kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Niliwahi kutoa wazo kama hili kwenye mkutano wa kijiji, watu wakaishi kucheka. Sasa natoa mfano!

    Habari za wakati huu expert mwenzangu[emoji4] siku moja nitauliza ni kwanini tunaitwa "experts" isije kuwa ni maexperts wa kuandika nyuzi[emoji23][emoji119] ..mnaokaa karibu na bahari, maziwa na mito, jamani mungu awape macho, hiyo ni fursa. ninaishi sehemu ambayo upatikanaji wa maji ni...
  2. JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

    Kwangu mimi kwa lgha nyepesi Zaka ni kutoa 10% ya ulichopata kwa jasho lako kihalali kiende kubeba wenye shida, binafsi naiona ni kama kodi fair kabisa ya kuweza kuishi na kupata rizki kwenye dunia hii ambayo ina mwenye nae alieiumba. Nadhani huwa inahesabiwa zaidi unapomsaidia mtu mwenye shida...
  3. JamiiForums Tanzania Mmoja wa wagombea wa uongozi UVCCM akimwaga machozi

    Kwa kilio kile lazima alizidiwa kutoa rushwa na wenzake kwa wajumbe. Ila chama hicho jamani, da! Ajabu yanarekodiana bila hata haya ! Siku si nyingi hawa watakuja kuuana kwa mambo ya kufilisiana halafu wanabaki kuliliana kijinga namna hiyo.
  4. JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

    Je, Yanga itaendeleza ubabe wake wa kutokufungwa? Ama Ihefu watavunja mwiko? Tuungane pamoja katika huu uzi... Kikosi cha wenyeji, Ihefu SC Kikosi cha wageni, Yanga. UPDATE: MANENO YA MAKOCHA KABLA YA MECHI "Mechi ya leo inaweza kuwa ni mechi ngumu kuliko watu wanavyofikiria" Cedrick...
  5. JamiiForums Tanzania Makosa kadhaa katika kutoa Pepo (Exorcism). Mapepo/Majini hayaombewi yanafukuzwa

    Kumekuwa na sintofahamu katika namna ya kushughulikia Hawa vibaraka wa ibirisi. Mapepo Kwa aina zake. Makosa ambayo nayaona. 1: Watu wanaomba na mapepo, Tena wanapiga na Magoti na kufumba macho. Hakuna hiyo scene kwenye maandiko. Hatuombei mapepo tunayafukuza. Yakikomaa na sisi tunakomaa Hadi...
  6. JamiiForums Tanzania Malawi yaanza kutoa chanjo ya kwanza ya Malaria

    Malawi imeanza kampeni kubwa ya chanjo ya watoto wachanga dhidi ya Malaria ambayo ni kampeni ya kwanza kabisa duniani, mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Dk Neema Kimambo amesema. Chanjo ya RTS,S, kama inavyojulikana, imekuwa katika majaribio nchini Malawi, Ghana na Kenya katika...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Anaesthetist (Mtaalam wa kutoa dawa za usingizi na nusu kabuti) natafuta kazi

    Mimi nina stashahada ya juu ya utabibu (ADVANCED DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE) nilisoma Kenya Medical training centre(KMTC) nilivyorudi nikaenda Bugando medical centre (BMC) kusoma Certificate in ANAESTHESIA ,nilikuwa trained pia BASIC LIFE SUPPORT kutoka EMAT. Nina uzoefu wa miaka 2 kama...
  8. JamiiForums Tanzania Tunaisubiri kamati ya masaa 72 kutoa adhabu kali kwa mtindo waliotumia wachezaji wa Mbeya City kushangilia

    Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha. Ni mtindo ambao ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo...
  9. JamiiForums Tanzania Ulishawahi juta Mara baada ya Kutoa msaada?Tukutane hapa

    Roho za huruma huangusha wengi, japo kwa imani tunaamini tenda wema malipo yaja. Nimewahi msaidia mtu, nikabaki kupigwa majungu na niliye msaidia. Hiko hivi ni jamaa tunayejuana naye, siku alipohitajika na wakubwa kazini sikuwa karibu yake kwa kuonyesha kujali ikabidi niwaulize watu kadhaa kea...
  10. JamiiForums Tanzania Ile nchi ya kusadikika itakuwa imeuza vya kutosha majenereta kutokana na zoezi linavyoendeshwa, wameamua kutoa kadogo kama asante

    Nchi ya kusadikika imesikika ikitoa msaada kwa nchi fulani hivi ya kwenye uso wa Dunia ukizingatia hakuna cha bure lakini yote kwa yote watakuwa wanenufaika na yanayoendelea katika nchi ya kisiwa cha wami ambayo iko pande hivi za Dunia Wagawiaji wamenufaika na mikakati yao ya kuiweka Ile nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mkoa wa Pwani unaongoza kwa kutoa viongozi wa kitaifa?

