kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Uchaguzi 2025: Sauti Yako Katika Uchaguzi, Tuchambue Mapambano Ya Rais, Wabunge, na Madiwani - Maoni, Utabiri, Na Mjadala!

    .Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, ingawa tarehe inaweza kubadilika kulingana na ratiba rasmi itakayotolewa na mamlaka husika. (b) Mwaka...
  2. L

    PreGE2025 Ninaipenda CCM yangu, ilimradi ulete kura tu, tunakukubali

    Yaani CCM yangu, hata uwe mbumbumbu kiasi gani, tunachojali ni uwe na uwezo wa kutuletea ushindi tu. Kwa kifupi uwe la saba, uwe na cheti feki, uwe hujasoma, uwe mchawi, uwe tajiri, uwe profesa, uwe mtumishi wa umma, uwe mtumishi wa Mungu, uwe mwizi, uwe jambazi, uwe mpagani, mchambaji, uwe...
  3. PreGE2025 Kwanini hupigi kura licha ya kuwa una sifa zinazokuruhusu kufanya hivyo?

    Wapo watu wengi wenye sifa za kupiga kura, lakini wamekuwa wakijiandikisha na baada ya hapo hawaendi kupiga kura kuwachagua viongozi wa kuwaongoza, na wengine hawajiandikishi kabisa licha ya kuwa na sifa stahiki na ni haki yao ya msingi ya kikatiba. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  4. PreGE2025 Wadau washauri kusiwe na Ada ya kupata Kitambulisho kipya cha Mpiga Kura iwapo cha awali kitafutika au kupotea

    JamiiForums , Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jukwaa la Katiba (JUKATA), Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Taasisi ya Twaweza na Centre for Strategic Litigation (CSL) wametoa maoni kwenye Miswada ya Sheria ya Uchaguzi na kushauri kusiwe na gharama za kupata Kitambulisho kipya...
  5. Watu wenye ulemavu katika maandalizi ya michakato ya kupiga kura Nchini

    Watu wenye ulemavu, iwe ni ulemavu wa kuonekana au usioonekana, wanahitaji msaada mkubwa katika michakato ya upigaji kura. Upigaji kura ni haki ya kila Mtanzania mwenye umri wa miaka kumi na nane na kuendelea. Watu wenye ulemavu wanahitaji kipaumbele na mwongozo wa kutosha wanapojiandaa kupiga...
  6. PreGE2025 Hili pendekezo la kuruhusu wafungwa wapige kura linaonyesha dhamira ovu na nchi yetu

    Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi. Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
  7. F

    Wao si ndiyo walisababisha vita ya kimbali Rwanda? Na mbaya zaidi waliiba kura Congo ili yule ashinde! Tukiwaruhusu hawa tutasababisha vita nyingine

    Hawa watu kamwe tusiwaruhusu wajipenyeze kwenye siasa za nchi hii hao kwenye fursa au sehrmu ambayo wanafaidika wapo radhi kukuua ili wapate wanachokipata na tena wanajifanya watu wa dini dini gani hiyo? Inayosupport mauaji? Ona Rwanda walisababisha vita ya kimbari na waliwashawishi...
  8. PreGE2025 Kupigia kura mtandaoni: Urahisi, Usahihi, na Ufanisi katika Mchakato wa Uchaguzi

    Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii tangu mwaka 2005. Hii njia inapunguza kupoteza muda ikilinganishwa na mfumo wa kura za jadi...
  9. Utabiri: Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, Sugu atavunja record kwa kupata kura ambazo hakuna mgombea mwingine aliwahi kupata

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kwanza naomba niwaandae kisaikolojia, wale wote ambao wanafikiri kuwa Chadema haitoshiriki katika uchaguzi mkuu wa uraisi, na ubunge. Utabiri wangu unaonesha kuwa Chadema itashiriki katika chaguzi zote mbili. Yani uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika...
  10. T

    Gavana wa California asema kumuengua Trump kabla ya kura sio demokrasia

    Juzi makahama kuu ya jimbo la Colorado ilipitisha hukumu ya kumuondoa Trump kwenye uchaguzi kwenye hilo jimbo mwaka 2024. Jana wajumbe wa jimbo la California walipnlendekeza Trump aondolewe pia kwenye makaratasi ya kupigia kura kwenye uchaguzi ujao wa 2024. Jimbo la California na Colorado ni...
  11. CCM imeanza kampeni uchaguzi 2025. Jokate amuombea kura Samia, apiga magoti

