kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakati Turkey ikiwapa "msaada" wa drones 4 Ukraine Iran inatarajiwa kutoa mamia ya drones kwa Russia

    The United States said Monday that it has intelligence indicating Iran may soon supply Russia with hundreds of unmanned aerial vehicles, including “weapons-capable” drones, to use in its war with Ukraine, a move that would underscore the growing cooperation between two American adversaries...
  2. JamiiForums Tanzania Au Mo amegoma kutoa hela za Usajili?

    Kwema? Nashindwa kuelewa huu Usajili wa timu yangu ya Simba Kwa Sasa. Performance ya timu kwa msimu ulioisha haikua nzuri, na ni ishara kua kulikua na mapengo kadhaa. Na kawaida mapengo ya timu yoyote huzibwa wakati wa Usajili. Sasa Kwa Usajili huu wa Simba sidhani kama kweli hesabu zao...
  3. JamiiForums Tanzania Mashindano ya draft Mbeya kutoa muwakilishi

    Mfumo wetu wa ligi utakuwa kama ifuatavyo 1. Ligi itakuwa ya makundi kwa maana yatakuwepo makundi ma nne kila kundi litakuwa na wachezaji wasio punguwa watano 2. Kila kundi litatoa wachezaji wa wili jumla watakuwa 8 wataenda moja kwa moja kwenye robo 3. Aina ya michezo itakayo chezwa kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Waziri anamzidi Bashungwa wa Tamisemi kwa kutoa Matamko ya Maagizo?

    Bila kuchoshana twende kwenye mada.. Haiwezi kupita siku 2 ukaacha kusikia Bashungwa katoa tamko la kuagiza sijui kutoa siku kadhaa na baada ya hapo hakuna utekelezaji.. Mh.Waziri kuna namna nyingine ya kuhakikisha mambo yanafanyika sio Matamko kila siku harafu utekelezaji hakuna.👇
  5. JamiiForums Tanzania Kaja nyumbani kwangu halafu kakaza kutoa mzigo

    Demu tulikutana kwenye mishemishe za kutafuta Door, longtime ago , japo hatukutongozana ila tulikuwa na intimacy , jana namchek kama masikhara njoo ntembelee na akaja kwel tena usiku, demu nimelala nae kitanda kimoja godoro moja ila kakaza kabisa kutoa mzigo. Anasema kila muhuni akimchakata...
  6. JamiiForums Tanzania Nakanusha: Hospitali za Umma hazipendi kutoa huduma mbovu isipokuwa majukumu yanawalemea

    Kuna mdau amelalamika sana kwamba ameenda hospitali ya Umma akakuta huduma ni mbovu na wagonjwa ni wengi sana ila watumishi wanapiga tu story mpaka wagonjwa wengine wanazidiwa mapokezi. Amedai mgonjwa anapokelewa saa mbili ila hadi saa nne hajapata huduma yoyote! Naomba nikanushe na nijibu...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama kutoa hatma ya maombi ya kina Halima Mdee Julai 6, 2022

    Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, Masijala Kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi ya Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Halima Mdee na wenzake 18 mnamo Julai 6, 2022. Wabunge hao wameomba kibali cha Mahakama ili kuwasilisha mapitio ya kimahakama wakipinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ruzuku ya mbolea shilingi Bilioni 150

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa saba wa Bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika mengi aliyoyazungumzia mimi nimefurashishwa na kitendo cha...
  9. JamiiForums Tanzania Dawa za Flagyl zatumika kiholela kuzuia, kutoa mimba

    Imebainika kuzuka kwa mbinu mpya haramu za utoaji mimba ambapo dawa zilizotengenezwa maalumu kutibu magonjwa ya aina fulani, ndizo zinazotumika kinyume kufanikisha vitendo hivyo. Hatua hiyo inakuja kutokana na baadhi ya maduka ya dawa hivi sasa kutaka vyeti vya daktari ili kuuza dawa za kutolea...
  10. JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kutoa na kupewa talaka, tujadili maisha baada ya talaka

