Hili jambo la FARA hili mmh ni kama Serikali imeamua kununua "kipaza sauti" kule Washington D.C ili sauti yake isikike tofauti na inavyosikika sasa hivi.😂
1. Kwanini Marekani na kwanini Tom Graves?
Washington D.C. inatawaliwa na kitu kinaitwa "Lobbying Engine." Siasa za Marekani, hususan chini...
Huku kwetu Mtwara, kuna changamoto inayowakuta Wanafunzi wa Chuo cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Tawi la Mtwara linalojulikana kwa jina la Stella Maris Mtwara University College (STEMMUCO) kutopewa vyeti vyao tena kama vilipotea au inapotokea vina marekebisho.
Baadhi ya wahitimu...
Anonymous
Thread
cheti
chuo
kufanikiwa
kurekebisha
mtwara
ngumu
saut
ukitaka
Habari wakuu,
Poleni na msiba wa kitaifa tunaoendelea kuuomboleza.
Moja kwa moja nijikite kwenye mada husika kwa kuwaomba msaada wa mawazo na ushauri kwa ujumla.
Mimi nina cheti cha kuzaliwa lakini cheti changu ni cha zamani sana kimetoka tangu mwaka 1988.
Katika cheti changu jina langu...
Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina.
Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana...
Mpaka majira ya saa nne tarehe 21 8 2025 hutujui kinachoendelea kwenye press ya Pole pole
Ipite mbali Mifumo isipite naye
Ila Kuna watu wanajisahau Sana wakipewa nafasi Hadi waondolewe
Nape naye alijisahau siku aliponyoshewa bastola na Mifumo mibovu akashtuka sijui Kama ameshajifunza na...
Umeenda na gari yako gereji kwa tatizo flani, Unahakikishiwa tatizo litatuliwa
Unaambiwa inahitajika spea flani unatoa hela
unaambiwa inahitajika oili na grisi unatoa hela
unapigiwa hesabu za ufundi unatoa hela
Kuna muda unatoa hata motisha kwa fundi
Lakini baada ya matengenezo kukamilika...
Hapa Quran 67.5 nimesoma eti shetani hushambuliwa kwa kurushiwa mizinga ya nyota, hii ina maana gani, au zile huwa tunaona kama shooting stars ndio hiyo mizinga dhidi ya shetani.
Kwa walio bahatika hata ilmu ya msingi tu, wanajua nini maana ya shooting stars, au pia ilivyo ujuha kusema nyota...
Mwaka Juzi walidondosha TV ya Samsung ambayo nilijidunduliza na kujibana sana hadi kuinunua dukani kwa milioni 2 na nusu.
Jana siku ya Jumapilii walibaki peke yao nyumbani tukiwa (na mke wangu) tumeenda kwenye shughuli ya kijamii, ufunguo huwa nauficha lakini wakagundua ulipo.
Jirani...
Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar.
Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni !
Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja kijanja.
Unawezaje badilisha Katiba kijanja Janja kwa wajumbe kua Watazamaji tu?? Wajumbe...
Rais Samia akizindua Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023 Chamwino Dodoma Aprili 23, 2025
https://www.youtube.com/live/po15xrrRr54?si=lMhXCak4Dxa0aCp1
Kuna wakati lazima viongozi wetu wawe na uwezo wa kuona mbali kwamba wanapaswa kutokweka misimamo ambayo athari zake zitakuwa mbaya huko mbeleni.
In fact, kuwa na msimamo tofauti na matakwa ya wengi na ushauri wa watu wenye hekima ni kuwa na kiburi
Hili suala la kubadili kanuni za uchaguzi...
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
Naona binafsi sheria zimewekwa ili kutoa adhabu na siyo kurekebisha tabia,taasisi zinazoshughulika na taratibu zimekuwa zikitozq fedha pasipo kuangalia/kuweka misingi ya kutokomeza tatizo Mfano Trafik licha ya utozaji wa faini bado kuna ongezeko kubwa la ajali na makosa ya barabarani.
Naona ipo...
Ndio tayari umeshakuwa positive, kulia lia na kujifungia ndani kila siku haiwezi badirisha situation yako.
Ndio tayari umeshazaa na kichomi. Kukaa kijiweni na kuwa diss kila siku wadada wa kileo haitabadirisha situation yako
Ndio tayari umeshakuwa single mom. Kuwalaumu wanaume kila siku kwenye...
Karne ya 18 hadi 20 huko Ulaya na Marekani kanisa Katoliki huko Ulaya na Marekani walikuwa na vituo vya kurekebisha tabia kwa wanawake hasa mabinti wa makundi mbalimbali wakiwemo single mothers, makahaba, wanawake walioonekana wajeuri na walioonekana mzigo kwa familia zao.
Wanawake wengi...
Aslaam,
Kuna wakati kama binadamu unatakiwa ujitafakari.
Mim binafsi nimejitafakari na kugundua nimechelewa saana katika maisha. Na Moja yakitu kilichonichelewesha ni hofu.
Asikuambie mtu hii kitu(hofu) ni ya kijinga saana, nakama hujaiugundua mapema inaweza kukumaliza mpka uzeeni...
Je, ni sahihi kulipia kibali kwaajili ya marekebisho ya kupaka rangi nyingine nyumba yangu?
Nimeikuta huku Songea mkoa wa Ruvuma, ikiwa mwenye nyumba anataka kurekebisha rangi au kubomoa na kujenga vyumba vya kisasa inahitajika alipe pesa serikalini
Ili apate kibali je ni sahihi? Au ni sheria...
ACT Wazalendo, kupitia taarifa yetu kwa umma ya tarehe: 08/11/2024, tuliitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuweka, hadharani gharama zote za matengenezo ya Viwanja vya Amani na Gombani ambavyo vimetangaazwa kufungwa ili kufanyiwa matengenezo, kutokana na taarifa yetu hiyo, Wizara ya Habari...
Kufuatia tamko la mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh. Chalamila kuwa tare 23 vyombo vya ulinzi vitafanya usafi mkoa wa dar salaam mi naona kuwa kwa kuwa hivyi vyombo viko vingi angepanga kwa mafungu kuwa chombo hiki kije na maslesha chombo hiki kije na sururu chombo hiki kije reky na hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.