Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa na baadhi ya watumiaji wa mtandao wa Facebook likidai kuwa aliyekuwa Rais wa 44 wa Marekani, Barack Obama, amekamatwa baada ya Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump, kutoa amri hiyo kufuatia kile kinachoendelea Mashariki ya Kati.
Katika chapisho hilo...