kusafiri

Kusafiri is one of the five world centres of the World Association of Girl Guides and Girl Scouts (WAGGGS). It is based in Africa but has no fixed location, instead it moves around existing locations in different African countries.In October 2015, the name Kusafiri was given to the fifth world centre. Kusafiri means 'to journey' in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kulipa Tsh. Milioni 4.8 kwenda China na Air Tanzania

    Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), imepunguza gharama za safari zao za ndege kwa wanafunzi wanaosafiri kutoka Tanzania kwenda China kutoka Dola za Marekani 3800 hadi Dola za Marekani 2100. Akizungumza leo, Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki, amesema mpaka sasa gharama za safari za...
  2. The Knowledge Seeker

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kwenda (kujilipua) Ireland au European countries kwa ujumla

    Habarini za humu ndani wadau, niko hapa kuomba experiences na ideas mbalimbali tokea kwenu za namna na jinsi ya kwenda Ireland kwaajili ya kujilipua au kwa maana nyingine kutafuta maisha, nchi hiyo au Europe kwa ujumla. Naimani hapa nitapata (tutapata) maarifa na uzoefu wa watu mbalimbali...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Watu wa Makabila Madogo yafanyika wilayani Rongjiang mkoani Guizhou China

    Agosti 25, wanariadha wanafanya maonesho ya kusafiri mtoni kwa mashua ya mwanzi mmoja kwenye Michezo ya 10 ya Watu wa Makabila Madogo ya Mkoa wa Guizhou, iliyofanyika katika wilaya ya Rongjiang.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Siku hizi tumechoka kusafiri tena 'Majuu' au wenyeji wetu wapo 'busy' na wanaona tunawaharibia tu Ratiba zao Muhimu?

    GENTAMYCINE sijasafiri muda mrefu sasa kwenda 'Majuu' sijui nimechokwa au? Ngoja nilazimishe sasa kwenda hata China kwa Makamarada (Comrades) na wao wakinikataa nitaomba kwenda Ukraine au Urusi (kwenye Vita) japo naogopa Kufa kwani naivizia sana 2025 ili nami niweke Historia yangu na siyo...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Sensa itachukua siku ngapi? Watu wataenda makazini? Kusafiri mikoani je?

    Wadau naomba kujibiwa maswali yangu haya, ili nijue napangaje ratiba zangu.
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia kusafiri nchi mbili kufuatia vifo vya viongozi wakuu wastaafu?

    Mipango ya Mungu haiepukiki. Kama mnavyojua dunia imepata mapigo mawili ya misiba Shinzo Abe wa Japan na Rais mstaafu wa Angola ndg Dos Santos. Kwa sababu za kiprotokali mama Samia wiki ijayo huenda akawa bize Sana, kwanza ataenda Tokyo kutoa heshima zake za mwisho kwa Wajapan na familia kwa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man United kusafiri leo, Cristiano Ronaldo kukosekana kwenye msafara

    Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya wachezaji wa kikosi cha Manchester United kinachotarajiwa kusafiri leo Julai 8, 2022 kuelekea Bangkok kwa ajili ya mechi za maandalizi ya msimu mpya, kutokana na kuongezewa muda wa kushughulikia masuala yake ya kifamilia. Pamoja na hivyo bado haijulikana...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Muda wote tu unawaza Kusafiri 'Majuu' kwanini huku nyuma Wajanja 'wasikupige' na Kujitajirisha?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aeleza kutoridhishwa na kasi ya uendeshwaji wa bandari. Chanzo: ikulu_mawasiliano Na kwa Kukusaidia hupigwi tu hapo Bandari bali unapigwa zaidi katika Utalii, Wizara ya Fedha na katika Madini. Si ulisema Wewe utakuwa Mpole na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini zaidi ya 75% ya mawakili hawajakwenda Arusha kupiga kura TLS? Kwanini vijana wamepungua? Nini nafasi ya Teknolojia kupiga kura?

