHADEMA HAILETI WANAHARAKATI KUTOKA NJE, LHRC NDIO INAWALETEA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Katika mkutano uliojaa msisimko wa kisiasa uliofanyika leo Mei 23, 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuhusu tuhuma...
  10. Hizi ndio kauli zangu pendwa kutoka kwa mshana Jr

    Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa. 01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa) 02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute. 03.kwenye maisha Kuna...
  11. UBIATANZANIA: Mliosema Bandari imeuzwa mmesikia hao walionunua wamepunguza matumizi kutoka bilioni 975 hadi bilioni 685, Tumwombe radhi Rais Samia

    Ndg zangu Watanzania, Hivi mmesikia maajabu ya Ubia (PPP) yanayotokea kule Bandarini?!! Mmesikia leo kutoa mzigo Bandarini ni siku tatu tu wala sio siku kumi (10) tena?!! Lakini sihivyo tu kwani hamjasikia leo meli hazichukui tena siku 46 ili kutia nanga Bandarini badala yake zinachukua...
  12. Je , hii ni indirect Insult kutoka kwa wakenya dhidi ya democracy ya Tanzania?

    Ukimsikiliza vema mtaalam hapo chini, utagundua anasema Kenya is far better kwenye Democracy kuliko Tanzania ambayo ipo kwenye dictatorship. Ki international Diplomacy ….hii haijakaa sawa…. He is literally insulting and questioning democracy ya Serikali ya Tanzania. Kama Taifa, kuna mahali...
  13. Ni sababu ya mimba kutoka

    Nimeona niulize kupita ukurasa huu ni kitu gani hasa kinachosababisha mimba kutoka Mods najua hii mada hii sio sehemu yake naomba muiache kwanza watu waelimike mtakuja kuhamishia kule baadae
  14. Kutoka kwa mange kimambi:CCM na kutembeza bakuri tone to tone.

    Juzi CCM walidai ile document niliyoposti ni ya uwongo ila watu wamejaribu kutuma hela kwenye account iliyokuwa kwenye barua na imetokea kweli. Lol . Hii bank account imetengenezwa special kwa ajili ya matajiri na makampuni kumwaga pesa humo na sio ombi ni amri anaegoma kuweka pesa humo...
  15. Marekani imepokea rasmi ndege kutoka Qatar itakayotumika kama Air Force One

    Sasa ni rasmi na hiyo ndege itakuwa retrofitted kabla haijaanza kutumika kumsafirisha Rais. Marekani imepokea ndege iliyokusudiwa kwa ajili ya msafara wa Air Force One kutoka Qatar — zawadi ambayo imezua ukosoaji mkubwa, hata kutoka kwa baadhi ya wafuasi wakubwa wa Rais Donald Trump. “Waziri...
  16. Kama ulizila hizi pipi enzi kwa utotoni na bado umeganda tu hapo kwenu, hutaki kutoka upewe kesi ya uhaini

    Wakuu, kama mada inavyojieleza, kuna wamba, huwezi kuamini licha ya umri kwenda bado tu wameng’ang’ana makwao wakigombea vijiko na wadogo zao. Kuna mwamba mmoja huyo, kwao zipo za kutosha. Wazazi wake walijaribu kumpushi wakampa na mtaji wa kuuza magari, wakamwambia atoke nyumba akajitafutie...
  17. MOI yapokea msaada wa endoscope kutoka Cure International

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepokea msaada wa darubini ya kisasa 'endoscope' ya upasuaji wa ubongo na mgongo kutoka kwa Shirika la Kimataifa la Cure International Limited, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha huduma za afya katika taasisi hiyo. Akizungumza wakati wa...
  18. M

    Serikali zuia Taasisi za Serikali kununua IT Specialist na Apps kutoka KENYA

    Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk. Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa. Anyway tumevuliwa...
  19. K

    Inawezekana kutoka kuwa mtumishi wa umma na kuingia Jeshini (JWTZ)?

    Habari ze wanaJF, Naomba kuuliza je ukishakuwa mtumishi wa umma na una CHQ number, je inawezekana kuomba nafasi za kujitolea kwenye jeshi la ulinzi na usalama na ukachaguliwa. Kwa story nilizoziskia ni kwamba hata ukichaguliwa baadae watakuchuja kwa sababu tayari unakuwa una CHQ number so...
  20. Upo umuhimu wa kutambua washiriki wa mikutano ya CHADEMA kwa sasa inawezekana wamejaa wanaharakati kutoka Kenya

    Vyombo vya Ulinzi visionee aibu hawa nyang'au ambao wanajidai wanajua Kingereza huku kichwani ni empty head. Kama jana waliweza kusafirishwa kwa Wingi kuja kisutu bila shaka watakuja sana au wanakuja sana kwenye mikutano inayoendelea. Kamwe wasiruhusiwe kuchafua amani na kumwaga damu Tanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…