kushuhudia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Nitawasimulia wajukuu wangu tena kwa madaha ni namna gani nilibahatika kushuhudia vidume hawa wawili wakiikomboa dunia huru dhidi ya radicals

    LONG LIVE THE CRUSADE, LONG LIVE THE ZION Hawa ndio wanaohakikisha dunia huru isiwe chini ya radicals na extremists.
  2. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 ZEC kuwaalika wadau maalum kushuhudia kuteketeza nyaraka za uchaguzi

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar George Joseph Kazi amejibu ametoa maelezo juu ya kauli zilizotolewa na Chama Cha ACT Wazalendo juu ya hatua hiyo ya ZEC kutaka kuteketeza nyaraka zote za uchaguzi wa October 2025 uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana.
  3. Q

    Donald Trump: Ndani ya Siku 7 Ulimwengu unakwenda kushuhudia tukio ambalo halitasahaulika

    COUNTDOWN: 7 Days until the World will witness an unforgettable, behind-the-scenes, look at one of the most important events of our time. -US President, Donald Trump. Daily Iran News. BREAKING NEWS The US Carrier USS Abraham Lincoln has entered strike range of Iran amid escalating tensions...
  4. R

    Diamond ahudhuria bunge kushuhudia Baba Levo akila kiapo

    Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando Maarufu Baba Levo akieleza furaha yake Siku yake ya kwanza Bungeni ambapo leo Novemba 11. 2025 amekula kiapo rasmi kuanza kuwatumikia Wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini Msanii Diamond Platnumz alihudhuria mkutano huo...
  5. Yoda

    WaNigeria elfu ishirini wakusanyika kushuhudia ubwabwa wa jollof kuwahi kupikwa katika sufuria kubwa zaidi duniani!

    Huko Nigeria mpishi mmoja aitwaye Hilda ameweza kuwakusanya raia 20,000 Waafrika wenzake wa nchi hiyo wakati katika tukio lake la kupika wali wa jollof katika sufuria kubwa zaid lillovunja rekodi ya ukubwa duniani.
  6. Bueno

    Tuliowahi kuacha Chuo na tuliowahi kushuhudia watu wakiacha Chuo. Tukutane hapa.

    Mimi nimewahi kuacha Chuo X Mkoa fulani nikiwa naingia Mwaka wa pili, na sababu za kuacha Chuo ni majibu mabovu niliyopokea kutoka kwa Admission Officer fulani ambae hakunijibu vizuri, and I was very disappointed nikachua maamuzi ya kuachana na kile Chuo. Kuanzia siku ile niliacha Chuo rasmi na...
  7. SSH2025_2030

    GE2025 Waangalizi wa Kimataifa waje kushuhudia CHAUMMA akishindwa kihalali

    Tunaawalika Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa toka popote Duniani waje kushuhudia Chama Chenye Sera ya Kula Misosi (CHAUMMA) wakishindwa kihalali. Karne ya 21 unapiga kampeni ya Kula ubwabwa. cCM wakishinda unalia lia. Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable Pascal Mayalla
  8. Carlos The Jackal

    Wakati Spika Tulia akisema Hamna Utekaji Wala Upoteaji watu bila Kushuhudia, Rais Samia analiagiza Jeshi la Polisi kuzuia Upoteaji watu !!

    Sasa huyu ndio Rais wa Mabunge !! Huyu ndio Mbunge, Msomi wa Sheria !! Wakati analinajisi Bunge tukufu, Jana Ndani ya Bunge hilohilo Rais Samia akaliagiza Jeshi la Polisi kudhibiti Upoteaji watu!!. Tanzania imefikia hatua ya Kila MTU mwenye Mamlaka anakua Chawa Kwa ajili tu ya Hakikisho...
  9. Consigliere

    Sijawahi kushuhudia Tanzania ya aina hii

    Naomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuitwa kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania. Kwa miaka mingi Watanzania walikuwa ni watu ambao ndani kama zilivyo nchi nyingine waligawanyika na kutofautiana sana, kimitazamo, kimaslahi ...
  10. Erythrocyte

    CHADEMA yaita Watu wote Duniani kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kote Duniani hii hapa Kwa Wale wasiojua Kiswahili nyingine hii hapa
  11. Waufukweni

    Karia, Hersi wakiwa bungeni kushuhudia uwasilishaji bajeti ya michezo

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia akiwa na Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa makadirio ya mapato na...
  12. R

    Ushauri: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ifanyikie uwanja wa Uhuru Ili kutoa Nafasi kwa umma kushuhudia

    Salaam! Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria, Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
  13. Yoda

    Kumbe Saudi Arabia ni kinyume cha sheria kushuhudia Ukristo/Injili ili kuwabadilisha watu dini!

  14. Webabu

    Dunia kushuhudia vita vibaya vitakavyoangusha mataifa jeuri. Iran amejirayarisha na haitanii.

    Benjamini Netanyahu amejisifu kuwa ramani mpya ya mashariki ya kati inaenda vizuri.Katika kujisifu huko ametaja jinsi ambavyo Hamas na Hizbullah zimedhoofika. Makamanda wake nao hasa waziri wa Ulinzi wamekuwa wakitoa kauli za kujiamini kiasi kama hicho zinazoenda sambamba na kuvunja maeneo...
  15. PureView zeiss

    Tanga: Lorry laua watu 10 waliokwenda kushuhudia ajali Segera

    Wanakijiji 10 wa kijiji cha Chang’ombe kilichopo kwenye kata ya Segera wilayani Handeni wamefariki dunia kwa kugongwa na lori lililopoteza uelekeo wakati walipojitokeza barabarani kutoa msaada kufuatia ajali ya barabarani ya gari ndogo aina ya Tata. Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa...
  16. Equation x

    Ni viongozi wangapi kutoka bara la Afrika, watakwenda Marekani kushuhudia uapisho?

    Tarehe 20 Mwezi huu, huko Marekani kutakuwa na tukio la kuapishwa kwa rais. kuna baadhi ya viongozi wamealikwa, na wengine hawajaalikwa; Swali, kama hujaalikwa, utaweza kuhudhuria? Na katika kuwaalika, wametumia vigezo gani? Na je, kutoka bara la Afrika, ni wangapi wamealikwa?
  17. kipara kipya

    Jioni ya leo tunakwenda kushuhudia yanga akicheza na tawi lake tusubirie mchezo mbovu na upangaji mbaya wa kikosi mechi isiyo na upinzani!

    Fouintain gate ni singida big stars ya mwigulu nchemba doto ya singida black stars hili nalo ni tawi jingine la yanga wala hawezi pata upinzani ni maelekezo na simu moja kutoka kwa mwenye timu hivyo ni yanga kijizolea point na kocha kupanga kikosi cha wachezaji wa akiba tutegemee magoli ya...
  18. kipara kipya

    Leo jioni CCM Liti tunakwenda kushuhudia game bora ya msimu kati ya Simba na Yanga B

    Simba itashinda lakini si kwa urahisi yanga B wamepewa maagizo wameahidiwa fedha gizani na mfadhili wao Gsm wana maagizo kutoka kwa waziri wa fedha na mjumbe wa baraza la wadhamini yanga A Simba ipo kwenye wakati mgumu wachezaji wawe makini wanakwenda kuhujumiwa kwa kutiwa majeraha ili...
  19. G

    Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

    Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH" watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya...
Back
Top Bottom