Juzi nilienda kwa Ba MKWE
BAHATI MBAYA ushuzi uliniponyoka Pyuuuuuu!
Niliumia Kuona Baba na Mama MKWE wananyanyuka sebuleni na kwenda nje kujikagua HARUFU ya ushuzi itatokea kwenye nguo za nani? Wao walijiisi yakuwa wao ndio walio Jamba mbele yangu hakika waliona aibu.
Baada ya dakika mbili...
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”
Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia...
Poleni Sana Ndugu zangu watanzania wa dini na Imani zote zilizopo katika Taifa hili kwa kupoteza Ndugu, jamaa, rafiki zetu wapendwa pamoja na wale waliotekwa Ndugu zao poleni pia.
MUNGU akawe mfariji katika kipindi hiki kigumu mnachopitia. Roho za Marehemu zilale mahali pemq peponi
Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau".
Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha.
Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni...
Narudia kusema, huwa ni hatari sana Watu wajinga kupewa Mamlaka, ni hatari Mnoo !!.
Akaunti ya Profesa Shivji ya mtandao wa X imefutwa siku chache baada ya kutoa maoni kuwa mateso yanayotolewa na vyombo vya dola ni udhalilishaji wa hali ya juu.
Pia soma > GE2025 - Profesa Shivji: Mateso hasa...
Nimetumia neno utekaji ikiwa na maana jeshi la police halikutoa taarifa yoyote ile kama kuna wanajeshi wamekamatwa na kufikishwa mahali sahihi bali hadi pale wenzao walipovujisha audio ile.
KWENU JWTZ
Kimbilio letu pekee lilikuwa limebaki kwenu ghafla pasipo kutegemea vihepele wa police...
Serikali hii imeshindwa kabisaa kutibu matatizo ya watu wake na sasa kila anejaribu kuongea anatekwa kama kuku hii ni hatari kwa taifa na mpaka sasa kuna watu wanaenda kumuongezea kimama huyu miaka mingine mitano
Niwaambie tu baada ya miaka mitano watu weengi sana watauwawa na kutekwa watu...
Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
Ilivyokuwa
Bajaji ziligongana zenyewe mbili hapo juwata njia ikawa blocked. Watu waliovaa kiraia wakashuka kwenye land cruiser nyeupe tinted wakawa wanawafokea wale bajaji. Mmoja wa wale bajaji akawa anajitetea hawezi kutoa bajaji kutokana na Hali iliyokuwepo mpaka watu wasogee.
Reaction ya...
Salaam!
Wanaotekwa na kupotezwa wengi hata SI wanasiasa,
Wengine ni wachunggaji, wafanyabiashara,wanahabari, wakulima nk nk.
Na ukisikiliza ahadi za wagombea hakuna anayeapa au kukemea vitendo vya utekaji..
Sasa machaguo ni mawili;
1. Kukaa ndani usubiri mlango uvunjwe, wakupoteze ujumla...
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam imepanga Oktoba 9, 2025 kusikiliza maombi ya Wakili Peter Kibatala juu ya madai ya kutekwa kwa Mwanasiasa Humphrey Polepole.
Wakili Kibatala aliwasilisha maombi hayo chini ya hati ya dharura, Oktoba 7, 2025 akiiomba mahakama itoe amri ya...
Wakuu regards kwenu,
Wote tonajua jinsi ndugu Polepole alivyo jiweka hatarini kuanzia kujiuzuru mpaka kuibua maovu mengi ya ndani ya serikali.
Ni dhairi shairi alijua hatari kubwa iliyomzunguka ukizingatia nyakati tulipo utekaji na mauaji yameongezeka sana sana i.e ni juzi tu mzee Ally Kibao...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha.
Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo...
Familia ya Al-Hajj Nourdin Mushi (25) imeendelea kumtafuta baada ya kuchukuliwa na watu wenye silaha maeneo ya Tegeta Kibo mnamo Septemba 05, 2025.
Al-Hajj Mushi anayeishi na kaka yake, Ally Mushi, alimuaga kaka yake kuwa anaenda kukutana na mteja wa kukodisha gari maeneo ya Tegeta Kibo Complex...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.