kusoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kulikuwa na haja gani Jinbril kumkaba Muhammad akimlazimisha kusoma?

    Hii inatafakarisha sana. Huyu kiumbe Jin anamlazimisha Muhamad kusoma. Maskini Muhamad hakuwa ameenda shule. Kama ni Malaika basi alipaswa awe na hizo taarifa. Lakini hakupewa. Akawa anamlazimisha Mtume asome akiwa amempiga Kabali nusu ya kumuua. Mtume akasema akiwa anahema kwa "shida sijui...
  2. O

    Ushauri kuhusu nini cha kusoma ngazi ya Shahada

    Habari wanajukwaa Naomba ushauri wenu hapa Kuna mdogo wangu ananiomba ushairi kati ya Architecture technology au ualimu wa mathematics na economics unaweza mshauri huyu dogo asome coz gani kati ya hizi
  3. Ni kwanini Jinbril halikumwamini Mtume aliposema hajui Kusoma na kuendelea Kumkaba Nusura ya Kumuua?

    Ni kwanini Jinbril halikumwamini Mtume aliposema hajui Kusoma na kuendelea Kumkaba Nusura ya Kumwua? Natafakari sana jambo hili sipati majibu. Hili Jin Bril kwa nini halikuwa linamwamini mtume aliposema hajui kusoma wala kuandika? Why? Angekuwa ni malaika Gabriel angejua tu kuwa huyu jamaa...
  4. O

    Habari zenu naomba kuuliza mwenye uzoefu na interview katika post ya assistant trade officer anipe muongozo notice za kusoma

    Samahani great thinker shida yangu nikujua muongozo vitu vya kusoma kwa anaeenda interview ya post ya assistant trade ooficer
  5. Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

    Kuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua. Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi. Mf. Hiki kitabu cha Ng'ugi wa Thiong'o "I WILL MARRY WHEN I WANT" Kuna vitabu vingi vizuri kweli kweli Wenye nakala...
  6. Wakuu Msaada kozi ya kusoma kwenye vyuo vya mzumbe na T.I.A kwa mwanafunzi aliyesoma comb ya HGL

    Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe...
  7. Wakuu Msaada kozi ya kusoma kwenye vyuo vya mzumbe na T.I.A kwa mwanafunzi aliyesoma comb ya HGL

    Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe...
  8. C

    Pata Mkopo wa Kusoma USA na Canada

    Habari Kwa wale wanaohitaji kwenda kusoma USA na Canada kuanzia Masters na Kuendelea Unaweza kutimiza ndoto zako kwa kupata mkopo kupitia Taasisi za kimataifa zinazotoa mikopo No collateral No Cosigner Unaweza apply via this link https://app.mpowerfinancing.com/?ref_code=azizjxiz Best...
  9. Kuhusu kupeleka watoto kusoma nje ya nchi

    Chondechonde wazazi wenzangu msifuate mkumbo wa kupeleka watoto kusoma nje kama hauna kipato cha uhakika. Huko mnakopeleka watoto wenu kwa fedha zenu za kibubu yanawapata haya 1. Wanaolewa bila kupenda 2. Wanapakuliwa mitaro kwa wakiume mwisho ni ushoga 3. Wanavutishwa madawa ikiwemo bangi 4...
  10. Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Quran Al-An'am 6:7 - Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri. JE, NI QURANI YA AINA GANI ILITEREMSWA KWA SABABU KITABU CHA KARATASI HAKIKUTOKA KWA ALLAH?? Hapa allah anathibitisha kuwa...
  11. Naombeni kitu cha kusoma

    Habari wana jf kuna dogo kamaliza form 4 mwaka jana .kaniombs ushauri wa kitu cha kusoma mm nimeshauri aende veta tu. Dirisha likifunguliwa kama kunaushauri tofauti na wangu naomba unisaidie tumshauri dogo ufaulu wake nika ifuatavyo phy d mth f cv f kxw f bio c geo c chem d lit d hixtr c .pia...
  12. Z

    Cuba na Urusi kuna nini, zama zilee za mwalimu, wasomi wetu walio enda kusoma nchi hizo walirudi wakiwa wamechanganyikiwa (data)

    Huo ndio ukweli, watu wa miaka ya zamani watakumbula kuwa, wasomi wetu walio somea Cuba au Urusi walikuwa wamechanganyikiwa! Kwa miaka ya hivi karibuni mtamkumbuka Dr. Shika sasa marehemu, ambaye pia alisomea huko Urusi alirudi akiwa amedata. Wapo wengi tunawajua wengime wametangulia mbele za...
  13. Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26

    Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26 Kama bado hujafanya uamuzi wa nini usome chuo kikuu, makala hii ni mwongozo sahihi kwako. Inakuletea orodha ya kozi bora ambazo si tu zina nafasi nzuri ya ajira, bali pia zinakuandaa kwa kazi katika sekta mbalimbali...
  14. Nahitaji Scholarship ya kusoma SHAHADA YA SHERIA (LL.B) Nje ya Nchi -Naomba Ushauri wa Wadau

    Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa, Natumaini wote mko salama. Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi. Nina...
  15. R

    Nchi ya laana: why? Mbunge anayejua kusoma na kuandika 17,000,000/month, Tabibu (CO) laki 7! Mwalimu laki 4..............hala

    Nchi ya laana
  16. Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  17. S

    Nakumbuka kusoma mahali siku Rais Magufuli anakufa, Samia alikuwa Kenya; najiuliza hadi leo kwanini aliondoka nchini akijua Rais ana hali mbaya?

    Wana JF, siku zote nina akili ya udadisi sana. Hili swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sana. Kwamba zile siku Raisi Magufuli anaonekana ni wazi atakufa na hata akiwaita Mkuu wa Majeshi na viongozi wa dini, Samia aliondoka nchini akawa pale Kenya, na hiyo haikuwa ziara rasmi ya kiserikali...
  18. A

    Lissu ameni inspire nirudi darasani kusoma shahada nyingine ya sheria

    Leo wakati nafuatilia videos zote za matukio ya leo kuhusu kesi ya uhaini ya Lissu, nimejikuta nahamisika sana kurudi darasani kusoma shahada ya Sheria. Ni ukweli ukiijua sheria vizuri mahakamani uwezi kuonewa onewa kizembe. Ni rasmi sasa naenda kuanza kusoma sheria. Nitawekeza kwa nguvu zote...
  19. Wanafunzi wa Afrika wanapenda zaidi kusoma nchini China badala ya Marekani

    Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho. Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha...
  20. Webinar kuhusu wanaotaka kusoma na kufanya kazi Ujerumani

    Join us, on Thursday 12th of June 10:00 AM (EAT) this Thursday, 12th of June.for an exclusive webinar featuring a special guest, Mike. Mike has successfully navigated the journey from student life in Germany to a thriving career in Europe. Learn firsthand about university life, application tips...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…