Ibaki kusema tu viongozi wanaona kama mzaha kuhusu tatizo la ukraine akiwemo Biden na Zelesky,madhara ya tatizo kila Raia anayeshiriki tatizo hilo lazima aguswe, raia hasa wa wamarekani walizoea na kuzoeshwa hivyo kwamba taifa lao linapoingia vitani wao ni kuangalia kwenye tv kama movie kwa...
Ni kama watu wanajaribu kujisahaulisha Ugonjwa wa Corona. Jamani Covid 19 ipo na inaua. Tuchomeni Kinga na tusisahau kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko.
Serikali kwa upendo iliamua kusambaza chanjo. BURE KABISA. watu wanaonekana kujisahaulisha jinsi Covid 19 inavyoua. Tumeona watu...
Halafu mnaosema kuwa sijui ukiona Paka na Paka 'Wananyanduana" utakufa au utapatwa na Misiba Mimi mbona nina bahati ya Kushuhudia huo 'Unyanduano' Wao ila sijafa na wala sijapokea Taarifa yoyote ile ya Msiba?
Na ninachokipenda hasa ( zaidi ) katika "Mnyanduano' wa Paka na Paka ni pale Paka Jike...
KAMATI YA BUNGE NA WIZARA YA MAJI KAZI MPAKA USIKU KUSHUHUDIA JITIHADA ZA UPATIKANAJI MAJI DODOMA
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso na timu ya Wizara ya Maji pamoja na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) na
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wameshuhudia...
Nawasalimu kwa jina la JMT..
Taarifa mpya ni kwamba Siku Rais wa JMT mh.Samia S.Hassan atashuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa Ujenzi wa skimu ya umwagiliaji yenye ukubwa wa hekta 95,000 wenye thamani ya TSH.Bil.400.
Tukio hilo litafanyika siku ya kilele cha Sikukuu ya Wakulima Nanenane...
Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu
Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,
CHADEMA imekwisha ndugu zangu😀😀😀😀😀
Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata...
Haya ni maendeleo makubwa kwa wananchi kuanza kuelewa maana ya hatari na kuikimbia badala ya kuikimbilia.
Mwaka 1998 ulipolipuliwa ubalozi wa Marekani eneo hilo hilo alilokuwa anatamba Hamza jana wananchi kutoka maeneo ya jirani walikuwa wanakimbilia eneo la tukio kadri milipuko ilipoongezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.