    Habari wanabodi wenzangu, Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka. Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufanikiwa zaidi au kurudi nyuma kimaisha chanzo kikiwa ni talaka. Changamoto na faida pia hujitokeza, wengine hufikia hali kujuta kwanini...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi hamasisheni bodaboda kutoa ushirikiano kwa kukamatana pale mwenzao anapogonga au sababisha ajali

    Imekuwa ni kama kawaida sana kwa siku hizi na tokea zamani pale inapotokea mwendesha pikipiki za abilia maarufu kama bodaboda. pale inapotea bodaboda yeyote kugonga mtu au kusababisha ajari,na bodaboda huyo kutoweka kabisa na hakuna wa kumfatilia. Tatizo kuu ambalo lipo,huyu bodaboda anaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Wale mnaokurupuka kuja kutoa Kwetu taarifa za Mgonjwa Mahututi au Kifo muwe makini kwani kuna Siku tutawasindikizeni na Vipigo tu

    Kuna Mtu Kanikera mno leo asubuhi kaja haraka haraka kunipa Taarifa ya Mtu aliye Mgonjwa Mahututi huku akiniharakisha Kuvaa ili twende Zahanati ya Awali ili Kumuona na tutoe Msaada Kwake cha Kushangaza kufika pale nikakuta Maelezo yake na nilichokikuta kwa Mgonjwa Mahututi husika ni Vitu viwili...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Wasichana wengi wanaona wana haki ya kupewa Salamu na sio kutoa?

    Ivi Kwanini? Wasichana Wengi Uwa Wanajiona Wana Haki ya Kupewa Salamu na Sio Kutoa? Habarini wanajamii Forums nimekuwa na kitu kinanishangaza sana tangu utoto hadi sasa kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu , imekuwa kawaida kwa jamii ya kiafrica mvulana kumshobokea mtoto wa kike yaani...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Biden wa Marekani adondoka akiendesha baiskeli, anamuiga Rais Putin

    Huyu ni Biden alidondoka akiwa anaendesha baiskeli Huyu ni jemedari Putin akiendesha farasi
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kutoa hukumu kupinga kuondolewa Wamasai Loliondo Juni 22, 2022

    Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Juni 22/06/2022inatarajia kutoa hukumu dhidi Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania katika kesi ya mwaka 2017 iliyofunguliwa na vijiji vya Loliondo wakipinga kuondolewa katika maeneo yao. Hukumu hiyo itatolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Diwani Raibu Juma kutoa dola 5,000 kama utapata video yake akitetea Mapenzi ya Jinsia Moja

    Diwani wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Raibu Juma akiongea na Redio Moshi Fm kupitia kipindi cha Darasa mseto ameweka wazi kutoa Dollar 5000 ikiwa atapata video inayoeleza kutetea wapenzi wa jinsia moja (Ushoga) katika sherehe aliyohudhuria. "Ishu ya kuhudhuria sherehe ya wapenzi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kuboresha Vituo vya Walimu kwa lengo la kutoa fursa kwa Walimu kupata mafunzo wakiwa kazini

    Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu. Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mitaala ili kuwa na wahitimu wenye ujuzi na...
  18. JamiiForums Tanzania Tunisia; Mwandishi wa habari kizuizini kwa kutoa maoni kumhusu Rais

    Polisi nchini humo wanadaiwa kumshikilia mwanahabari Salah Atiyah kwa kutoa maoni katika mahojiano ya televisheni kwamba Rais Kais Saied alilitaka jeshi kufunga makao makuu ya chama cha wafanyakazi cha UGTT na kuwafunga viongozi wa upinzani kifungo cha nyumbani Waendesha mashtaka wa jeshi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

    Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu. Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida. Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
  20. JamiiForums Tanzania Elon Musk ailaumu Twitter kukiuka makubaliano ya kuinunua kwa kutoa maelezo kuhusu idadi ya spam na fake accounts kama alivyoomba

    Elon Musk ametuma barua ya malalamiko kwa Mkuu wa maswala ya kisheria wa Twitter akisema anaamini Twitter inakiuka merger agreement kwa kutotoa ushirikiano kuhusu idadi ya fake na spam akaunti kama alivyoomba. Wakati wa makubaliano, Twitter alidai spam na fake akaunti zipo chini ya asilimia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…