kutafakari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mikopo Consultant

    Baada ya kutafakari sana kwa kina nimehitimisha kwamba: ukiwa mwanasiasa bila kuwa wakili, basi ujue unajipotezea muda, maana utakwama tu!

    Hii ni argument ambayo itakubidi upate experience kubwa ya kuitazama sana siasa kwa jicho la tatu, ndiyo utagundua kwamba ni argument ambayo ni ukweli kwa asilimia 99%. Mwaka 2010 nilipoenda pale UDSM, siasa za serikali ya wanafunzi na wanaharakati zilikuwa zinatawaliwa sana na vijana wa...
  2. The Father of All

    Tumstukie Askofu Gwajima kwa kutafakari nitayaoandika hapa chini

    Japo ni watanzania wengi wametekwa na kupotezwa hata kupoteza maisha, hakuna walio maarufu kama vile Mdude Nyagali, Ben Saanane, Koka na zaidi ya wote balozi Humphrey Polepole. Tokana na kutopatikana au niseme kutosamehewa kwao kama Josephat Gwajima, tapeli wa kidini tunayemjua, kunaweza...
  3. 6By6 Miguno

    Je, Ni changamoto ya afya ya akili?

    Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu.... Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
  4. Mtu wa Majira na Nyakati

    Baada ya kutafakari kwa kina nimeona October nitiki

    Wakuu Mimi October ninatiki .
  5. The Zanzibar Echo

    Ureno kutafakari ikiwa itaitambua Palestina kama taifa huru

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Ureno Luis Montenegro imetangaza Alhamisi kuwa itatathmini iwapo itaitambua Palestina kama taifa huru wakati wa hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa mwezi Septemba mwaka huu. Ufaransa, Uingereza na Canada ni mataifa ya hivi karibuni zaidi yaliyotangaza azma hiyo, hatua...
  6. third eye chakra

    Hii ni spesho kwa wadau wenye kutafakari mambo kwa hekima

    Nadhani watu wanao utafuta ukweli ndani mioyo yao,nafsi. Wewe ulifanya meditation kwamda mrefu bila kuona maana ya meditation. Nimekuletea zawadi ya MAGIC mushrooms. Mkoani utatumiwa na ikiwa upo dar es salaam UTAKUJAMOJA KWA MOJA OFSINI.
  7. DaudiAiko

    Je wanaojikosha kwa Rais Samia wanafanya hivyo bila kutafakari kwa kina au ni msimamo wa CCM usio rasmi?

    Wanabodi, Jambo lolote jema ambalo limeleta mabadiliko chanya kwenye maisha ya watu, liwe la serikali au mtu binafsi linahitaji pongezi. Pongezi sio tu katika kuonyesha maisha yaliyoguswa na kitendo hiki bali pia kumpa motisha aliyefanya tendo hilo kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa...
  8. KikulachoChako

    Mtazamo;Unapoingia mwaka mpya na kutimiza miaka kadhaa unatakiwa usikitike na kutafakari nyakati zako na sio kusherekea......

    Habari za muda huu waungwana..... Mimi nadhani maisha ya kiumbe mwanadamu hapa duniani yamekuja mfano wa simu iliyojaa chaji na kutolewa kwenye chaji pindi anapozaliwa kutoka tumboni kwa mama yake....... Na chaji hutumika na kupungua kwa kadri anavyoziiishi nyakati zake hapa duniani.....na...
  9. Daudi Kempu

    Maswali kumi ya kujiuliza na Kutafakari ukiwa hujui ufanye nini na maisha yako

    1. Ni shughuli zipi zinakufanya ujisikie hai zaidi? Yaani ni jambo gani ukilifanya unaishi ndani ya kulifanya, hata kama halikupi hatua kubwa kulifanya tu kunakupa amani ya ndani? 2.Ndoto zako za utotoni zilikuwa zipi? Binafsi utotoni nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanajeshi, ila kila...
  10. briophyta plantae

    Somo la kutafakari kwa kina. Kobe au kondoo?

    Kondoo alikuwa anapita akamuona simba akilia akiwa amenasa kwenye boksi la chuma(grili), simba akamsihi sana kondoo amuokoe na kumuahidi kuwa hatamuua wala kumla, lakini kondoo akakataa.... Baada ya simba kubembeleza sana na kwa upumbavu wa kondoo, akafungua lile boksi la chuma. Sasa simba...
  11. T

    SSC: Je, ni wakati wa Kutafakari Hujuma kambini?

