kushindana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kihongosi: Hatuwezi kushindana na vyama vidogo tunavyovilea, CHADEMA, ACT, CUF wote tunawalea

    Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja...
  2. Allen Kilewella

    CCM hamuwezi kushindana na Teknolojia

    Naziona juhudi za CCM kupambana na watu wanaotumia mitandao ya kijamii kukikosoa chama hicho. China nchi ambayo CCM wanajibaraguza kuwa wanafuata mfano wake, hawazimi mitandao bali huwapa wachina mbadala wa kile wanachozuia wasitumie. Sasa CCM wanazima TikTok, Whatsapp, YouTube na Twitter bila...
  3. Mad Max

    Toyota wamezindua Supercar yao ya kwanza ya kushindana na kina Ferrari na Porsche: Toyota GR GT!

    Kwema wakuu? December iliyokua inasubiriwa imefika. Toyota wamefanya yao. Kupitia department yao ya Gazoo Racing, Toyota wamezindua Supercar yao ya kwanza, wanayoiita GR GT, ambayo ni street-legal racing car. Hii supercar itapambana na magari ya kifahari kama Ferrari, Porsche, nk. GR GT ni 2...
  4. Dr Adam Francis

    Vyama vya upinzani Tanzania vinajihujumu na kuhujumiana badala ya kushindana CCM

    Ni dhana inayoaminika kuwa, kama ukitaka suluhu ya kweli na ya kudumu kwa matatizo yako basi ujiepushe na kutafuta majubu rahisi kwa maswali magumu. Kuelekea Oktoba 29, kundi linalohamasisha maandamano linauza hoja kuwa mtesi wa wapinzani tangu 1992 tuingie kwenye vyama vingi ni CCM. Wakati huo...
  5. W

    POTOSHI Salome Makamba asema waliotaka kushindana na Rais Samia wameishia kutekwa

    Wakuu nimekutana na hii video lakini ni kama kilichoandikwa ni tofauti na kinachozungumzwa.
  6. Mhaya

    Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  7. Superbug

    GE2025 Mimi siungi mkono maandamano. Huwezi kushindana na Dola. Tutavuna vifo na vilema Dola itatamalaki na TANZANIA itabaki

    Huu ni misimamo wangu siungi mkono maandamano Kwa hili nitaungana na serikali kwasababu huwezi shindana na Dola na pia ukishindana nayo wengi mtakuwa vilema na marehemu. Nashauri swala la maandamano lifuteni Hilo halipo na Mimi nitakuwa upande wa Dola.
  8. DuaZaMama

    GE2025 Mpina ashinda kesi kuenguliwa kuwa mgombea Urais

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho. Kesi...
  9. Sales man

    Kushindana na CCM, unakuwa unashindana na Serikali na vyombo vyake, usipotumia akili utaishia kuumizwa bure

    CCM sio Chama cha siasa Ila ni Serikali, hivyo kushindana na CCM unahitaji akili Sana . Na sio hivi kama wanavyofanya hawa vijana akina Lissu na wengineo. Binafsi watu ambao hawaulewi ukweli nawapa pole. Hata hapa JF tumejificha kwa I'd fake lengo ni kuikwepa Serikali.
  10. M

    Yanga na simba tujifunze. Vilabu vikubwa tunavyoenda kushindana navyo Caf champions league zimepiga chenga wachezaji wao kushiriki mashindano ya CHAN

    Habari wadau. Mashindano ya chan yanaendelea. Ila uhalisia yanachosha wachezaji wazuri na tegemezi wa club zetu. Mamelodi sundowns, orlando pirates, kaizer chiefs zimegoma kuleta majembe yao ya first eleven kuwemo kwenye kikosi cha south africa. mfano majembe yote ya mamelodi tunayoyajua...
  11. J

    Kwa mbwembwe hizi, mnaenda kushindana na nani?

