kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania RPC wa Arusha hii nguvu unayoitumia kutafuta waliomuua Askari Ngorongoro kwanini hukuitumia mwanzoni kuzuia kuibuka kwa huo mzozo?

    Kwahiyo ukishawapata ndiyo wataenda kuirudisha pumzi na uhai wa huyo Askari Polisi wenu aliyeuwawa? Na wala GENTAMYCINE hapa sitetei au sifurahii huko kuuawa kwake na nimesikitika kuuliwa ila nimesikitika zaidi kuona leo hii Jeshi la Polisi Arusha linatumia nguvu kubwa ya Kijeshi katika...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naungana na watanzania wengi wanaomlaani Dk. Kigwangalla kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kumchafua Mo Dewji

  3. JamiiForums Tanzania Aina hii ya Wanawake ni kama Kutafuta Nyoka mwenye Miguu

    Mwanamke 1. Mzuri wa Sura 2. Mzuri wa Umbo 3. MWENYE AKILI? Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto. Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty. Unaumia sana kuwa huyu si anaweza hata kukuambukiza upumbavu? Miaka...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wabongo wanadhani kutafuta mpenzi mtandaoni ni umalaya?

    Mpenzi huweza kupatikana mahali popote iwe klabu, kwenye ngoma, shule, kanisani nk. Ni suala la kupatana tu. Kuna watu wanakesha makanisani na hawapati watu wa kuwa nao na kuna watu wamepatana barabarani na wamedumu. Ukuaji wa teknolojia umefanya zoezi la kutafuta wapenzi kuwa rahisi kwa kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea: Samia analiunga daraja la WAMI bila kelele, kutukanana na watu au kutafuta kiki. Kuongoza nchi ni sayansi

    Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa. Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa. #SHH2025/30 #MamaMaendeleo.
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume: Jitihada zetu za kutafuta maisha Zinatuangamiza

    Wanaume Tubadilike Tunatafuta maisha kwa nguvu zote kwa Ajili ya familia zetu na inapotokea tumefanikiwa tunafeli sehemu ndogo sana: .Adui huwa hatoki mbali na wewe hata siku moja. .Kwa nn watu waanze kukutafuta baada ya mafanikio. .Kuna watu walikuwa hawana Time kabisa na wewe Utashangaa hata...
  7. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Mauritius kutafuta maisha

    Habari zenu wanajukwaa,nna mpango wa kwenda Mauritius kusaka life, naomba wenyeji wa huko mnipe habari mbali mbali zinazohusiana na nchi hiyo hasa katika masuala ya uchumi- ajira na biashara na mambo mengineyo. hii bongo ni ngum sana ata uwe na elimu gan bdo shida tu. karibuni wenyeji
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake washaurini(kuwasaidia) binti zenu kutafuta mume kuanzia wakiwa miaka 17-25

    Ramadhan Kareem! Dada zangu, wadogo zangu wakike, pamoja na kina Mama, elimu hii ni muhimu Sana. Dunia ya sasa imefikia pagumu Sana, hasa kwenye kipengele cha ndoa. Kuweni karibu na binti zenu, wafanyeni marafiki, wafanyeni wawaamini, hakikisha Kama mzazi unamaarifa ya kutosha kumshauri binti...
  9. JamiiForums Tanzania Maeneo gani ambayo hupaswi kutafuta mke?

    Habari wana MMU, Leo naomba kila mtu ataje sehemu ambazo kwa mtazamo wake anaona haipaswi au haitakiwi kumsaka binti wa kumuoa na kuishi naye. Naanza mimi: => Kwenye maguest house => Kwenye migahawa ya chakula => Kwenye ma bar na kumbi za muziki => Sokoni au maeneo ya gulioni => Kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi

    Kuna njia au namna za kutafuta mke/mume na kutafuta mpenzi. Ni vizuri ukajua kuzitofautisha. Njia utakazotumia kutafuta mke/mume ni tofauti na njia utakazotumia kutafuta mpenzi. Ukijichanganya kwenye hizo njia, mwisho wake huwa ni kilio; mfano ulitumia njia za kutafuta mpenzi ili upate...
  11. JamiiForums Tanzania Mayele anatafuta mboga, viongozi Yanga jitahidini kutafuta mchele

