kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tunataka Waziri wa Wanaume. Hizi za kusema Waziri wa jinsia sio kweli. Aliyepo ni waziri wa wanawake na watoto.

    TUNATAKA WAZIRI WA WANAUME. HIZI ZA KUSEMA WAZIRI WA JINSIA SIO KWELI. ALIYEPO WAZIRI WA WANAWAKE NA WATOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wizard ya Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto. Inafanya kazi kwa kiwango fulani. Labda tuite kiwango fulani kizuri katika mambo kadhaa. Ila mimi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katika kujenga Discipline (Nidhamu) hakuna vita kali kama Will Power Vs Self controll, Ni rahisi sana kusema I will do xx ila ni mtihani kufanya kweli

    Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi. Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ...
  3. JamiiForums Tanzania Watu walidiriki kusema pep ni bora kuliko Ferguson. Kumbe alikuwa anashinda kitapeli kutokea Barcelona hadi Man City

    Scars hawa watu ni matapeli mnooo
  4. JamiiForums Tanzania Paul Chacha ni mzalendo wa kweli wa CCM

    Paul Chacha ni mzalendo wa kweli wa chama cha mapinduzi kwa kuwa msingi mkuu wa CCM ni kusema kweli daima. Na hakika Chacha kasema ukweli kuhusu hivyo vyombo vya ulinzi ambavyo watu wengi hapa Tanzania hata humu JF wanafikiri vipo upande wao hata kuelekea maandamano ya mwaka jana Oct.29...
  5. JamiiForums Tanzania Unafiki: Wenye Kusema vs. Wenye Kutenda

    Watu wasio na maadili ndio wamesimama mstari wa mbele kuwakumbusha waadilifu umuhimu wa kulinda maadili. Wenye dhambi ndio wamesimama mimbarini kuwahubiria wacha Mungu umuhimu wa watu kuacha dhambi. Wenye michepuko ndio wanaogombania majukwaa kuendesha semina za uaminifu katika ndoa. Wasio na...
  6. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema CCM Tarehe 29 Oktoba 2025 ndiyo iliyoua watu?

    baada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29. hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
  7. JamiiForums Tanzania Chacha amevidhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama kusema vinamilikiwa na CCM, watoke hadharani kukanusha na kumpa onyo

    Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma, Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama. Sio sawa kusema ni Mali ya CCM Chacha kusema ni Mali ya CCM inaviondekea Imani Kwa wananchi. Kuonekana kuwa hivi vyombo vipo Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Makonda alitumia methodology gani kusema jezi ni mbaya? Au yeye mawazo yake ni sheria? Kikao cha wizara kinasemaje?

    Wakuu tupelekeni watoto shule.
  9. JamiiForums Tanzania Sitaki kusema kuhusu Barabara LAKINI SIMANJIRO HAINA BARABARA 🙌

    https://www.instagram.com/reel/DdmI0Qxj1u4/?stkn=bm9ncGdxNDd2NW9u
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustin Ramadhani aliwahi kusema kesi zote huwa zinaendeshwa sehemu mbili, Mahakamani na nje ya MAHAKAMA

    Jaji Augustin Ramadhani akiongea na Mwandishi wa habari juu ya kesi Fulani,aliwahi kusema hivyo. Alisema kua kesi zote duniani hua zinasikilizwa mara mbili,ndani ya MAHAKAMA na nje ya MAHAKAMA. Alisema Nje ya MAHAKAMA alisema wakati kesi yoyote inaendelea mahakamani,huku Nje watu pia...
  12. JamiiForums Tanzania Dudu Baya azimiwa mic jukwaani baada ya kusema Ommy Dimpoz chakula cha watu

    Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini. Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Narudia tena kusema, Dr Ally Hussein Mwinyi anavunja record ya Maendeleo Zanzibar

    Mnamo mwezi Jan 2026 nilisema namna Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Ally Mwinyi anvyokonga nyoyo za wazanzibar kwa kuwaletea maendeleo endelevu kisiwani humo. Nilisema pia haya Mwaka mmoja bada ya kuchaguliwa Mwaka 2021. Kwa mtu ambaye naifahamu Zanzibar kabla ya Uongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi wanapenda kusema, "NILIKUWA NA...", hata kama kitu wanachokisema kiko kwenye wakati uliopo?

    Kwa mfano, ukiwa unaongea na mwanamke utasikia akisema, 'nilikuwa naomba' unisaidi buku tano. 'Nilikuwa nauliza' kwamba mandazi shilingi ngapi. 'Nilikuwa naomba' uniruhusu kwenda nyumbani. Je, huu ndio mtinfo mpya wa wanawake mjini ama vipi? Baadhi ya vijana wa kiume nao wameshaanza...
  15. JamiiForums Tanzania Kusema kweli hakuna popote tunaenda wana Man Utd ila angalau kwa kikosi hiki tunaweza maliza nafasi ya tano au sita.

    1: Lammens 2: full back mpya atakaye nunuliwa january 3: full back mpya atakayenunuliwa january 4: Yoro 5: de ligt 6: Baleba 8: Mainoo 10: Bruno 7: Mbeumo 11: Cunha 9: Sesko
  16. S

    JamiiForums Tanzania Msijeshangaa kusikia Lissu kaachiwa huku Bi. Mkubwa baadae akija kusema niliombwa na Mbowe

    Pamoja na yote yanayoendelea mahakamani hivi sasa kuhusu kesi ya Lissu, huu ndio utabiri wangu kutokana na uzoefu nlilioupata katika kufuatilia siasa na wanasiasa. Naomba niishie hapa.
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shahidi Muhimu wa Kesi ya Albert Ojwang Afariki Kabla ya Kusema Alichokuwa Anajua

    Kesi ya mauaji ya blogger na mwalimu Albert Ojwang imepata mgeuko mwingine baada ya afisa wa polisi aliyekuwa protected witness kufariki kabla hajatoa ushahidi wake mahakamani. Stephen Maina Nderitu, aliyekuwa akifanya kazi katika ofisi ya OCS katika Central Police Station, alifariki Jumatatu...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliwahi kusema kuwa mwanamke akikasirika basi mwanaume ampe pesa na mwanaume akikasirika basi mwanamke ampe good sex

    Unaweza kuchukulia poa huu msemo Labda ukaona umekaa secular sana Ila mwanamke yoyote alie katika household ambayo kuna ukata mara nyingi ni mtu wa kuvuta vuta mdomo sana, alafu itokee bwana ake amemuudhi, bwana nae kapiga pini, alafu mdada akutane na vijana wa crown wenye uwezo wa kukidhi...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

    Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa...
  20. JamiiForums Tanzania Sheba Igangu anataka Balozi Mkubwa aliwe kichwa kama yule mdogo, wanamlazimisha atume ujumbe kule kuwa aliwaingiza chaka!

    Sheba wa Igangu ni mpuuzi sana anapendekeza Balozi mkubwa aliwe kichwa kama mdogo alivyouwawa? Yuko Malawi wamamtia kufuli. Mapendekezo ni Mawili kuwa Afungwe au awe apigwe kufuli kwake! Cha Kushangaza hata mke wake ameshindwa kuonana naye ameoanana na mwakilishi Mmoja tu Wa ndugu. Account zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…