Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.
Vijana wa miaka 16 na 17 wataweza kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao, kufuatia mpango wa serikali wa kushusha umri wa chini wa kupiga kura.
Ahadi hiyo ni sehemu ya hatua kadhaa zinazopendekezwa kupitia Muswada mpya wa Uchaguzi (Elections Bill).
Mabadiliko mengine yaliyopendekezwa ni pamoja...
Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria.
Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe.
Watanzania tujipongeze sana. Lazima CCM watambue sisi sio mafala tena.
No Reform No Election ✊️ ✌️
Kuna vitu wala havihitaji kuwa la saba C kuving'amua. Huyu anasema no reform no election akimaanish bila mabadiliko ya kweli hakuna uchaguzi na hawa wanaosema watalinda kura..
Hivi unalindaje kura kwa mfano? Ni njia gani watazitumia? Halafu cha ajabu watu hao ni watz, wanajua context yote.
Havana
Salaam,
Kuna kundi la matapeli wanazunguka mtaani kuuhadaa umma kwamba tulinnde kura zetu, wengine wanatubembeleza tukapige kura ilhal wamebeba kura fake kwenye mabegi yao mgongoni!
Hivi nikiilinda kura ya Urais kituoni, nawezaje Kulinda inapojumuishwa huko makao makuu?
Na nisiporidhika na...
Wajir Woman Rep Fatuma Abdi: "Sisi Wabunge Wa North Eastern Tunasema Tutam For President Ruto, Hata Kama Hatutakuwa Na Kura, Tutamwibia!"
Source: Kenya.gossip.club & buzzroomkenya
KAKONKO — Upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kakonko umebadilika kwa kasi, huku jina la Aloyce Kamamba likiibuka kama nembo ya matumaini mapya na mshikamano wa kweli. Kamamba ameonyesha uwezo mkubwa wa kuwaleta wajumbe pamoja, kwa moyo wa kizalendo na dhamira ya dhati...
Mbunge wa Viti Maalum Kaunti ya Wajir, Fatuma Abdi Jehow, amenukuliwa na Buzzroom Kenya akisema kuwa endapo Rais William Ruto hatopata kura za kutosha mwaka 2027 katika eneo la Kaskazini Mashariki (North Eastern), basi watamwibia kura ili ashinde.
Katika kile kilichoonekana kama kauli ya mzaha...
CCM wala Chama chochote, hakiwezi kuleta ugali mezani kwangu, na hivyo, silazimiki kuwa mtumwa wa CCM au chama kingine chochote
Mimi kama mpiga kura, nahitaji kuona sheria za uchaguzi, upatikanaji wa tume huru ukiwa chini ya sheria zisizoegemea upande wowote, ili mimi mpiga kura, ninapohitaji...
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani...
Kulinda kura katika uchaguzi kwa kutegemea Majabali,marungu na Majambia bila Katiba au Sheria au Kanuni na Tume yenye Uhuru wa kutosha ni sawa sawa na kuwa na Mlinzi Kipofu kwenye ghala lako la dhahabu.Hapo Usalama wa dhahabu zako ni kwa kudra za Mungu au huruma za kaka Jambazi.
Nikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini
Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana.
Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
Wakati Tanzania ikiendelea kujigamba kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, takwimu haziungi mkono propaganda hiyo. Hii hapa ni grafu inayoonesha wazi takwimu kutoka mwaka 1995 hadi 2020 kuhusu:
1.Idadi ya watu (population)
2.Idadi ya waliojiandikisha kupiga kura
3.Idadi ya waliopiga kura...
Kiongozi mstaafu wa ACT wazalendo abazunguka mikoa yote tanzania na kuhadaa umma kuwa october wapige kura na kwamba kura hizo zutalindwa baadhi ya wadau wamemuuliza ni mbinu gani atatumia kulinda kura swali hilo analikwepa!
Sasa Zitto kabwe maoni yangu ni kwamba kura hailindwi kwa mbinu...
Kamati kuu ya Ccm wakati wa kuchuja Majina tafuteni watu sahihi na wenye nidhamu .
Mnakumbuka Mh Nape pamoja na Mh Byabato walivyojinasibu kuwa wao hata wakishindwa watangangazwa wameshinda.
Kauli hii sio tu inaonesha wazi kuwa Tanzania ni nchi ambayo haina demokrasia .
Na kuonesha kuwa...
Wana JF
Nlichokiona, ni kuwa watia nia ni wengi kuliko wapiga kura. Bunge lishakuwa shamba la bibi, kila mtu sasa anaona ndio ajira inayokua pesa na mtaji bila kutoa jasho lolote
Kuna maisha baada ya uchaguzi
Pesa ya mwarabu ni ngumu kutoka hasa amapokuwa na wagombea dhaifu anaowaandaa mwenyewe. Kipindi kilichopita tulinemeka wajumbe kwa sababu Dr. Mmasa wa Udom kuwa tishio kwake hasa kwa usomi wake na umaarufu wa baba yake. Japo hatoi pesa inayoweza kushindana na pesa ya Shabiby. Kijana huyu msomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.