Kwa mujibu wa Afisa Elimu Mkoa, Samson Hango, Idadi hiyo ni kati ya Wanafunzi 300,000 waliopo Darasa la Kwanza hadi la 7 kutoka Shule za Msingi za Mkoa wote.
Takwimu hizo zilikusanywa Desemba 2022 kupitia Mpango wa Serikali wa 'Shule Bora' unaofadhiliwa na UK Aid kwenye mikoa 9 ya Tanzania...