kustaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. georgeallen

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri kuomba kuongezewa muda wa kustaafu kutoka miaka 60 hadi 70

    Nimemsoma mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania, OUT akimuomba makamu wa Rais, Mh Mpango awaongezee wahadhiri wa vyuo vikuu muda wa kustaafu Kutoka miaka 60 ya sasa hadi miaka 70. Kwa kuwa umri wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 65, kuna faida yoyote kuwaongezea umri wa kustaafu wahadhiri hao...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Kombe la Dunia wabadili mpango wa Messi kustaafu

    Siku chache baaa ya kuiambia BBC kuwa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakuwa ya mwisho kwake, Nyota Lionel Messi amebadili uamuzi huo na kueleza kuwa ataendelea kucheza kama Mchezaji wa Mabingwa wa Dunia. Messi mwenye miaka 35 ameshinda Mpira wa Dhahabu na kuwa Mchezaji Bora wa Kombe la Dunia...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Eden Hazard atangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Ubelgiji

    Kiungo huyo mshambuliaji mwenye umri wa miaka 31 amechukua maamuzi hayo baada ya timu timu yake ya taifa kuishia Hatua ya Makundi katika Kombe la Dunia 2022. Hazard ameitumikia Ubelgiji kwa miaka 14 na kwa sasa anaelekeza nguvu katika ngazi ya klabu yake ya Real Madrid. Imeelezwa kuwa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kocha wa zamani wa Brazil, Scolari amethibitisha kustaafu

    Luiz Felipe Scolari, ambaye aliiongoza Brazil kunyakua taji lake la mwisho la Kombe la Dunia 2002 na kuipeleka Ureno hadi fainali ya Ubingwa wa Uropa mnamo 2004, amethibitisha kustaafu ukufunzi wa Soka. Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 74 aliaga baada ya ushindi wa nyumbani wa Athletico wa 3-0...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Beki wa Barcelona: Gerard Pique atangaza kustaafu kucheza soka

    Beki huyo wa kati wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania amesema anatarajiwa kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Almeria, kesho Novemba 5, 2022 kwenye Uwanja wa Nou Camp Uamuzi huo wa ghafla ameutoa miezi mitano tangu avunje uhusiano na Shakira aliyekuwa mpenzi wake kwa muda mrefu...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kwa dereva wa basi la abiria kustaafu?

  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chadema: Wabunge 19 wa viti maalumu waondolewe Bungeni kabla ya mwezi Novemba, 2022

    Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022 Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa kufuta sheria mpya ya tozo ambayo imekuwa mzigo mkubwa kwa watanzania. Serikali ije na mpango madhubuti...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Haya hapa malipo ya kustaafu ya Rais Uhuru Kenyatta

    Rais Uhuru Kenyatta atakuwa akipokea angalau Tsh. Milioni 668.5 kama sehemu ya malipo yake ya kustaafu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 10. Kulingana na marupurupu yaliyoainishwa katika Sheria ya Mafao ya Kustaafu ya Rais ya 2013, Rais anayemaliza muda wake ana haki ya malipo ya mkupuo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wasiotaka kustaafu kwetu, ya Malkia UK wanayatamani hapa

    Ama kwa hakika Kenya wamepiga hatua kubwa sana. Kwetu wastaafu hawataki kustaafu na wanalazimisha watoto kuja kutawala. Nini tofauti yetu na Kenya? Kupi kufanana kwetu na Uganda, Burundi au Rwanda? Pole yetu Tanzania.
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ifuatilie semina wanazopewa Watumishi wa Umma wanaotaka kustaafu

    Habari zenu! Ofisini kwetu kuna utaratibu wa semina elekezi kwa watumishi wanaanza kazi na wanaotaka kustaafu. Kwa hii ya wanaoanza kazi iko vizuri maana hata Mimi nimeipata na kuona iko vizuri. Maana inabase kumjenga mtumishi mpya kiuzalendo zaidi na kuijua serikali yake. Imeanza wapi, iko...
  11. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Umejipangaje kustaafu, utajishughulisha na nini uzeeni ili kuingiza kipato ili usiishi kwa mateso?

    Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana akili ya namna ya kujipanga,au kujiandaa kustaafu ili uzeeni asiteseke kwa dharau na fedheha za watukila mmoja atoe wazo lake Mf;Mimi nimenunua shamba kimanzichana heka 10 nimezungushs michongoma ,ndani nimepanda miti ya miembe, michungwa, michenza...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Namuona Kamishna Salum Hamduni mbali zaidi

    Kwa kazi nzuri na ya kutukuka huko Takukuru, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni namuona akifika mbali sana katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Kuna sauti ndani yangu inanambia, CP Hamduni atapanda juu zaidi siku si nyingi toka sasa. Kwahyo wale waliobakia, ambao taasisi zao hazijaguswa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simon Sirro amefanya kosa gani mpaka akaondolewa u-IGP kabla ya kustaafu kama Venance Mabeyo?

    Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima. Ametibua nini? Mpaka akag'olewa? Pia, soma=> Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jack Wilshere atangaza kustaafu kucheza soka

    Kiungo wa zamani wa Arsenal, Jack Wilshere ametangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 30, timu yake ya mwisho ikiwa ni Aarhus ya Denmark. Wilshere ambaye alikuwa akiandamwa na majeraha ya mara kwa mara iliaminika atakuwa staa mkubwa wakati akichipukia, anastaafu akiwa ameichezea...
  15. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana ya kustaafu?

    Mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha Jenerali Mkunda kasema Jenerali Mstaafu Mabeyo ataendelea kumteua ktk majukumu mengine, na akasema leo hii Katibu Mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine. Je, ipi maana ya kustaafu ?
  16. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Wapi pazuri kuishi baada ya kustaafu?

    Wakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu. Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Neymar mbioni kustaafu kuichezea Brazil

    Nyota wa Brazil, Rodrygo amedai kuwa kuna uwezekano wa nahodha wa timu yake, Neymar akastaafu kuichezea timu ya taifa hilo kisha kumkabidhi yeye jezi namba 10. Neymar ambaye amefunga mabao 74, akishika nafasi ya pili nyuma ya Pele aliyefunga mabao 77 katika historia ya Brazil inadaiwa Michuano...
  18. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo leo amefika Ikulu ya Zanzibar kwaajili ya kumuaga Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ikiwa ni maandalizi ya kustaafu mwishoni mwa mwezi huu. Jenerali Mabeyo 65, amelitumikia jeshi kwa miaka 42 sasa na muda wake wa utumishi unaenda...
  19. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Umri Upi ni Sahihi kwa Mtu Kustaafu kazi?

    Wakuu tujadili umri sahihi kwa mtu kustaafu ni upi? Awe ni mtu binafsi anayefanya shughuli zake mwenyewe au za kuajiriw na kama ni lazima uwe na hela za kutosha kwanza ndio uamue kustaafu.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Mbowe kustaafu 2023 ni mdogo sana kwa sababu anahitajika sana kwenye Maridhiano

    Wore tunakumbuka kuwa Freeman Mbowe aliahidi kuachia nafasi ya mwenyekiti wa Chadema ifikapo 2023 Tena alisema anatamani nafasi take ichukuliwe na mjumbe wa Bawacha Ila kea hiki kikosi kazi kipya cha wajumbe 20 kutoka Chadema na CCM kinavhoratibu siasa za Tanzania mpya ni wazi Mbowe itabidi...
Back
Top Bottom