Japo inategemeana mtu na mtu, kwa wastani Darasa la saba na form 4 wengi wala hawana shida ukiwaweka dukani,
Shida inakuja uwaweke waliosoma vyuoni, yani hata awe kasomea kozi ya secretary ni shida sana, mwanzoni mnakubaliana vizuri kabisa mshahara, day allowance, muda wa kufika, n.k. lakini...