    TLS ina wanachama zaidi ya elfu tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu moja jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 hawakujitokeza kwenda kuchagua rais wao. Lakini pia kati ya waliojitokeza kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wapiga debe hawatambuliki kisheria, abiria ana haki ya kusafiri mazingira salama kusiwe na kelele

    Licha ya abiria wengi wa usafiri wa daladala na mabasi makubwa kukumbana na usumbufu wa wapigadebe katika vituo vya mabasi imeelezwa wapigadebe hao hawatambuliki kisheria. Mwenyekiti wa Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA), Hassan Mchanjama anasema: "Kwenye sheria wapiga debe hawapo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mrusi kusafiri kwa miaka 40 kama wana wa Israel

    Kuna msemo maarufu wa waingireza usemao "history repeats itself" kwa ninavyoona majeshi ya Urusi huko Ukraine huenda yakatumia miaka 40 kwenda Kyiv kama wana wa Israel walivyotumia miaka 40 kusafiri kutoka misri kwenda Palestine
  12. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa kawaida pia wanaweza kuweka historia, hata kusafiri anga za juu

    Aprili 16, wanaanga watatu wa China waliokwenda anga ya juu kwa Chombo cha Shenzhou No. 13 walirejea nyumbani salama wakiwa na hali nzuri kiafya. Katika kipindi cha miezi sita iliyopita, wanaanga hawa waliweka historia mbalimbali mpya katika sekta ya safari za anga ya juu ya China. Wanaanga hawa...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotegemea kusafiri kuelekea Malawi, ni lazima uwe umechanjwa dhidi ya UVIKO-19 na uonyeshe kithibitisho

    Nawakumbusha tu kwa wadau wowote mnaotegemea kusafiri kuelekea nchini Malawi kwamba nchi hiyo ina masharti makali dhidi ya UVIKO-19. Hakuna raia anayeruhusiwa kuingia nchini humo pasipo kuonyesha uthibitisho wa kuchanjwa dhidi ya virusi ya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19. Nawatakia...
  14. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kusafiri nje ya nchi kwa viongozi wa kisiasa na hata wale makinda wa kisiasa ni jambo jema

    Wengi wanahoji kwanini Rais SSH anasafiri sana nje! Jibu ambalo linahitaji mtazamo mpana sana ni kwamba KULE NJE ANAKUWA "EXPOSED" NA MAZINGIRA YA KIMAENDELEO na namna dunia inavyosonga mbele kwa kasi. Kwa mtazamo huu utagundua kila safari inamuongezea uchu wa kutaka kuiona Tanzania inajitahidi...
  15. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya ziendelee kufanya tathimini juu ya utoaji wa vibali vya mabasi ya abiria kusafiri usiku. Majaliwa alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda katika kipindi cha...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo Tarafa ya Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa wanayoyatumia kufuatia madarasa hayo ambayo yamejengwa kwa mawe tangu mwaka 1970 kuanza kupasuka kisha kudondosha mawe. Chanzo: EastAfricaTv...
  17. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa kusafiri sana kuifaidi dunia

    Mwaka 2022 unagawanyika kwa mbili. Ni mwaka mzuri. Usikubali ukaishi maisha ya dhiki na kutofurahia maisha. Unafanya kazi ili iweje kama huwezi kutenga siku kadhaa za kufurahia maisha? Dhamiria kuufanya mwaka huu kuwa mwaka wa kujipa nafasi binafsi. Au kama uwezo unaruhusu, basi jipe nafasi na...
  18. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ramaphosa: Hakuna sababu za Kisayansi za kuweka marufuku ya kusafiri kwa nchi za Kusini mwa Afrika

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani zilizoweka vikwazo vya usafiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrika yaliyobainika kuwa na maambukizi ya aina mpya ya Virusi vya Corona kuondoa vikwazo hivyo. Katika hotuba yenye urefu wa dakika 29, Rais Ramaphosa...
  19. SNAP J

    JamiiForums Tanzania Israel yaweka zuio la kusafiri karibu nchi zote za Afrika

    Karibu Nchi zote za Africa, kasoro zile zinazopatikana kaskazini mwa Africa (Northern African countries) zimepigwa ban na taifa la Israel ijumaa ya tarehe 26 Novemba 2021 kutokana na hatari ya kirusi kipya cha korona kilichopewa jina na la "Omicron" na shirika la afya duniani WHO ambacho...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

    Gharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu, Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa...
Back
Top Bottom