    Wasanii kama wote, mbwembwe kama zote, mipasho kama yote, gharama kama zote, mshindani wenu ni nani???
  12. Waufukweni

    GE2025 KUMBUKIZI | Dkt. Kigwangalla: Kama kuna mtu ataweza kushindana na mimi kwa vigezo, akachukue fomu. Nzega ni njema

    Video hii ya Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamisi Andrea Kigwangalla akichangia Bungeni Juni 18, 2025 aliweka wazi kwa yeyote ambaye atakuwa tayari kushindana nae kwenye Jimbo la Nzega vijijini basi akachukue fomu yeye yuko tayari.
  13. Apollo tyres

    Byabato hauwezi kushindana na Rais, kaa chini ujitafakari !.

    Huyu Ndugu Byabato , anavyosema anaweka Mbunge anayemtaka anakuwa anamaanisha nini? Je ikiwa yeye hakuwa Mgombea alipata kiburi wapi cha kusema Mimi "Naweka Mbunge ninayemtaka" Naomba Ccm Kagera na Ccm TAIFA wafatilie hili Swala .
  14. Komeo Lachuma

    Brics yaanza kulia lia kumlilia Trump. Nimeshangaa maneno ya Ramaphosa. Asema wao hawataki kushindana na yeyote

  15. Fbn

    Muhusika wa series ya Mr robot ndio kacheza sinema ya The mature.Ila zinaonesha kuhusu serekali na ubabe na jinsi ya kushindana nazo

    Kwa wale waliofatilia MR robot Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala. Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
  16. L

    CCM Ni Dude Moja Kubwa Sana Ambalo Mtu na genge lako Huwezi Kushindana Nalo na Ukaliweza au Kulidhoofisha. Waliojaribu waliishia Kufedheheka

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni dude Moja Kubwa sana, ni dude ambalo mtu binafsi na genge lako au kikundi chako cha uchumia tumbo au usaka tonge au uroho wako wa madaraka huwezi kupambana nalo wala kushindana nalo wala kulidhoofisha wala kulihujumu wala kulidodosha wala kulitikisa wala...
  17. GENTAMYCINE

    Nani anawadanganya Wakenya kuwa wana Ubavu wa Kushindana 'Kijeshi' na Tanzania inayoogopeka 'Kijeshi' na 'Kiujasusi' Ukanda wa Maziwa Makuu?

    Na bahati nzuri nilipo sasa GENTAMYCINE nakutana na Wanajeshi wa kutoka Tanzania, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini na wa Kenya. Taarifa ambazo ninazo na pia tu kwa Kuona kwa Wanajeshi wa Kenya ni kwamba wanachojivunia nacho zaidi ni Majigambo na Kiingereza kingi ila nikiwaona katika Mazoezi ya...
  18. Dennis Robert Shughuru

    Marekani hana capacity ya kushindana na china hasa linapokuja swala la vita vya kiuchumi

    Marekani wawekeze kwenye viwanda vya awali (primary industries) ndo wafikirie kushindana na china
  19. Satirical Yet Awesome

    Wanawake mkitaka kushindana na wanaume zenu, shindana nae kweny kila sekta

    Eti niki cheat na yeye analipiza ana cheat na mwanaume mwingine. Sasa najiuliza kama yeye ni jemedari wa kulipiza visasi, mbona nikilipa bills za nyumbani halipizi? Na yeye akawa analipa bills. Mbona nikilipa ada za watoto halipizi? Nayeye akalipa ada za watoto. Mbona nikifungua biashara kwa...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 MNEC Ndele Mwaselela: Hakuna wa kushindani na Rais Samia kwenye uchaguzi 2025

    Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa (NEC) Ndele Mwaselela amewaambia wananchi wa mkoa wa kagera kuwa kazi nzuri za Dkt Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne katika sekta zote zimefanya wananchi wa nchi nzima Tanzania kumpenda na kumwamini Dkt Samia Suluhu, kila mahala tunapopita wana imani kubwa...
Back
Top Bottom