kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maafisa Uhamiaji wa kike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini?

    Maafisa Uhamiaji wakike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini. Hili nimelionana nimeshuhudia Ma ofisini, Mipakani na Airports pia nimewasikiliza wenzangu wakizungumza pia kwamba wanawake ma Afisa uhamiaji ni wakarimu sana na wanakupokea vizuri mnazungumza kama kuna kitu hakija kaa...
  2. JamiiForums Tanzania Marioo, Mfalme wa Amapiano Bongo, Ndiye Msanii Bora kwa Sasa, Hajawahi Kutoa Wimbo Mbaya

    Ni wakati huyu kijana akapewa heshima ya pekee kunako industry ya muziki. Tangu atoe ngoma yake ya kwanza "Dar Kugumu" mwaka 2018, ameendelea kutoa hits after hits, ngoma zote ni moto wa kuotea mbali. Hebu angalia hii list ya nyimbo zake ndio utanielewa: 1. Dar Kugumu 2. Yale 3. Manyaku 4...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kutoa msaada huu kwa wahitaji?

    Nina mavazi ya kiume ya mtu mzima. Mashati, suruali, makoti, viatu, mabegi,mashuka nk Mengine yamewahi kutumika na kuna mengine hayajawai tumika. Naamini kuna watu wanauitaji wa hivi vitu kuliko mimi kuviteketeza. Kwa mwenye kufahamu namna naweza kuvifikisha kwa wahitaji. Iwe wazee, watoto nk...
  4. L

    JamiiForums Tanzania China kutoa mikopo ili kuweka ‘mtego wa madeni’ kwa Afrika ni kauli za uzushi tu

    NA PILI MWINYI Hakuna ubishi kwamba China sasa ni nchi yenye nguvu kubwa duniani. na ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani. Kwa nchi nyingi, kutoka Asia, Afrika hadi baadhi ya sehemu za Ulaya, China imekuwa mshirika muhimu na mkubwa wa kiuchumi. Mwaka 2009, China iliipindua Marekani na...
  5. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa kampuni ya simu kutoa mawasiliano binafsi ya simu kwa umma?

    Nimesikia jana kuwa kampuni moja ya simu imetoa mawasiliano ya Sabaya mahakamani. Je, hili linatoa taswira gani kwa wateja wake? Binafsi siijui sheria hivyo nawaomba wenye uelewa tujulishane.
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kwanza kutoa pesa kwa mke wake 1825. Pumzika kwa amani huko uliko

  7. JamiiForums Tanzania Kama mnajiuliza ni kwanini kila Mkoa wakienda kucheza Mechi ya Ligi Kuu wanajifanya kutoa Misaada kwa Yatima, Wajane na Wasiojiweza jibu ni hili

    Ni sehemu Kuu ya Agano la 'Kishirikina' kutoka kwa Waganga wao wa Kienyeji ( hasa yule wa kutoka Kigamboni aliyekuwa akimpa Dawa ya Mvuto wa Watanzania wote Mstaafu namba Nne wa Pwani na ambaye pia alimsaidia Kushinda Kesi mbaya ya Bandarini aliyekuwa Boss wa huko mwenye Jina la Ukoo lifananalo...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa Password katika simu ya tecno F1 bila kutumia computer

  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Asee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood. Tutafute hela wakuu.
  10. JamiiForums Tanzania DC Jokate, ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO

    TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Temeke gulio kutoa fursa adhimu kwa wadogo (wamachinga) wilaya ya Temeke

    TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga kuweza...
  12. J

    JamiiForums Tanzania TBS yaendelea kutoa elimu kwa viwango vya ubora wa bidhaa wilayani Lushoto, mkoani Tanga

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya viwango vya ubora wa bidhaa katika wilaya ya Lushoto ambapo imeweza kukutana na wafanyabiashara mbalimbali pamoja na wanafunzi na kuwahimiza kutumia bidhaa zenye ubora ili kuweza kumlinda mlaji. Akizungumza mara baada ya kutembelewa...
  13. JamiiForums Tanzania Kutoa hela UTT changamoto CRDB

    Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni. Nilikwenda kujaza fomu za UTT Benki CRDB Kwa lengo kutoa pesa yaani re purchase units. Baada ya kumaliza kujaza fomu nikaambiwa nilipie elfu 23 kwa madai kwamba ni gharama ya kumtuma fomu. Nikaelekezwa niende kwenye dirisha la teller nilipe...
  14. JamiiForums Tanzania Kumwacha jela kifungo cha mwaka kutasaidia kutoa sumu ya ulevi wa pombe?

    UPDATE: Nimepewa wazo na Mshana Jr na Daudi Mchambuzi kumuacha Polisi au mahabusu muda mrefu, Bado naendelea kupokea maoni Kuna ndugu yangu ni mlevi sana, Mara kwa mara nimelazimika kumtoa kituo cha polisi kwa kuwapa pesa za kubrashia viatu ma afande ambao tunajuana, Matatizo hayo yanatokea...
  15. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu kuacha kazi kwa kutoa notice ya mwezi mmoja?

    Wakuu kuna sehemu nataka niachie ngazi ili kupata muda wa kufanya mambo yangu mengine. Sasa wakati naplan kuondoka ningependa kujua sheria ipoje kwa upande wangu. Je baada ya kutoa notice ya mwezi mmoja nitatakiwa kufanya kazi huo mwezi bila malipo au nikitoa notice tu inatosha na huo mwezi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Maji ya kisima kutoa mafuta

    Habari za mchana! Naomba kujuzwa na wenye uelewa zaidi! Kaka yangu ana eneo huko Pwani ambapo amechimba kisima pia kwaajili ya matumizi yake ya nyumbani hapo! Sasa kumekuwa na hali ya maji hayo yakichotwa then yakalala kwenye ndoo au chombo chochote yanatoa layer ya mafuta! Je ni hali ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Mashonda (Marekani) ndio Mwanaharakati wa kwanza kutoa Kitabu Cha Talaka baada ndoa.Na kuachika, leo Ni Mpweke.

    Kitabu chake Mashonda tifrere Mwanamuziki wa kike Nchini Marekani, kimejikita zaidi katika changamoto za ndoa na jinsi ya kutuliza nafsi unapopewa Talaka ndani ya ndoa. Nimetambulisha video yenye sura yàke. Kitabu Ni Kama unavyoona kava. Nitakiwasilisha TANZANIA.
  18. JamiiForums Tanzania Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

    Hakika Rais Samia anaupepo kwelikweli | Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575bl kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70 " Hakuna kama Rais Samia " Wakati uwekezaji kwa miezi sita ya Rais Samia ukikua kwa 400% kutoka $510M March 2021 hadi $2.98bl Sept karibu...
  19. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa - 28/09/2021

    Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake. ======= Jaji: ameshaingia Sasa Kesi namba 16 Inatajwa Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kuagiza chanjo ya Covid-19 kabla ya kutoa elimu kwa raia ni matumizi mabaya(Misallocation)

    Mapokezi ya chanjo ya COVID19 nchin sio mazuri, mikoa mingi wana chanjo nyingi zimebaki na watu hawajitokezi kuchanja. Hali hii inataka nchi kujitafakari namna bora ya kuwashawishi wananchi ili wakubaliane na chanjo au waweke ulazima wa kupata chanjo hiyo kwa kuweka vikwazo mbalimbali kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…