Kelvin John Joseph
Member
- Mar 7, 2020
- 42
- 75
Katika harakati zangu za kuhakikisha wazo langu halibaki kichwani tu, nikaanza kutafuta njia za kulifanikisha wazo hilo. Si ndo nikakutana na AI, basi bwana, nikatia nia, nikatia juhudi na maarifa kidogo, na sasa hatimaye nimefikia hapa.
Ni PataChumba, hii ndiyo ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu sana kuja kuwa daraja la kuwakutanisha wenye nyumba au vyumba na wapangaji au watu wanaotafuta vyumba vya kupanga!
Kwanza, safari haikuwa rahisi, kuyaweka mawazo pamoja, kudraft content na UI structure.
Namshukuru Mungu kwa kuwa PataChumba App sasa iko mbioni kuzinduliwa na kwa uhakika, kumbe AI inasaidia pakubwa.