    Baada ya hapo jana mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga kutoka DRC, Fiston Kalala Mayele kuzawadiwa ng'ombe mwingine na mashabiki huko Mwanza, ni wazi sasa viongozi waanze kutafuta mchele, kwani Mayele anaendelea kutafuta mboga hili siku ya mwananchi day mashabiki wakale uwanjani, mpaka ligi...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania tujiulize: Ikiwa sisi ndiyo wenye mali, nini kinatukimbiza nje kutafuta wa kuja kuzila (eti kuwekeza)?

    Watanzania wenzangu, kuna kitu hakiko sawa! Tutachanganyiwa lugha zote kuwa tunafungua nchi kumbe kuna hila ndani yake. Sikubaliani kabisa viongozi kuzunguka dunia nzima kuomba pesa na uwekezaji. Tunajidhalilisha! Tuna bunge, Mawaziri, Wasomi, Wanasiasa, Wafanyabiashara maarufu nk...
  13. JamiiForums Tanzania Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

    Guys, Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali. Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua. Kisha nakaa pembeni...
  14. JamiiForums Tanzania Usianzishe biashara wala kutafuta kazi kupitia waganga wa kienyeji

    Natangaza maslahi yangu! Mimi sio mganga na sifanyi ushirikina tena! Kati ya waganga wote wa kienyeji ni asililia kumi hivi kati ya mia moja ndio wakweli na kati ya hao wakweli ni asilimia 5 tu ndio wenye masharti nafuu na wanaoweza kukusaidia moja kwa moja..! Ishu ya kuwajua feki na wakweli...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nimeshtusha kusikia Mawaziri na Manaibu Waziri wanalogana na kuchukiana kisa safari za Mikoani kuja kutafuta namna yakuwatumbua wasio na hatia

    Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha? Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na...
  16. JamiiForums Tanzania Acha kutafuta ajira

    Habari za wakati huu, Miaka zaidi kadhaa iliyopita nilihitimu masomo yangu ya sekondari.Baada ya kuhitimu nilirudi nyumbani na tukakutana marafiki kadhaa ambao wote tulikuwa tumehitimu tukisubiri matokeo.Katika kipindi hicho nakumbuka siku moja katika majadiliano ya hapa na pale tuliulizana...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tuwasaidie Waziri Simbachawene na polisi kutafuta haki

    Kuna wengine zaidi ya Askofu na Zitto ambao wamefunguka na pengine wataendelea kufunguka kuhusu madhila yaliyowakumba. Kwa spirit ya uzalendo, nimeona nitoe mchango wangu kwa vyombo husika kutafuta haki wa ku compile sauti hizo kuwarahisishia kazi ngumu waliyonayo japo kidogo.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mitoto unaihangaikia peke yako ikifika ukubwani inaenda kutafuta ukoo wao...

    Hii kauli nimeisikia jana akilalama mama mmoja katika mazungumzo na wenzie kibarazani. Anadai ametunza mtoto peke yake kwa mahangaiko makubwa, kamsomesha kwa tabu kwa pesa za kuokoteza kwenye vigenge, upatu na misaada ya kaka zake. Lakini ameshangaa sana mtoto alipomaliza chuo na kuanza kupata...
  19. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho

    Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho. Kama wewe unaponda kokoto tani 20, unatafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako kutokana na mapato uliyoyapata kwenye kazi ngumu ya kuponda kokoto. Kwa hiyo kama mpenzi wako anayumbisha...
  20. JamiiForums Tanzania Tuyaishi maisha sio kutafuta maisha

    Vijana tusitafute maisha Bali tuyaishi maisha Tusitafute vyeo tuache vyeo vitutafute Tusitumikie pesa tuache pesa itutumikie. Tusimiliki pesa Bali tumiliki vanzo vya sisi kupata pesa Pesa Ni kama maji hata uchote vipi mwisho wa siku utayamwaga tu yarudi baharini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…