Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.
Kwani huyu Mkurugenzi wa tume ya mchongo nani kamwambia sisi tunataka kuongezewa muda wa kujiandikisha kupiga kura?
Sisi hatushiriki uchaguzi bila mabadiliko ya kiuchaguzi kama yeye amechaguliwa na samia ambaye ni mgombea hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki kuna kupotezeana muda na hatupo tayari...
Yanayoendelea nchi hii, kila mtu anaona na hata mwenye akili ndogo kama za kuku, anajua kabisa kuna biashara haramu ya kugawan majimbo kwa kisingizio cha wahusika kushinda uchaguzi.
Kwahiyo, tutarajie muitikio mdogo wa wananchi na badala yake tutarajie kuona watoto wa shule wengine wakiwa...
Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA. Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA. Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA. Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau...
Wakuu
Wazee wa mioto kutoka Instagram na Facebook wameruka na post ya TBC iliyouliza Je, una sifa za kupiga kura? Na hizi ndiyo comments zao
Na hawa ni wadau wa Facebook wanataka uchaguzi huru na haki
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
Nimesikia watu wanasema Rais amechafukwa hebu acheni kuleta masihara anataka tutimize haki zetu kupiga kura afanye mabadiliko ya kiuchaguzi hakuna haki za mdomo pekee hayuko serious.
Hatuwezi kutimiza haki zetu kwa uchaguzi huu unaofanyika vile mtu mmoja anataka ufanyike hivi na sio watanzania...
Hivi aliemwambia huyu mkurugenzi wa tume ya mchongo sisi tunataka kupiga kura nani ? nimemsikia anasisitiza wananchi wasichane karatasi kwenye vituo.
Hatupigi kura wala hakuna uchaguzi unaofanyika bila mabadiliko unaongelea masuala ya kuchana karatasi lakini kuiba kura uongelei ?
Kama mnataka...
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima amewataka wananchi wenye sifa za kupiga kura hapa nchini kujitokeza kwenda kuhakiki na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Awali la Mpiga Kura lililowekwa kwenye kila Kata kwa ajili ya wananchi kuhakiki taarifa zao kwa usahihi...
Kuna kila dalili kwamba sitahuisha kichinjio changu kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Nimejaribu mara mbili kuhuisha ila imeshindikana kabisa kufanya hivo, mara zote nikikaribia eneo la tukio, huwa inanijia ile sauti ya 'ili iweje', basi na mimi najeuka kwa kasi, nyuzi za pembe 180, naamua kuelekea...
1. Ndugu Mgombea, pambana (kwa fedha na kijadi-UCHAWI) upitishwe kwenye Chama.
2. Mengine ni kukamilisha ratiba tu.
3. Kura za Wazalendo aka Wanyonge ni kiini macho tu. Asanteni.
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akizungumza katika mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wa Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Mei 15, 2025 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa...
Mei 14, 2025, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, amekutana na viongozi wa Ngome ya Wanawake wa kata 20 za Manispaa ya Lindi mkoani Lindi katika kikao kilicholenga kuhamasisha ulinzi wa kura na kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye mchakato wa uchaguzi.
Katika kikao...
Ule msemo hakuna mkate mgumu mbele ya chai leo umenifikia.
Nidiliki tu kusema CCM chaka mliloingia ni sahihi huu utaratibu wa kutununua ili kuudhoofisha CHADEMA tuonekane tunahama kwa makundi tunaenda kuufanya uchaguzi wenu Kuwa mgumu na kuwapandikizia chuki ili mgawanyike.
Hatuchezi nyumbani...
Katika mfumo wa kisasa wa kisiasa, demokrasia imekuwa kama pazia la kuficha unyonyaji wa kitabaka unaofanywa na walioko madarakani. Ingawa inatangazwa kama utawala wa watu, kwa ajili ya watu, ukweli ni kwamba demokrasia mara nyingi hutumika kuhalalisha mfumo kandamizi unaowafaidisha wachache na...
Watanzania kuna mambo mengi sana hawajui, na wamekuwa wakidhani na kujisifu kuwa ni wagunduzi wa mapishi mbalimbali, jambo ambalo si la kweli, ila kwenye mapishi ya asili ni kweli hayo ni ya kwetu kabisa, na unaweza usiyaone nchi nyingine.
Sisi watanzania tumekuwa tukijisifia sana kuhusu...
Chadema chini ya Lisu wanatete maskini na kura zao kuheshimiwa pindi wanapopiga kura na mshindi aliyeshinda ndo atangazwe tofauti na sasa ambapo kura huwa zunapinduliwa aliyeshindwa na anatangazwa mshindi mfano Nape, gwajima, majaliwa nk walitangazwa bila kushinda
Kwahiyo hao wanaohama wanataka...
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akiwasaidia wananchi kuhakiki majina yao kabla ya kwenda kuboresha taarifa zao katika Kituo cha kuandikisha wapiga kura, Ofisi ya Kata ya Isevya, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, wakati alipotembelea na kukagua vituo vya uboreshaji wa...
Ilikuwa vichekesho sana yaaani. Yaani kwanza kwa kuhofia wananzengo kutojaa uwanjani basi ukatumika uwanja mdogo na ukaachwa ule mkubwa. Ili kuhakikisha wananzengo wanatamani kuingia uwanja huo unapambwa vema ile mbaya na viti vizuri vinawekwa. Inasemekana viti hivyo vingine vilitoka Makao Makuu...
Tunapoelekea sio pazuri kwa mwenendo wenu sasa.
Sasa mnaingia mitaani kufatilia watu kama wewe sio mwana ccm kukuwekea hatari.
Wameanza kulazimisha watu kuwa wanachama kwa kuwadanganya watu wasipokuwa na kadi ya ccm hawata kuwa kwenye daftari la uchaguzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.