kutekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoa Taarifa

    Gerson Msigwa: Zaidi ya 80% ya taarifa za utekaji hazina ukweli

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matukio yanayoripotiwa Polisi kuhusu utekaji nchini mengi yanabainika kuwa ni ya uongo. "Kuna matukio yanatangazwa kwenye mitandao na vyombo vya Habari mtu katekwa, nataka nikwambie katika matukio yote yaliyoripotiwa polisi kwa mfano, zaidi ya...
  2. Mtoa Taarifa

    Mahakama Kuu yaagiza Polisi kuwaachia au kuwafikisha Mahakamani wanaodaiwa kutekwa, pia yaagiza IGP afike Mahakamani leo Desemba 31, 2024

    Jeshi la Polisi limeagizwa kuwaachia huru au kuwafikisha Mahakamani leo Desemba 31, 2024 Watu 6 wanaodaiwa kutekwa na kushikiliwa na Polisi pamoja na Vyombo vingine vya Usalama kinyume na Sheria. Jaji Bahati Mwamuyé ametoa amri hiyo (Habeas Corpus) inayotaka Walalamikaji hao kufikishwa...
  3. BigTall

    Ujumbe wa Levinus Kidamabi katika "Barua ya Wazi kwa Emmanuel Nchimbi kuhusu Kutekwa Nikiwa Ndani ya Gari la Mwenyekiti wa UVCCM, Bariadi"

    Barua ya Wazi kwa Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Kuhusu Kutekwa Kwangu Nikiwa Ndani ya Gari la Mwenyekiti wa UVCCM, Bariadi Ndugu Katibu Mkuu, Amani iwe nawe! Ni imani yangu kuwa barua hii itakufikia ukiwa mwenye afya njema, ukiendelea na majukumu ya kulitumikia taifa letu ambalo leo...
  4. BLACK MOVEMENT

    kule Kenya,Vijana leo wameanzisha maandamano ya kupinga kutekwa kwa kijana mwezao. Tanzania hii haiwezekani tunataka mtu atuandamanie.

    Tanzania narudia kusema Movement za kiuanaharakati hatuziwezi na tunazania mtu mmoja anaweza fanya kwamba kuna mtu anaweza andamana kwa niaba yetu au anaweza paza sauti na sisi tukakaa kutazama jioni kwenye taatofa za habari. Wakenya wana spirt ya asili ya kupambana na sio kutegemea wakina...
  5. Nehemia Kilave

    Je haya maswali ya hayati Magufuli kwa polisi kuhusu kutekwa kwa Mo dewji yalijibiwa ?

    https://youtu.be/DH4p2T6eIcI?si=SoYq_5G1ZgUb8z9f
  6. Waufukweni

    Izzo Bizness: Matukio ya Vifo na kutekwa na kupotea nchini, hali imekuwa ya kutisha zaidi

    Rapa Izzo Bizness ameelezea hofu yake kuhusu matukio ya hivi karibuni ya vifo na kutekwa kwa watu, akisema hali imekuwa ya kutisha zaidi. Kupitia mtandao wa X (zamani Twitter), Izzo ameonyesha wasiwasi kuhusu ongezeko la matukio ya kutoweka kwa watu nchini, huku akisema kuwa hali hiyo...
  7. Waufukweni

    ACT Wazalendo: Hatuna sababu ya kulishukuru Jeshi la Polisi kutekwa kwa Abdul Nondo, wameishia kutoa matamko ya jumla jumla

    Chama cha ACT Wazalendo kinatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo, nakutelekezwa usiku wa kuamkia leo katika fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi, Nondo alisaidiwa na dereva wa bodaboda aliyemfikisha katika ofisi...
  8. R

    Wasiwasi wangu: Ingelikuwa story za Abdul Nondo kutekwa za kweli, haya yangelikuwa wazi kwa wananchi

    1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend 2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend 3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul wangelikuwa wameshatoa neno 4. Tv za mitandaoni zingelikuwa zimemwaga habari kedekede angani! na...
  9. ngara23

    Nina mtazamo tofauti kwenye tukio la kutekwa Kwa Abdul Nondo

    Me nawaza tofauti na wengi Nondo ametekwa Kwa sababu Gani? Nondo sio hatari Kwa watekaji 1 ACT na CCM wana urafiki ambao haulezeki, ni kama CCM alimzaa ACT Mwanzo wa tukio Kwa hadhi ya Nondo kusafiri na Saratoga kutoka Kigoma hadi Dar. Yaani M/kiti wa Vijana ACT amekosea laki 3 ya kupanda...
  10. chiembe

    Waandishi wetu wa habari, Rutto na Museveni wako Arusha, mna kifua cha kuwauliza maswali kuhusu kutekwa kwa Kiiza Byesigye? Labda Pasco Mayala tu!

