Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.
Ni muhimu sana kuepuka kudanganyana na kupotoshana ndugu zangu wadau eti hapata kua na uchaguzi October.
kweli ni kwamba hayupo kibaka wala tapeli yeyote wa kisiasa nchini mwenye uthubutu wa kumzuia mwananchi yeyote huru kushiriki kikamilifu katika kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba kupiga...
Mambo ya kupiga piga kura nilikuwa nimeshaachana nayo kitambo hivyo yeyote atakayeshinda sawa tu japo vyama pinzani nilikuwa sivipendi balaa.
Kwa sasa nimeamua kupiga kura nafasi ya urais kumpa mpinzani ambaye atakuwa na ushindani ili kura yangu isipotee.
Sipo tayari kuendelea kuongozwa na...
Habari za jumapili;
Kuna mgongano wa makundi mawili;
Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi?
Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini.
Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa...
Wakuu!
Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii.
Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
ccm
comments
gani
hali
inaweza
instagram
kisasi
kuelekea 2025
kung'atuka
kura
kusitishwa
magufuri
makamu
mikutano
na rais
ndani
no reforms
no reforms no election
picha
post
rais
rekodi
samia
samia suluhu hassan
siku
spika
spika tulia
wake
wapinzani
wasiwasi
GT
Uchaguzi wa mwaka huu malaika ndo wanashiriki kwa kweli sisi mashetani tumemaua kukaa pembeni na kuwa watazamaji.
Muda sahihi wa sisi mashetani ukifika tutapiga kura , Kwa sasa Malaika ndo atawaongoza malaika wadogo. Hatuwezi kushiriki uchaguzi huku nchi ikinuka damu za watu
Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutakao kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza.
Azimio hilo haliwekei masharti ya kusitisha mapigano kwa kuachiliwa kwa mateka waliosalia.
Kwa maneno mengine, inawaacha Hamas madarakani, wakiwa na silaha, na kuwashikilia...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Wimbo huimbwao na Wabunge
UBETI 🎼
🎶Mama hatukudai
Mama huna deni
Mama Mitano tena
Shule ya Mama
Vyoo vya Mama
Maji ya mama
Bodaboda wa Mama
Ndizi za mama
Matunda ya Mama
Papuchi za Mama
Mijurubenge ya mama
Barabara za Mama
Mimba za mama
Mbususu za...
Kilichifuatia wakamuuliza ChatGPT
"Unaijua katiba ya Tanzania"
Robot la sam likasema "Ndio"
Wakauliza tena "Tudeal nae vipi"
ChatGPT akacheka kwanza, kisha akasema "Got you... huyu kavunja kipengelea A, B, C, piga ban kanisa lake tu"
Wakauliza kwa nn kanisa lake? Chat akasema "Si audience...
Mara nyingi uchaguzi unapokaribia, hisia huwa za kuchanganyikiwa. Wapo wanaosubiri kwa hamu kutimiza haki yao ya kidemokrasia, lakini wapo pia – kama nilivyokuwa mie – waliopoteza imani na mchakato mzima. Nilijiona kama mtu mmoja tu asiyeweza kubadili lolote, na kwa muda mrefu nilikuwa nimeamua...
"Mgombea anayekubalika na zaidi ya asilimia 90 ya wapiga kura waliojiandikisha si tu chaguo la kisiasa, bali ni dhihirisho la mwafaka wa kijamii uliojengwa juu ya matumaini ya pamoja. Uhalali wake unazidi mantiki ya ushindi wa uchaguzi; unakuwa kielelezo cha maridhiano ya kitaifa, ambako uongozi...
Hotuba ya Mh Rais jana imeleta feelings mpya among Tanzanians particularly kuhusu watu kutekwa, kuuawa, kupotezwa. Swali lilikuwa nani anawateka? ni akina nani watu wasiojulikana?
Ni kama kitendawili kimeteguliwa jana!
Watu fikra zinaweza kuwa zimebadilik kuhusu mustakabali wa taifa hili...
Ni takribani miaka 64 tangu Tanganyika ipate uhuru na miaka 61 tangu Muungano uliopelekea kuzaliwa taifa la Tanzania.
Kwa miaka yote hiyo vitendo vya rushwa vinasikika na kuonekana katika kila ngazi ya uchaguzi. WAPIGA kura wanapokea rushwa za kifala kabisa eti chakula au vijihela.
Hata...
Wakuu
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema kuwa ataendelea kuhamasisha bila hofu wananchi wawashughulikie wezi wa kura kama wanavyowashughulikia wezi wengine kwenye jamii ili haki ya wananchi kuchagua viongozi wanaowataka iheshimiwe.
Nitoe wito kwa Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki.
Lazima tuwe waasi dhidi ya uovu, wizi na ufisadi ili tusonge mbele msifumbie macho suala hili kwa mchango wenu mnaweza kulisaidia...
Ndugu wanachama, walimu wenzetu na mashabiki wa kweli wa maendeleo ya CWT,
Wakati mwingine kimya si busara! Sasa tusikie na sisi tusikike. Ni muhimu kusema ukweli huu bila kupepesa maneno.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia matumbo yasiyoshiba yakizusha kelele zisizo na msingi dhidi ya uongozi...
Mkakati unaendelea kupangwa hivyo kwa maana kuwa CHADEMA wanaona ni bora CCM waibuke na ushindi wa zaidi ya 95% ili kujustify hoja yao ya CCM kujipachika uongozini.
Hili litazidisha vuguvugu kuonesha kuwa Uchaguzi haukuwa wa huru na wa haki hata kama Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi wataamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.