kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Tuanze kufikiri namna ya kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwenye Katiba ijayo ili kutengeneza umoja na mshikamano wa kitaifa

    Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali. Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
  2. JamiiForums Tanzania Enzi za jiwe, tuliogopa kuchunguza vyeti "FEKI" kwenye majeshi yetu, kuofia kutengeneza majambazi mtaani, Nina wasi wasi huyu shahidi na yule alie kuf

    Enzi za jiwe tuliogopa kuchunguza vyeti FEKI kwenye majeshi hasa jeshi la polisi, ILA Nina wasi wasi huyu shahidi Amini Mihamba kwenye kesi inayomkabili Tundu Lissu Kuna mmoja alikuwa anesoma na mwingine alifoji vyeti. Kwa kuwa wa kwanza aliushafariki, na kwa jinsi utetezi wa huyu aliyehai...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee Said, unaforce kutengeneza tatizo ambao halipo. Tz ilijijenga katika misingi ya kuheshimiana dini zetu. Wewe ni udini ndio unakusumbua.

    Mohamed Said Unatamani sana nchi hii ingekuwa chini ya caliphate, sasa kwa kuwa misingi ya dini katika siasa iliminywa na sera za nyeerere ili isipelekee taifa kugawanyika kidini na kugeuka kuwa lebanon sasa inapelekea kukuumiza sana kwa kudanganya watu kuwa TANU na nyerere waliua historia na...
  4. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Hakuna faida yoyote ya kuwa na misitu alafu watoto wanakaa chini. Hiyo misitu tunamtunzia nani?

    Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, Julai 23, 2026 akiwa ziarani amewataka viongozi wa halmashauri na vijiji mkoani Kilimanjaro kujiongeza na kutafuta suluhu za haraka za kisekta badala ya kusubiri bajeti kuu ya serikali ili kutatua changamoto ya ukosefu wa madawati na miundombinu mashuleni...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Picha Kuwa Video kwa Kutumia AI ya Grok Imagine

    18 Julai 2026 Teknolojia ya akili bandia imefanya kazi ya kutengeneza video kuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita. Sasa hauhitaji kamera ya gharama kubwa, mwigizaji, studio au ujuzi mkubwa wa ku-edit video ili kutengeneza video fupi zinazovutia. Kwa kutumia Grok Imagine...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta product za Kutengeneza sabuni ya unga

    Wakuu habar Naomba kupata mawasiliano ya mtu au biashara inayouza ingredients za detergent powder yaani sabuni ya unga Naomba anitafute 0796210960
  7. M

    JamiiForums Tanzania 7/7 hakuna watu, Serikali imefanikiwa kuyaua maonesho kwa kutengeneza hofu isiyo na sababu, wafanyabiashara wanalia

    Serikali imefanikiwa kutengeneza hofu isiyo na sababu kwa kujaza maaskari kwenye maadhimisho ya 7/7 bila sababu ya msingi kwa kuwa maandamano yaliyopangwa hayakuwa yamesemwa kama yatakuwa ya barabarani au ya watu kulala ndani, huenda yalikua ya kulala ndio maana sehemu kubwa wamelala na kuua...
  8. JamiiForums Tanzania Kozi ya Jinsi ya Kutengeneza Simu (Mobile Repair Full Course)

    Je, unatamani kuwa fundi wa simu mwenye ujuzi wa kitaalamu au kuanzisha biashara ya ukarabati wa simu? Kozi ya Jinsi ya Kutengeneza Simu (Mobile Repair Full Course) ya ChuoSmart imeandaliwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili kukufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kutambua hitilafu za simu...
  9. JamiiForums Tanzania Kozi ya Content Creator (Full Course) – Jenga Brand Yako na Anza Kutengeneza Pesa Mtandaoni

    Je, unatamani kuwa Content Creator anayevutia maelfu ya watu na kutengeneza kipato kupitia mitandao ya kijamii? Kozi ya Content Creator (Full Course) ya ChuoSmart imeandaliwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili kukufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kuunda maudhui bora, kujenga brand yako, kuongeza...
  10. JamiiForums Tanzania Iran: kwasasa hatuna chaguo zaidi ya kutengeneza Bomu la atomiki kukabiliana na vitisho vya kijeshi dhidi ya marekani na Israeli.

    Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini. Leo kiongozi mkuu wa kidini...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukichagua biashara uwe na malengo ya kuja kutengeneza kipato kuzidi muajiriwa, ukipata chini au sawa na muajiriwa wewe ni mtumwa kuzidi muajiriwa

    Jipimie kuwazidi hawa waajiriwa wa taasisi kubwa kubwa, uweze kutengeneza angalau milioni 10 na zaidi kila mwezi, watumishi wachache sana wanavuka hapo ukiunganisha posho, mshahara na vidili. basi hio ndio iwe target yako. Watumisi hasa wa serikali wana uhakika wa misahara, posho na vidili...
  12. JamiiForums Tanzania Mwenye kutengeneza kitabu kwa jina :Hofu ya kumiliki madaraka mwisho wake.

    hapa JF tuna wajuzi wazuri.Jina la kitabu kama kichwa cha habari. Tumeona afrika nzima ili ni tatizo kubwa. Jamiiforum mnaweza kuwa ndio wahusika.Ila andiko la kitabu kuwa ilo neno.
  13. JamiiForums Tanzania Responded HOJA Utumishi PEPMIS ni bomu linaloenda kutengeneza chuki baina ya Serikali na Watumishi

    Tangu awamu ya sita ingie madarakani changamoto za Watumishi wa Umma zimekuwa zikitatuliwa kwa wakati na malalamiko yalikuwa madogo sana ila kwa sasa huu Mfumo wa PEPMIS umekuwa kama mtego wa kuwagawanya Watumishi wa Umma. 1. Utendaji kazi wake upo kwa ngazi ya mtumishi, kwenda kwa msimamizi...
  14. JamiiForums Tanzania Unataka kujifunza kutengeneza simu na kujiajiri kwa ujuzi unaohitajika sana sokoni?

    Kila siku maelfu ya simu hupata matatizo kama screen kuvunjika, kushindwa kuwaka, matatizo ya kuchaji, software errors na hitilafu za motherboard. Hii imeifanya fani ya ukarabati wa simu kuwa moja ya fursa kubwa za kujiajiri na kujipatia kipato. Mafunzo ya mobile repair kwa kawaida hujumuisha...
  15. JamiiForums Tanzania Bikra ya kutengeneza na bikra original nitaitambua vipi?

    Ndugu zangu, Kuna kabinti nili fall in lo❤️. Sasa kila nikiomba mchezo kanadai kenyewe bado, yani bikra, dah nikasema sawa. Sasa Huwa na dada angu wa mjini, si nika mpa stori akanipongeza ila akanambia nimuoneshe wifi, nikasema sawa, EEH bhana ninemuonesha TU hivi alipo MUONA akaguna mmh...
  16. JamiiForums Tanzania Kupuuza Sauti za Vijana leo ni kutengeneza mgogoro wa Taifa Kesho

    Viongozi wetu wanapaswa kuelewa jambo moja muhimu: kizazi cha sasa cha vijana si kizazi cha kuamrishwa bila kuuliza maswali. Hawa vijana wamefundishwa kuhusu demokrasia, haki za binadamu, uchaguzi huru na wa haki, utawala wa sheria, na uwajibikaji wa serikali. Hivyo wanapoona tofauti kati ya...
  17. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya mabeberu kutengeneza magonjwa Mungu anawaona. Panya kwenye meli ya kitalii wapi na wapi.

    Watu watatu wamefariki baada kushukiwa kuambukizwa virusi vya hantavirus katika meli moja ya kubeba abiria iliyokuwa ikisafiri katika bahari ya Atlantiki, hii ni kulingana na taarifa iliyotolewa na shirika la afya duniani WHO. Kisa kimoja cha hantavirus kimethibitishwa, huku visa vingine vitano...
  18. JamiiForums Tanzania Chama cha democrat kimegeuka kuwa chama cha vurugu kutokana na wao kutengeneza alliance na ideas za ukomonisti, trans fury (ushoga) na itikadi kali

    DEmocrat ya sasa sio ile ya wakina clinton na kurudi nyuma. Ni chama kilichogeuka kuwa na sera ambazo zinazopinga utamaduni wa kimagharibi. Ni chama kilichogeukia usasa wa ushetani na matakwa yasioendana na utamaduni chanya wa binadamu. Ndio maana leo tunaaona vikundi vinavyofaziliwa na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Propaganda: Baada ya kushindwa kudanganya kifo cha Netanyahu, Iran wamekuja na nyingine ya Marekani kuwalipa Dola Bilioni 6.

    Taarifa zinazosambaa kwamba Marekani imekubali kuilipa Iran dola bilioni 6 ni propaganda za zinazorejelea tukio la zamani lililotokea Septemba 2023 kipindi Biden akiwa Rais wa Marekani. Dola Bilioni 6 zilikuwa sehemu ya makubaliano ya kubadilishana na wafungwa, ambapo Marekani ilitoa ruhusa...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Video za AI Kwa Kutumia Grok AI (Super Grok)

    Teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) imebadilisha sana namna watu wanavyotengeneza maudhui ya video. Leo hii, mtu anaweza kutengeneza video za matangazo, musiki, elimu, au burudani bila kamera, bila studio, na hata bila timu kubwa ya production. Moja ya tools zinazotumiwa sana sasa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…