kusikiliza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Peter Madeleka atua Kizimkazi Zanzibar ili kusikiliza kero, manyanayaso na uonevu wa serikali ya CCM chini ya ras Samia.

  2. Tafadhali nichagulie Wimbo mzuri wa Kusikiliza ili nishushe Hasira zangu za Draw ya Kizembe ya Ndola nchini Zambia 16 Sept, 2023

    Najitahidi kushusha Hasira za tokea Jana Jumamosi Saa 12 Jioni na hadi Usiku huu wa Saa 4 leo Jumapili bado tu hazijapungua kwa Draw ya Simba SC huko Jijini Ndola nchini Zambia. Ukiwa ni Wimbo wa Kikongo ( Rhumba au Sebene ) nitafurahi zaidi kwani ndizo Nyimbo ambazo huwa nikiwa Nimekwazwa...
  3. Tuangalie na kusikiliza hekima zilizo kuu za Mh. Lukuvi, tutapata jambo hapa.

    Binafsi katika think tank ambazo nimeona utendaji wake live pale ardhi ni huyu mwamba, na ni kilio changu kila siku arudishwe ardhi,kwani utendaji kwa binafsi yangu,dawati la kinondoni,ni shida, Get listen!👇
  4. Napenda kusikiliza ndoto

    Mtu ni roho anayo nafsi na anakaa ndani ya mwili. Roho na Nafsi vikiumwa na mwili nao unaumwa. Sikuwahi kufikiri ninaweza kufanya kazi ya kusikiliza wagonjwa na kuwatibia kwa kuwapa matibabu ya dawa na ushauri. Doctor's skills imenisaidia sana kuanza kupenda ukaribu na watu jambo ambalo...
  5. Majimbo ya Kano na Sokoto nchini Nigeria yapiga marufuku kusikiliza nyimbo za Davido hadharani

    Hii inakuja baada ya davido kutoa wimbo wake hivi karibuni wenye video yenye maudhui ya dini ya kiislam. Waislam wengi hawajapendezewa hasa kwenye majimbo yanayoongozwa kwa mfumo sharia bono na sokoto nchini naigeria, kuwa davido kaudhaurisha uislam kupitia wimbo huo. Hizi dini zingine...
  6. Kwanini huwa Sichoki Kusikiliza Nyimbo hizi Tamu mbili za Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana?

    1. Liberation 2. Serge Palmi Kama Wewe ni Mpenzi wa Miziki ya Congo DR hasa Bendi yangu pendwa na tukuka ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana na hujazisikiliza hizi Nyimbo Mbili Tamu katika Album ya TITANIC basi una bahati mbaya na hupaswi kuwa Mdau wa Congolese Music. Na Utamu zaidi wa hizi...
  7. Mjadala wa Bandari ni ama tuchague kusikiliza mtaalamu Hamza Johari au mpenda sifa Tundu Lissu

    Hamza Saidi Johari WORK Board Member - Civil Aviation Safety and Security Oversight Agency Director General - Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) Part time Lecturer - University of Dar es Salaam (UDSM) Part time Lecturer - National Institute of Transport (NIT) Executive Secretary (CEO) -...
  8. Mahakama zenye mamlaka (jurisdiction) ya kusikiliza kesi za ndoa nchini Tanzania

    Mahakama za kesi za ndoa. Habari mpendwa msomaji! Leo nitatoa elimu ya Mahakama zinazosikiliza kesi za ndoa na unafikaje hapo Mahakamani. Kwa kusoma makala hii utajua mambo yafuatayo: -Jinsi ya kufungua shauri au kesi ya ndoa. -Masharti kabla ya kufungua kesi ya ndoa. -Ukomo wa muda wa...
  9. Mbunge wa Jimbo la Mwanga akagua Miradi ya Maendeleo, Kusikiliza Kero za Wananchi

    MBUNGE wa Jimbo la Mwanga Joseph Tadayo amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza kero za wananchi katika vijiji vinne vya kata ya Toloha na Kwakoa wilayani humo mkoani Kilimanjaro. Katika ziara hiyo Tadayo ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, ambapo...
  10. SoC03 Sauti za Wananchi: Kwanini Serikali Inahitaji Kusikiliza Maoni Yao

    SAUTI ZA WANANCHI: KWA NINI SERIKALI INAHITAJI KUSIKILIZA MAONI YAO Imeandikwa na: MwlRCT 1: UTANGULIZI Katika nchi nyingi za Afrika Mashariki, sauti za wananchi hazipewi kipaumbele na serikali. Sauti za wananchi ni maoni, mapendekezo na malalamiko ya watu wanaoathiriwa na sera na mipango ya...
  11. R

    Msigwa akiulizwa swali gumu kuhusu DP World anajibu watu wajifunze uwezo wa kusikiliza na kukatisha watu kutoa maoni