    Moja Kwa moja kwenye mada, naungana na wazo la Huja, The Jf Expert member kwamba ni wakati wa Kutafakari kwamba inawezekana kambi ya Simba si salama Kwa Hujuma toka Jangwani. Hii hoja naona ina mshiko na imethibitika toka awali tulipofungwa round ya kwanza zilionekana ni Hujuma lakini viongozi...
  12. BARD AI

    Akina Makonda Wanatulazimisha Tuendelee Kutafakari Nafasi za Wakuu wa Wilaya, Mikoa: Tunawahitaji Kweli?

    Watanzania hawawahitaji wakuu wa mikoa na wilaya, na walilisema hili hadharani wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba, maarufu kama Tume ya Warioba, ilipotembea nchi nzima kwa ajili ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu mfumo wa kiutawala wanaoutaka, na tume hiyo ikayaheshimu mawazo hayo kwa...
  13. D

    Baada ya kutafakari sana nimegundua haya kuhusu ulokole

    Kila siku najiuliza kuwa hawa wanaojiita walokole huwa wanamaanisha kweli au la? Ukweli ni kwamba hakuna mwenya akili timamu anaweza kuwa mlokole ndo mana haiwezekani rais aje kutokea huko. Always atakuw ama muislam au mkatoliki. Kiukweli ni kwamba makanisa ya hawa jamaa wanaojiita walokole ni...
  14. T

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Ipo haja Baraza la Usalama wa Taifa kutafakari

    Taifa letu linaelekea kwenye uchaguzi hapo mwakani. Ni rai yangu kwa bataza la usalama wa Taifa kutafakari kwa kina kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi utakavyokuwa mpaka kupata matokeo. Vipo viashiria ipo haja kwa maamuzi magumu kufanyika pasipo kuangalia sura au jinsia ya mtu au umaarufu wake...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    Ujumbe wa kutafakari kutoka kwa Waziri Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia

    “Unaweza kuanzisha fitna au kuumiza watu kwa siri na ukaona umefanikiwa. Maana hakuna anayekujua. Fitna hiyo fahamu itakuwa, itasambaa na itakomaa. Ikishakomaa huwa na tabia ya kurudi ilipoanzia na inaumiza kama vile wakati unaianzisha kwa lengo la kuwaumiza wenzio ukajisahau kama itarudi...
  16. Expensive life

    Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

    Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
  17. Brain Kingdom

    Nimeamua kuishi kwa KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari

    Salaam JF, Hali ya ukimya wangu hivi karibuni katika jukwaa hili ni matokeo ya kuishi nadharia na vitendo katika KK mbili ambazo ni kusikiliza na kutafakari. Haijawa rahisi sana ila ndio hali halisi, sioni umuhimu wa kuainisha sababu, itoshe kusema naendelea kufurahia uamizi huu. Kila...
  18. Gol D Roger

    Fikra potofu kuhusu watu weusi (Afrika) ambazo sisi wenyewe tunaziamini bila kutafakari kwa kina

    Habari wadau wote wa JF Hakuna kitu kibaya kama kumwacha mtu akufafanue au kukuelezea kama vile ww mwenyew hujijui. Don't let anyone define you and don't let anyone define your beliefs. Kuna baadhi ya mambo waafrika tunakua tunajiaminisha na kujilaumu bila kutafakari kama "je haya mambo...
  19. B

    Tafakuri binafsi: Wakati unamhudumia mdada kipesa, ushawahi kutafakari hili

    Mfano, wewe mwanaume una hela, Unasukuma gari nzuri kiasi, laki mbili tatu za bata kila wiki hazikupigi chenga, una kazi nzuri na biashara, una nyumba nje ya mji, kibongobongo watu tunaassume umetoboa.. Unakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma...
  20. Q

    Waziri Mkuu na Bunge wanataka kutafakari nini wakati walipitisha kwa 100%

    Nimemsikia Mbunge Lucy Mayenga akiwaomba wabunge wenzake watafakari upya kuhusu mkataba wa DP World. Wakati huo huo Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa amesema hawatapuuza maoni ya wananchi wanayotoa kuhusu huo mkataba. Hii tafsiri yake nini, ni kuwa Wabunge na WM wamegundua kosa lao, kuwa...
Back
Top Bottom