    Hivi karibuni mwanasiasa wa upinzani Kiiza Byesigye alitekwa nchini Kenya na akasafirishwa mpela mpela mpaka Uganda. Viongozi wa nchi hizo sasa wako Arusha kwa shughuli za jumuiya. Nani atahoji viongozi hao kuhusu utekaji vs mkataba wa jumuiya pamoja na haki za binadamu? Pasco anaweza, kwa...
  11. Allen Kilewella

    Kuuawa, kutekwa, kupotea na kushambuliwa kwa viongozi wa CHADEMA, kunaashiria nini?

    Wakati huu Leo tarehe 27/11/2024 ninapoandika hapa, tayari CHADEMA wametoka taarifa za kuuawa kwa wanachama wao wawili. CHADEMA wameripoti kuwa kwenye Kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni aliyekuwa mgombea wao kwenye kitongoji kinachoitwa "Stendi" amepigwa risasi na kufariki. Lakini pia CHADEMA...
  12. Just Pray

    LGE2024 ACT Wazalendo yadai viongozi wake kutekwa na kukamatwa, haya yataisha lini?

    Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali matukio kiliyoyaita ya kutekwa, kukamatwa, na kutishiwa kwa viongozi wake katika maeneo mbalimbali nchini, huku kikitaka hatua za haraka zichukuliwe kuhakikisha usalama wao. Rahma Mwita, Msemaji wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa ACT Wazalendo ameeleza...
  13. Inside10

    LGE2024 Mgombea CHADEMA adaiwa kutekwa. Polisi kuingia mzigoni kuanza kufuatilia

    Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama hicho katika kata ya Buswelu A aliyepotea kabla ya kufanya mkutano wa hadhara. Akizungumza na...
  14. Cute Wife

    Kwa mahojiano haya ya Deo Bonge na Ayo, atakuwa 'amefinywa'? Asema aachwe apumzike, analiamini Jeshi la Polisi kufanya kazi yake

    Wakuu, Millard kafanya mahojiano na bonge kueleza kwa undani kilkchotokea. Tunamjua Millard🌚🌚... mnasemaje wakuu? Wazee wa kusoma kuread between the lines na kuangalia body language, ukiangalia maswali ya Ayo TV na majibu ya Bonge, unapata conclusion gani? Naomba pia ujikumbushe kwenye uzi...
  15. Waufukweni

    Sakata la mfanyabiashara Deo Bonge kutekwa, Spika Tulia afunguka "Sio Msaidizi Wangu"

    Wakuu, Baada ya tukio la jaribio la kumteka mfanyabiashara Deogratius Tarimo, maarufu kama Deo Bonge, lililotokea eneo la Kiluvya hivi karibuni, picha za watuhumiwa zilisambaa na kuibua mjadala mtandaoni. Mmoja wa watuhumiwa alidaiwa kuwa msaidizi wa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, hali...
  16. Wakusoma 12

    Sheria iliyopitishwa na bunge inayowaruhusu maafisa usalama kutenda jinai na wasihojiwe ndiyo inatuletea matukio haya ya watu kuuawa na kutekwa.

    Very painful Karne ya ishirini na moja unaruhusu binadamu mwenziyo kuuawa na kuteswa kwa kisingizio Cha kutekeleza majukumu. Nani asiyejua Kuna bahati mbaya na ndiyo maana kwenye makosa ya mauaji yapo ya kukusudia na Yale ya kutokusudia. Sasa inakuwaje bunge letu, Baraza la mawaziri pamoja na...
  17. Z

    Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

    Tukio la kukamatwa kwa Deogratius Tarimo lililotokea katika eneo la Kiluvya linaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa ana kamatwa na watu ambao walijitambulisha kuwa ni Askari, hakuwa anatekwa. Mwenye akili hawezi kusema kuwa eti alikuwa anatekwa! Utekaji hauwezi kufanyika vile. Waliomkamata...
  18. ELI COHEN

    Mlisikia ya mkosoaji wa gavana wa Mombasa kutekwa, kuteswa na kulawitiwa?

    Mshikaji anaitwa Bruce John Chawa. Ni blogger maarufu kama chawa 001. Ilikuwa 12th September, 2024. Unaambiwa watu kama 20 walikuja kumteka. Majirani walivyotoka jamaa wakadai wao ni polisi. Unaweza ukamsikiliza zaidi katika hii video.
  19. Dalton elijah

    Kutekwa Kwa Lema Ndani ya Ndege Kwa Ufunua Ubinafsi Wa Watanzania.

    Ndugu Watanzania! Juzi nilihoji iweje Mhe. Godbless Lema atekwe ndani ya Ndege taarifa zake zisijulikane? Hapa nimetumia neno hili kuwa alitekwa kwa sababu hakuna maelezo sahihi ya kuelezea ukamataji wa aina ile zaidi ya utekaji. Akiwa katika Maria Space, Lema ameeleza jinsi alivyochukuliwa...
Back
Top Bottom