Hersi anahusika kutengeneza wahuni kwenye soka

Hersi anahusika kutengeneza wahuni kwenye soka

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,324
Reaction score
5,820
Tumeona ya jana jinsi kocha wa Gaborone alivyopigwa ngumi na staff wa Yanga bila sababu yoyote ya msingi.Hiyo nawaambia ni trela tu picha lenyewe linakuja pale nyuma mwiko watakapopoteza mechi muhimu kwenye hii ligi wanayoitawala nje na baadae ndani ya uwanja.

Huyu mtu amefanikiwa kuufanya mpira uwe uadui na siyo mchezo wa furaha tena.

Natoa wito kwa CAF kuwachukulia hatua kali sana kwani walitumia mbinu ya kuwatishia Gaborone FC ili wacheze kwa hofu na wspoteze mchezo.
 
Mtoa mada ametoa mashtaka! halafu wakati huo huo akageuka kuwa hakimu. Haki ya kusikilizwa iko wapi sasa!

Kwa nini usiviachie vyombo vya uchunguzi au huyo kocha kumshtaki huyo aliyemshambulia ili haki ipatikane?
 
Nilishasema sana Yanga ni timu ya wahuni wasio na akili. Huwa hamnielewi. Ukitaka kuona hiki unachosema, angalia baada ya mechi Hersi huwa anatafuta nini uwanjani kukumbatia-kumbatia wachezaji na kupiga stori. Ni upuuzi tu, sasa leo imeleta madhara
Hauoni ni vizuri anavyofanya kuwa karibu na wachezaji kiasi kile? Vipi siku ile ulikunya?
 
Muda huu, kwenye uzi huu ni mjadala wa mijitu mihunihuni inayopiga watu ngumi bila sababu.Gaborone watunze mfukoni utawatumia baadaye.
Uhuni ni nini? Japo sijakipenda kitendo kile ila naamini kulikuwa na jambo kwasababu haiwezekan apige tu ngumi
 
Back
Top Bottom