Namkosoaga sana Tundu Antipas Lissu ila kwenye eneo ambalo nakiri na nasema ukweli ni kwamba Tundu Antipas Lissu ni mwanasheria smart sana.
Tundu Lissu anajua sheria hasa, kwenye maneno yake anapima kila kitu anachoongea kwenye mizani ya sheria ndo mana hata kumkamata kisheria ni ngumu sana...