RIPOTI kutoka Ubelgiji zinamhusisha mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Samagoal’ kutua Cardiff City ya Ligi Daraja la Kwanza England ‘Championship’.
Mshambulizi huyo mwenye umri wa miaka 29 ameonyeshewa malango wa kutokea huko Uturuki kwenye klabu...