    Jokate ambaye hivi karibuni akiwa amekaribia kufika miaka 40 amebahatika kupata mtoto bila ndoa rasmi, akiwa na mtoto ambaye haonekani kuwa na baba , na ambaye alikuwa msanii wa Muziki na movie maarufu kama Bongo movies, sasa akaingizwa kwenye siasa na kubebwa nafasi za kuteuliwa Katibu Mkuu wa...
  12. Liko wapi daftari la kudumu la wapiga kura?

    wasalaam, inashangaza mpaka sasa serikali ccm na tume ya uchaguzi ya ccm hawana mpango wa kuandikisha wapiga kura wapya ktk daftari la kudumu la mpiga kura. ukiangalia kule upande wa pili visiwani Zanzibar. wametoa utaratibu na wanaandikisha wapiga kura wapya. ikubukwe 2024 kuna uchaguzi wa...
  13. Sababu gani zitakufanya usipige Kura zoezi la Uchaguzi litakapofika?

    Hebu leo tushirikishane Kwanini wengi wanaona kwenda kupiga kura ni kupoteza Muda?
  14. Marekani yapiga kura ya turufu na kushikilia kwamba kipigo kiendelee Gaza

    Kura moja ya Marekani imetosha kuharibu mpango wa Umoja wa Mtaifa kutaka vita visitishwe..... Kwa kifupi HAMAS wakubali yaishe kwa kuachia mateka, na wenyewe kama vipi waihame Gaza, la sivyo itazidi kufanywa shamba.................... The United States exercises its veto at the UN Security...
  15. Jerry Silaa, kama ulivyotembea kwa miguu kipindi unatafuta kura, tembelea tena uone hali ya barabara ya Kitunda

    Jerry Slaa, ulitembea kwa miguu kutoka Banana mpaka Kitunda kuomba kura. Leo hii baada ya kupata hizo kura hujaonekana tena. Ni fedheha kubwa kwa eneo ambalo ni mkabala kabisa na Airport kuwa na barabara ambazo zinatia aibu. Kuna mahandaki ambayo mtu mwenye gari ndogo anafirikiria mara mbili...
  16. Mara: CHADEMA yakagua Mfumo mpya wa Tume ya Uchaguzi wa kuandikisha wapiga kura

    Hii hapa ni kata ya Ikoma Jimbo la Rorya Mkoani Mara. Moja ya Kata ambazo zimeteuliwa na kinachoitwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania katika kinachoitwa maboresho ya Daftari la Kudumu la wapiga kura. CHADEMA inafuatilia jambo hili ili kutengeneza ushahidi na kujiridhisha na kila...
  17. Faida ya kuwa Mtanzania ni ipi basi iwapo raia wataanza kuuziwa NIDA na Kitambulisho cha Kura?

    Muswada uliosomwa kwa mara ya Kwanza kuhusu sheria ya Uchaguzi umeelekeza wananchi kulipia Kadi ya Mpiga Kura endapo atataka kuihuisha tena. Hili suala halipo mbali na NIDA ambapo jambo la Kulipishwa wakati wa kukihuisha lipo. Nini maana ya kuwa Mtanzania endapo hadi kutambuliwa uwepo wake...
  18. Uko tayari kulipia kupata kadi ya kupiga kura endapo kadi uliyonayo itapotea?

    Kwa mujibu wa kifungu cha 20(2) cha mswada mpiga kura aliyejiandikisha kupiga kura kwa madhumuni ya mswada huu, endapo kadi yake ya kupigi kura itapotea, kufutika au kuharibika atalazimika kufanya maombi ya kuomba kitambulisho kipya kwa afisa mwandikishaji wa eneo husika. Afisa mwandikishaji...
  19. Israel yapiga kura na kukubali kusitisha mapigo kwa siku tano ili HAMAS waachie mateka 50

    HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo kitaendelea, na pia hamna cha wafungwa kuachiwa kutoka kwa Israel. Pia haijaelezwa mateka wasio...
  20. Pamoja na Serikali kupiga kura kuiunga mkono Palestina bado wamemuua mtanzania mwenzetu. Ni kujipendekeza au ni msukumo wa imani ndio ulioutuongoza?

    Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili. Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…