Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa amesema anaiona Tanzania ya neema ya watu wanaojitambua na wanaoshirikiana kupitia Montessori.
Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa
Ameyasema hayo wakati alipokuwa mgeni rasmi katika Kongamano la 26 la Wana-Montessori Community of Tanzania...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wamesaini hati ya Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizi hususan katika kuzuia vitendo vya rushwa na dawa za kulevya hapa nchini kupitia vilabu...
02 May 2023
Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) iameahidi kuendeleza ushirikiano na Bodi ya Usajili wa Wahandisi ya Kenya (EBK), katika mkataba wa makubaliano ya pamoja waliyoweka ili kuhakikisha wanakidhi vigezo vya ushindani katika nchi za umoja wa Afrika Mashariki na dunia kwa...
Katika miaka ya hivi karibuni, taasisi ya TAKUKURU nchini Tanzania imejitahidi kufanya kazi kwa bidii katika kuhakikisha kuwa uwajibikaji na utawala bora vinakuwa vipaumbele kwa viongozi na wananchi wote. Hata hivyo, kulikuwa na changamoto nyingi zilizokuwa zinakwamisha jitihada za TAKUKURU...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni ukweli usiofichika kwamba hapa nchini Tanzania ni ngumu sana biashara iliyofunguliwa kwa ushirikiano wa kuanzia watu wawili ni ngumu sana kudumu. Ukimtoa kumpiga mwizi huwa tuna umoja wa dhati kwenye kushabikia Simba/Yanga. Kwenye ushabiki wa hizi timu...
Wale wafuasi wa Magufuli leo hii wanalalamika kwamba Chadema haikosoi tena Serikali, imenunuliwa
Lakini watu hawa hawa ndio waliokuwa wakisoma vyama vya upinzani havina umuhimu, inabidi viuawe kwa nguvu kwa kutumia mbinu za kuteka kufunga na kuua viongozi wake
Hawa watu wana matatizo ya akili?
07 Feb, 2023
SERIKALI imesema imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea biashara kupitia uwekezaji ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo kati ya Marais wa nchi hizo mbili yaliyofanyika hivi karibuni mjini Washington...
Hello waungwana,
Nipo mkoani Arusha. Nina mtaji wa vifaa vya Lab ila gharama ya kulipa pango na pia kurekebisha chumba pesa imeniishia. Sasa basi kama na wewe una ndoto hiyo naomba tushirikiane.
Site ni nzuri Sana iko palipochangamka pia sehemu yenye population kila wiki mnada rahisi mno...
Heri ya mwaka mpya kwa wadau wote,tumshukur Mungu hasa kwa yote anayoendelea kutujalia
Wadau wengi ukiwauliza kuhusu matatizo na changamoto za elimu ya Tanzania bas watakutajia upungufu wa walimu, upungufu wa miundombinu kama madarasa, vyoo n.k
Lkn najua wengi wetu hatujaingia ndani kabisa na...
Kutokana na kupungua kwa maji katika Mto Ruvu ambao unatumika kusambaza maji katika baadhi ya maeneo ya mkoa wa Pwani na mkoa wa Dar es Salaam, Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameiagiza DAWASA kushirikiana na wenye visima vya maji kutoa huduma hiyo ili kupunguza madhira yanayowapata wakazi wa mikoa...
CCM KUSHIRIKIANA NA CPV - VIETNAM KUKUZA FURSA ZA AJIRA NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesisitiza umuhimu wa kuendeleza na kuimarisha zaidi ushirikiano wa kisiasa, kiuchumi na kijamii kati ya CCM na Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV), kupitia udugu...
Msemaji wa Wizara ya Michezo Mohammed Fawzi amethibitha kuwa nchi hizo tatu zimekubaliana kuungana ili kuomba kibali cha FIFA na mazungumzo hayo yanahusisha wasimamizi wa michezo wa nchi hizo.
Misri inataka kutumia uzoefu wake wa muda mrefu katika masuala ya michezo ikiwemo kuwa mwenyeji wa...
Kwanza nisema huwezi kuunganisha nguvu ya Tajiri na Mtu mnyonge maskini zikawa kitu kimoja, Simba yenyewe pamoja na kwamba Ina Mashabiki wengi na wanachama Bado inajiita Nguvu Moja!! (Hapa nimetania tu😆).
Jana wakati mheshimiwa waziri wa Fedha anatetea Tozo alisema mambo mengi sana lakini Mimi...
Wapenzi wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua bibi kizee wa miaka 100 kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati wakigombea ardhi.
Bibi huyo, Felister Silayo, mkazi wa Kijiji cha Kirongo juu, Kata ya Kirongo Samanga, Wilaya ya Rombo alifikwa na umauti...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hivi karibuni aliahidi kwamba Marekani inapanga kutumia dola bilioni 200 kati ya mpango wa miundombinu wa dola bilioni 600 uliotangazwa hapo awali na G7 kupambana na "nafasi ya uongozi ya China barani Afrika na nchi nyingine maskini." Mwezi...
Watendaji wa taasisi za umma na binafsi ambao wanatekeleza ajenda ya kuipeleka nchi katika uchumi wa kidijiti, wametakiwa kushirikiana na kutekeleza jukumu hilo kwa weledi na ubora wa viwango vya kimataifa.
Akizungumza katika Jukwaa la Nne la Ubunifu na Teknolojia lililofanyika jijini Dar es...
Chini ya Rais Samia Suluhu, mipango hivi sasa inasukwa kati ya TANOIL, kampuni tanzu chini ya TPDC na Oman OQ ya Oman kufanya kazi kwa pamoja kwenye sekta ya kufanya bidhaa za Petroli.
Mpango huu umewekwa kazi wakati wa kikao kati ya Waziri wa Nishati, Mh January Makamba na Balozi wa Oman...
Kwa miaka kadhaa iliyopita watumishi wengi wa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali, waliibia sana serikali.
Hii ilitokana na kukosa udhibiti wa miaya ya rushwa, kukosa uadilifu na kuruhusu matumizi yasiyo ya lazima.
Kiongozi wa nchi aliyetangulia kabla ya huyu aliyepo sasa, alijitahidi...
Rais Volodymyr Zelenskyy ametoa amri za kuwafuta kazi, Mkuu wa Idara ya Usalama Ivan Bakanov, na Mwendesha Mashtaka Mkuu, Iryna Venediktova na kumteua Naibu wake Oleksiy Symonenko kama Mwendesha Mashtaka Mkuu mpya
Amesema hatua hiyo kufuatia tuhuma za maafisa wao kushirikiana na Urusi, huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.