    Kwema ndugu zangu. I hope kila mtu ni mzima. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mkoa wa Pwani pamoja na kwamba wenyeji wa mkoa huo wengi hawana elimu ya kutosha, lakini ndio unaoongoza kwa kutupa watanzania viongozi wakuu wa kitaifa haswa kwa upande wa ukuu wa nchi. Toka Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania EWURA yazitaka mamlaka za maji nchini kutoa taarifa sahihi za huduma ya maji na usafi wa mazingira

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) Mhandisi Modestus Lumato,akizungumza wakati wa kikao kazi cha Watendaji wa Mamlaka za Maji za Mikoa na Miradi ya Kitaifa kilicholenga kuhakiki taarifa za utendaji wa Mamlaka hizo kwa mwaka 2021/22 kilichofanyika leo...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Serikali kuingia ubia katika kutoa baadhi ya huduma

    Katika kuhakikisha kuwa baadhi ya huduma zinakuwa endelevu kama maji na umeme serikali itoe dhabuni au kuingia ubia na private entities kutoa baadhi ya huduma.. Wakati mwingine mambo yanakuwa ni mengi kwa serikali kwa kufanya hivi mzigo unaweza pungua kidogo
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Utaratibu wa kutoa takrima TANESCO

    TANESCO Hivi kama nimelipa laki 5 au 7 na ushee bado afisa anahitaji nimpe pesa ili aje kuniunganisha na huduma ninaweza tumia mbinu gani kuipata haki hii ya msingi? Kiukweli hili linachosha sana. Kuna muda unawaza umtege mtu kwa kumpa hela ya moto lakini unamuonea huruma atapoteza kibarua...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kuondoa mlio wakati wa screenshot

    Members Nina sm yangu ya Infinix nimeshindwa kutoa sauti wakati ninapo screenshot. Hio souti inayotoka ninapo screenshot inakera sana maana ni ya juu sana. Je inawezekana nikawa nachukuwa screenshot kimyakimya bila kutoa souti?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za Marekani: Democrats kampeni yao ni ya kuruhusu ushoga/LGBT na uhuru wa kutoa mimba.

    Mwanadada huyu hapa ana furaha sana mgombea wa Democratic ameshinda kwenye jimbo lake kwa hiyo anafurahia kwenye jimbo hilo kutoa mimba itakuwa ni ruhusa! Alikuwa na wasiwasi kuwa kama angeshinda mgombea wa Republican, utoaji mimba ungepigwa marufuku kwenye ji,mbo lake!! “We won!” That was...
  17. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini wajitetea kwamba hawajawahi kutoa msaada kwa Urusi

    Jameni maskini Urusi, waliokua wanampa msaada wote wanajitetea na kumkimbia, juzi Iran alijitetea sana jinsi hajamsaidia, naona Korea Kaskazini naye kachomoa..... North Korea said on Tuesday it has never had arms dealings with Russia and has no plans to do so, its state media reported, after...
  18. JamiiForums Tanzania Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

    Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho. Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote. Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe...
  19. JamiiForums Tanzania Kutoa Zawadi Kwa Mtu 'Unprofessional' Hadharani ni ku 'demoralize' wale 'Professionals’' walioko

    Hili Kosa msije mkalirudia tena kwani lina Madhara makubwa kwa Mzawadiwa na Watendaji Wahusika atakaowakuta na Ufanisi mzima kwa Maafa yajayo. Watu wenye akili wangelifanya hili kisiri Ili kutoonyesha kuwa wenye Fani yao si Mali Kitu (Watu Goi Goi) tupu ili kutomjengea Kinyongo Mzawadiwa wa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kuwaita raia waliosaidia uokozi wa ajali ya ndege na kuwashukuru kwa kazi ya kizalendo na kishujaa

    Ndugu zangu kwanza Natanguliza pole zangu za dhati Toka ndani ya moyo Wangu kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika ajari ya ndege ya Jana, Najuwa maumivu, machungu, majonzi, huzuni, simanzi waliyonayo mpaka Sasa, Najuwa wanalia mpaka Sasa, Najuwa wanabubujikwa machozi mpaka muda huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…