Bodi ya mikopo(HESLB) inavyotaka kukatisha ndoto zangu za kusoma

Kuchere

Member
Oct 20, 2022
14
39
Kichwa cha habari cha husika,

Mimi ni mwanafunzi niliyepata udahili kwenye chuo kimoja cha serikali, kozi ya engineering

Mimi ni yatima kabisa na sina ndugu mwenye kipato cha kunisomesha, tegemeo langu kubwa lilikua bodi ya mikopo ila mpaka sasa batch 2 zote sijapangiwa mkopo licha ya kukamilisha taratibu zote zinazohitajika na bodi ila kila batch naona nasogezwa mbele, matumaini yote yamekata na sijui cha kufanya.
 
Kuwa mvumilivu kijana na hakika utapata maana bado wanaendelea kuwapanga batch zingine,ivyo subra muhimu usikate tamaa🙏.
 
Hapan Ile ilikuwa ya kwanzaaa ndo maan uliangalia bado wanaleta open status1 na Iko ndani ya wale wanafunzi efl 20 ndo maan bodi haijatoa update zozote baada ya hapo
Oh Asante sana umetufumbua wengi hata mimi nilikuwa sijui
 
Kichwa cha habari cha husika,

Mimi ni mwanafunzi niliyepata udahili kwenye chuo kimoja cha serikali, kozi ya engineering

Mimi ni yatima kabisa na sina ndugu mwenye kipato cha kunisomesha, tegemeo langu kubwa lilikua bodi ya mikopo ila mpaka sasa batch 2 zote sijapangiwa mkopo licha ya kukamilisha taratibu zote zinazohitajika na bodi ila kila batch naona nasogezwa mbele, matumaini yote yamekata na sijui cha kufanya.
Kwa kesi yako kama ni kweli si mbaya kuomba mkopo lakini Hii mikopo tunaipenda lakini mziki wake utauona ukimaliza chuo na ukianza kazi.
 
Back
Top Bottom