    Kwenye Mjadala wa Wazi wa Bandari Club House unaoendeshwa na chaneli ya Msemaji Mkuu wa Serikari sasa hivi mambo yamekuwa moto. Msigwa akipigwa swali gumu tu anamwambia aliyeuliza ajifunze kuwa na uwezo wa kusikiliza, halafu anamkatisha muuliza swali kwa kusema kitu anachotaka kusikia yeye...
  12. SoC03 Kuwa Na Sikio La Kufa: Kuwa Tayari Kusikiliza Maoni Na Malalamiko Ya Wengine

    KUWA NA SIKIO LA KUFA: KUWA TAYARI KUSIKILIZA MAONI NA MALALAMIKO YA WENGINE Mwandishi: Mwl.RCT UTANGULIZI Katika ulimwengu wa leo, jamii zetu zinakabiliwa na changamoto nyingi. Kutokana na ongezeko la idadi ya watu, mabadiliko ya hali ya hewa, na migogoro ya kisiasa, ni muhimu zaidi kuliko...
  13. Wizara ya Kilimo Ianzishe Dawati la Kusikiliza Kero za Wafanya Biashara

    MHE. EDWIN SWALLE - WIZARA YA KILIMO IANZISHE DAWATI LA KUSIKILIZA KERO ZA WAFANYABIASHARA MAGETINI Mbunge wa Jimbo la Lupembe Mkoa wa Njombe, Mhe. Edwin Enosy Swalle ameshauri Wizara ya Kilimo kuanzisha dawati maalum la kusikiliza na kushughulikia kero za wafanyabiashara kutokana na changamoto...
  14. M

    Ushauri:watu wa Mwanza msiende kusikiliza vibaraka wa mafisadi

  15. Wosia wa Le Mutuz: CCM/Serikali Imejisahau Haisikilizi, Ikosolewe. Wabunge Wasisifu Viongozi kwa Kutimiza Wajibu Wao. Upinzani Sio Uadui, JF Keep Up!

    NIPASHE YA JANA 04/06/2023 Kama nilivyoahidi wiki iliyopita Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi kuwa wiki hii, nitawaandikia kile alichokisema mtoto wa Mzee Malecela, hayati William Malecela...
  16. Nigeria: Mahakama yaanza kusikiliza Kesi ya Kupinga Ushindi wa Urais wa Abola Tinubu

    Kesi ilifunguliwa na waliokuwa Wagombea Urais katika Uchaguzi wa Februari 2023, Peter Obi wa chama cha Labour na Atiku Abubakar (PDP) kwa madai kuwa Tume ya Uchaguzi (INEC) ilishindwa kuweka Matokeo Mtandaoni kwa muda halisi. Madai hayo ikiwemo ya Tume kushindwa kuwa wazi na kukiuka Sheria za...
  17. Tumalize ubishi Superwoman ya Phina Vs Superwoman ya Zuchu ipi imetulia kusikiliza kwenye gari lako ukiwa safarini?

    Pamezuka ubishi kuhusu wimbo wa "Superwoman" wa Phina na "Superwoman" wa Zuchu. Kuna mjadala mkali sana kuhusu wimbo upi umetulia kusikiliza ukiwa safarini. Nimeamua kuileta hii mada hapa jukwaani pengine tunaweza kupata majibu sahihi. Hii ni Superwoman ya Phina: Hii ni Superwoman ya...
  18. Hakimu ajitoa kusikiliza kesi ya Tsh. Milioni 315 baada ya mshtakiwa kumkataa

    Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Kisutu, Richard Kabate, amejiondoa kusikiliza kesi ya kujipatia Sh315 milioni kwa njia ya udanganyifu, baada ya mshtakiwa Prepetua Gondwe (25) maarufu kama Annastazia kudai kuwa hana imani na hakimu huyo. Annastazia anakabiliwa na mashtaka mawili likiwemo...
  19. Hakimu ajitoa kusikiliza kesi ya Tsh. Milioni 315 baada ya mshtakiwa kumkataa

    Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Kisutu, Richard Kabate, amejiondoa kusikiliza kesi ya kujipatia Sh315 milioni kwa njia ya udanganyifu, baada ya mshtakiwa Prepetua Gondwe (25) maarufu kama Annastazia kudai kuwa hana imani na hakimu huyo. Annastazia anakabiliwa na mashtaka mawili likiwemo...
  20. Nimesoma sana hiki kitabu na hii chapter nilikuwa bado sijaielewa, juzi baada ya kusikiliza hotuba fulani ndipo nikaisoma tena na nikaelewa

    Hello bosses and roses... Hii chapter ina mistari kumi tu, lakini ni fikirishi sana hasahasa kwa historia ya siasa hapa Tanzania kwa kipindi cha 2015 hadi sasa. Kwa muda mrefu nilishindwa kung'amua mafundisho yake lkn hivi juzi ndipo nikaelewa mwandishi (Lao Tzu) alimaanisha nini. Chapter...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…