Sirari, Tarime – Mara
Tarehe 11 Agosti 2025, majira ya saa 8:27 usiku, tukio la kutisha liliripotiwa kutokea katika makazi ya aliyekuwa mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Sirari, wilayani Tarime.
Mashuhuda wanasema kundi la watu wasiojulikana, wakiwa na silaha za moto...
Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
Watanzania Tushukuru sana Mungu kuingilia Kati hii vita.
Nimekua nasema humu Kila Mara, Uhai wa Kisiasa wa Samia na genge lake, utahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji
Kwanini??.
Kwa sababu Watanzania wa Sasa sio wa miaka ya 1990 ,wanajua wanachokitaka hivo wangeendelea...
Aliyekuwa Mtiania wa ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simiyu. Godfrey Sukali, akitolea ufafanuzi taarifa zilizoenea jimboni Meatu zikidai ametoweka na watu kuanza kuhisi kama ametekwa.
Ni kweli kwa trakibani miezi miwili iliyopita sikuwa online hadi wakati huu, nilichokitaka ni utulivu wa akili...
Polepole, leo kwenye wasilisho lake live, ameeleza mambo mengi mazito juu ya hatari ambayo Taifa linapitia. Katika kufikisha ujumbe wake, ameelezea majadiliano mbalimbali aliyoyafanya na watu mbalimbali wenye uzalendo wa hali ya juu kama Mzee Warioba, Butiku na hayati Mkapa hapo mwaka 2015. Na...
Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee.
Nyongeza watu walio fanyiwa uhalifu ambao ni viongozi wa dini, watu walio fungiwa makanisa na kuvunjiwa makanisa ni wapinzani wa rais samia pekee.
Kwahiyo lazima tujiulize kwanini ni...
Hivi wenye maamuzi mnataka tuendelee kutekwa Kwa miaka 15? Mfululizo ? Tulianza kutekwa 2015-2020 ndugu zetu hatuwaoni mpaka Leo.
Tukajua pamepoa mara tukaanza tena kutekwa 2020-2024!
Sasa mnataka tuendelee kutekwa 2025-2030? Hapana msitake Kila mtu aamue kulipa kisasi Cha utekaji mliyotufanyia...
Polepole pigania mfumo! Dada yako kutekwa ni maelezo tosha!. Wewe ulikuwa mwenezi badala ya kupigania kubadilisha wahuni unatakiwa kupigania mfumo mzima wa nchi ili Dada, Kaka, Mama, na ndugu yeyote asiweze kutekwa kwasababu tu ya mawazo yake. Makanisa yasifungwe kwa kukasirisha watu hata maka...
Kimsingi kila mbunge ana wajibu wa kitaifa na wa kijimbo, lakini katika majukumu yake yote hayo mawili, yeye anastahili kuwa mwakilishi wa maslahi ya wananchi.
Tumeshuhudia mambo ya ajabu katika Bunge hili la Tulia, ambapo wabunge wote, kazi yao kubwa ilikuwa kumsifia Rais na Serikali dhidi ya...
Ipo video inakwenda viral mtandaoni inamuonyesha huyu dada anajiita "Lulu" , Lulu Mapunda ambapo anasema watu walifika kwenye sehemu yake ya biashara wametaka kumteka ikabidi atoroke upesi.
Hii ilikuwa baada ya yeye kuposti msg Instagram kupinga kufungiwa kwa Kanisa la Gwajima.
Ameposti video...
Wakuu, huyu mzee wetu Freeman Mbowe toka astaafishwe kwa nguvu uenyekiti wa chadema,sijamsikia akitoa kauli yoyote kuhusu mwenendo wa matukio ya utekaji hapa nchini.
Je ameamua kutudhira watanzania?
Mwanamitindo wa Tanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola ametoa ujumbe mitandaoni akiitaka Serikali kuwajibika kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaokosoa Serikali.
Sikiliza video yake hapo chini
Wabunge wa CCM wanamshambulia Gwajima. Je, amefanya kipi kibaya?
Mwingine amediliki kusema Bungeni bila aibu kuwa vyombo vya dola vianze na wale waliopo ndani ya CCM kisha vimalizie wa nje ya CCM
Je, hichi ni chama sahihi kutawala Watanzania?
Yaani tunatawaliwa na Chama ambacho kinahimiza...
Jerry Muro naona huelewi kama hakuna mwekezaji anaweza kwenda kufanya uwekeza kwenye nchi ambayo anajua muda wowote anaweza kutekwa na watu wasiyojulikana.
Naamini Mdude hakutekwa na "vibaka" wa mtaani! Siyo watu waliokuwa na bifu naye binafsi.
Hisia zangu zinanielekeza kuwa waliomteka huenda walifanya hivyo kwa maelekezo ya wakubwa waliowatuma. Alitekwa ili watu waogope kuongea?
Utekaji huo umewanufaisha watekaji? Mbona kama ndiyo wamezidi...
Saa 72 zijazo zinaweza kuamua hatima ya siasa za ccm ama tatizo kubwa tulilonalo sasa hivi la utekaji
Gwajima (Gwaji boy) kaamua kumfunga paka kengele.. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni baada ya sakata la wakenya waliotekwa na kujeruhiwa wakiwa mikononi mwa vyombo vya usalama... Na ile...
Kuna habari zinaenea kuwa Jeshi la polisi liliwakamata, kuwatesa na baadaye kuwasafirisha Kwa njia ya barabara na kuwatekelekeza mipakani mwa nchi zao.
Inasemekana Mwanaharakati wa Uganda aliteteswa na kutelekezwa mpakani km 30 kutoka border ya Mtukula pia Boniface Mwangi wa Kenya alitelekezwa...
Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.