kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Siasa za kutafuta kiki na public sympathy zimedumaza fikra hasa za vijana katika kujenga na kutetea hoja zinazohusu mustakabali wao.

    Wanasiasa wengine hivi sasa, hasa vijana hawana tena muamko wenye kuibua mawazo mapya wala fikra mbadala na bora zaidi za kutatua changamoto zao, wala hawana tena uwezo wa kujitetea wenyewe kwa hoja, bali sasa wengi wao wanasubiri, na in fact wamemezwa na siasa za matukio au vihoja vya kutafuta...
  2. JamiiForums Tanzania Waafrika tuliwafukuza wakoloni sasahivi watu wetu wanakimbilia nchi za Ulaya kutafuta maisha mazuri. Isn't that failure?

    Waafrika tuliwafukuza wakoloni, which was completely a right thing to do cause watu weusi na watu weupe hatuwezi kuchangamana. It failed in South Africa, na huko USA it's been hundreds of years na bado hadi leo wanahangaika to blend people together Shida inakuja, baada ya kuwafukuza tukafanya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Usiombe uende kutafuta usafiri stendi wanayogombea abiria, wanaweza kukufanya ukajutia safari

    Nimefika hapa stendi makondakta wamenivaa kila mmoja anataka nipande gari lake, nikienda huku huyu anazuia njia iki nielekee kwake nikigeuia huyu ananivuta, nimechukizwa na sana watu hawa wamefanya safari yangu kuwa ngumu. Mbaya zaidi hadi bajaji naona wanagombea watu kifupi ni maumivu tu kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume za Rais Samia kuhusu 29/10 ni feki na hazisaidii chochote kwa sababu zinapewa kazi ya kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji yaliyofanyika

    Wanabodi Huu ujinga wa kuendelea kutumia fedha za umma ili kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji ya 29/10 tutauvumilia hadi lini? Hadi sasa, Raisi Samia na serikali yake walichofanya ni kutafuta kuhalalisha mauaji ya 29/10 ili kuonyesha walikuwa na haki ya kuua watu kwa namna ile. Na sasa, kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Katoro ana akili ya kutafuta Pesa lakini hana akili ya maisha

    Tajiri wa Katoro amejaliwa akili ya kutafuta pesa lakini amekosa akili ya maisha https://www.instagram.com/reel/Dbk70AViBE9/?igsh=MWN4cjllM2VtaWt3Yw==
  7. JamiiForums Tanzania Kamwe usije ukaiamini baadae ya kuonana salama ya mwanaume...Mwanaume akiaga anaenda kutafuta, anaenda vitani

    Kamwe usije ukaiamini baadae ya kuonana salama ya mwanaume... Mwanaume akiaga anaenda kutafuta, usiitafsiri kama anaenda kibaruani tu, uhalisia anaenda vitani either irudi pesa au maiti kwenye jeneza... Ukimuona Baba yako anatoka asubuhi na jioni anarudi salama , muombee Dua ya kazini mengi...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya Civilian-Coin kutafuta MKE au girlfriend ni hii

    https://youtu.be/pYos49unMLM?si=GFK-r4XxqDHMLptU
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Katika kutafuta Uhalali, FARAO kahongwa 1.8B TZS kufanya Ziara, ili kuhalalisha Umalikia

    Inasemekana , Kuna Orodha imeshaandaliwa ya Wafalme mbalimbali wa Bara la Giza walokwisha kupokea Michuzi ya TZ shillings ambao watafanya Ziara hapo Malawi , yote kwa Yote, Kumpa Uhalali wa Utawala ,Malikia aliyeua ili kua Malikia.
  10. JamiiForums Tanzania USA kuna maeneo sio ya kutafuta maisha ni kutafutwa maisha yako

    Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa. Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo. Nikawaza hawa waliopo Ulaya mfano USA hapo new york wanaweza kuwa Dar ya Morogoro Malinyi ndani...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NaPA unagoma kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB)

    National Physical Address (NaPA) kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB) inagoma kuendelea na kutoa notification ya hivi Toka last week till now. Contacts zao walizoweka hazipatikani, kuna moja inapatikana mara moja moja na ikipatikana haipokelewi.
  12. JamiiForums Tanzania Kumbe Wanawake Wembamba wanaenda gym kutafuta wanaume!

    Imenichukua miaka 10 kujua wanawake wanaenda gym kutafuta wanaume. Yaani gym ni danguro la wazi. Na baadhi ya wanaume(Wachache) wanaenda gym kutafuta wanawake. Mimi siku zote najua gym ni sehemu ya mazoezi. Ama kweli tembea uone. Siwezi ruhusu Mke wangu aende gym.. Labda twende wote.. Ni...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

  14. JamiiForums Tanzania Ukombozi ni kiherehere cha kutafuta kipigo

    Mzee Nyerere na wenzake walimaliza zamu yao ya ukombozi wa Afrika. Sisi tumebaki na zamu ya kupambana na maisha yetu, kulipa bili na kutafuta hela za kula bata kidogo. Kujifanya mkombozi wa awamu ya pili ni kiherehere cha kutafuta kupigwa ili ulie, na ukipigwa ukakaa kimya unapigwa tena na tena...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar isichukulie kama fursa ongezeko la wanaokimbilia nchini humo kutafuta matibabu?

    Badala ya nchi ya Zanzibar kukataza watu wa nchi nyingine kama Tanganyika na Kenya kutibiwa nchini Zanzibar mimi ningewashauri viongozi wa nchi hii kuchkulia jambo hilo kama fursa ya kiuchumi ya kuingiza fedha za kigeni.
  16. JamiiForums Tanzania UDOM kushirikiana na madaktari bingwa nchini kutafuta suluhu ya magonjwa ya ndani

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia Hospitali yake imeshiriki katika Kongamano la Mwaka lililoandaliwa na Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani Tanzania (APHYTA), lililofanyika leo tarehe 29 Mei 2026 katika ukumbi wa Dodoma City Hotel jijini Dodoma. Lengo la kongamano hilo ni...
  17. JamiiForums Tanzania Kuangalia kwa muda mrefu porn kunaweza kusababisha watu kuendelea kutafuta maudhui makali zaidi na mwisho kujaribu vitendo vya ushoga

    hili jambo jamii haitaki kulisema sijui inaona aibu kuliongelea kwa vile wenye indusrty yao watasema hakuna ushahidi wa kisayansi lakini amini usiamini matumizi ya porn yanaweza kusababisha kile kinachoitwa "escalation", ambapo mtumiaji huanza na maudhui ya kawaida lakini baada ya muda...
  18. JamiiForums Tanzania Mliowahi kwenda kwa wataalamu wa mambo ya gizani/waganga kutafuta utajiri na mkafanikiwa njoo hapa na visa vyenu tuvufanyie uchambuzi yakinifu.

    Wengi wenu najua hamjapata huo utajiri japokuwa mlipewa masharti ya kutisha 😀😀 Wazee wa kupiga bao
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mafwele atangaza msako kutafuta watu aliyo watuma yeye !!

    Ni wazi sasa kiongozi wa watekaji anaitwa Mafwete ambaye ni Polisi na yeye ndiye aliyeenda kumchukua Polepole eti leo anasema anafanya msako wa kutafuta na kubaini walio mshambulia msaidizi wa Lissu wakati yeye ndiye kiongozi wa genge! Yeye ajui wenzake hao mafisadi watakimbilia Oman na Dubai...
  20. JamiiForums Tanzania TBC Watembelea Maktaba Kutafuta Historia ya Mwami Theresa Ntare

    https://youtu.be/-rxfkdYqDjM?si=xaqGeZoMg-LGLW6U
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…