Kila mdau wa JF ni shuhuda kwenye hilo, kwasababu liko wazi sana.
Je, Chadema wameona kwamba,
CCM ni darasa tosha la siasa na wanajifunza demokrasia kwa maneno na vitendo, au upweke unaowakumba baada ya chama chao kusambaratishwa na uropokaji wa viongozi wao wapya wakuu, umewakosesha cha...
Ni muhimu kufahamu kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hakuingia madarakani kwa kuchaguliwa kupitia uchaguzi mkuu, bali alirithi madaraka baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli mwaka 2021, ili kumalizia kipindi cha awamu ya tano ya uongozi.
Hadi sasa, bado tupo katika awamu ya tano. Awamu ya...
Watu wazima wote wenye vichwa vizuri vya kufuatilia masuala muhimu ya nchi yao(ukiondoa genZ) watakumbuka tuliwahi kuwa na mchakato wa kupata katiba mpya.
Mpaka tukawa na bunge maalumu la katiba lakini katika hali isyoeleweka mchakato ukaishia njia na katiba mpya ikaota mbawa, mpaka leo wengi...
Kinachoshangaza ni hivi wanawake na wanaCCM wanaojumuika jimboni humo wameahidi kwamba hawatashiriki katika kura za maoni zinazopangwa kufanyika tarehe 2 Agosti 2025 – iwapo jina la Luhaga Mpina halitarudishwa kwenye mchakato huo .
Hali hii inaashiria mgawanyiko ndani ya chama na wasiwasi...
KAKONKO — Upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kakonko umebadilika kwa kasi, huku jina la Aloyce Kamamba likiibuka kama nembo ya matumaini mapya na mshikamano wa kweli. Kamamba ameonyesha uwezo mkubwa wa kuwaleta wajumbe pamoja, kwa moyo wa kizalendo na dhamira ya dhati...
Jana kumetolewa taarifa kwamba CCM itakutana na changamoto kubwa katika Jimbo la Kisesa, wilaya ya Meatu, mkoa wa Simiyu.
Kulingana na habari hizo, hakuna upigaji wa kura za maoni utakaofanyika tarehe 2 Agosti 2025, jambo ambalo linaweza kuwa pigo kubwa kwa chama hicho.
Wanachama wa CCM...
Kumekuwa na mambo mkubwa sana wa makada kujitokeza kuchukua fomu leo, nna wasiwasi sana wajumbe wa kamati za siasa za kata na wilaya huenda zikafanya upendeleo kwa wajumbe kwa kuwapa maksi wale wanaowapenda ili washike nafasi 3 za juu na kisha majina yao yaende Dodoma yarudi hayo, najua fomu...
ALIYEMSHINDA MZEE KIMEI KWENYE KURA ZA MAONI NDANI YA CCM UCHAGUZI WA 2020 ATANGAZA NIA TENA, SHIDA IPO PALEPALE KWA MZEE KIMEI VUNJO
Kada wa CCM , Msomi wa masuala ya Uchumi na Usimamizi wa Miradi, Mfanyabiashara na mdau wa maendeleo ya jamii, Comrade Enock Koola sasa rasmi anaenda kutia nia...
Katibu wa NEC - Oganaizesheni wa CCM Taifa (MCC) Issa Haji Ussi Gavu leo tarehe 23 Juni 2025 ameshiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es salaam, akiwa Mgeni Rasmi, uliofanyika katika Ukumbi wa Ubungo Plaza
Katika mkutano huo, Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Tarimba Abbas...
SIjui mchakato huu inafanyika lini ila sisi kama WATANGANYIKA inatubidi tuufatilie kwa makini sana
Hakutakuwa na uchaguzi baada ya mchakato huu Bali kutafanyika viini macho vitakavyosimamiwa na tume kwa maelekezo maalumu ya serikali wateule wote wa CCM watateuliwa kuwa wabunge rasmi...
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kata za Jimbo la Moshi Mjini wamealikwa na Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Priscus Tarimo katika ukumbi wa CCP uliopo Chuo cha Polisi Moshi leo 19.6.2025 kwa ajili ya kugawiwa majiko ya gesi pamoja na fedha Tsh.50,000/= ambayo aliitoa kwa mafungu mawili ya...
Viashiria vyote vinaonesha hivyo. Tunao mitaani, ndugu zetu, tena wakubwa wanasema bila figisu zilizofanyika, Mama asingelipita! Alikuwa anabwagwa katika round ya kwanza!
19 Januari 2025
Na Humphrey Mgonja
CHANZO CHA PICHA,CCM
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha...
Watu wameanza sasa kutoa misaada kwa wananchi wakiwa na lengo la kuja kuungwa mkono katika kura za maoni. Nimeona wengine wanatoa mifuko ya sementi na mabati mengi nia yao ni kuwarubuni wananchi katika kura za maoni.
TAKUKURU kuweni macho dhidi ya vitendo hivi ambavyo dhahiri ni vitendo vya...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeonya watendaji na viongozi wake wanaohujumu mchakato wa kura za maoni za kupata wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Dk Mohamed Said Dimwa ametoa onyo hilo alipozungumza na wajumbe wa kamati za siasa za matawi, wadi na...
#HABARI Gari yenye namba za usajili T 566 CXL mali ya Philimon Mng'ong'o, Katibu Mwenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Mbeya mjini mkoa wa Mbeya imechomwa moto majira ya saa 10:00 usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana.
Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Mbeya mjini amesema majira ya saa...
Napenda niwakumbushe ya kwamba kiongozi wa G55 Bwana John Mrema alipigwa Chini kwenye kura za maoni ndani ya CHADEMA kwenye kugombea ubunge Jimbo la Segerea. Mbowe akambeba na kumsimamisha kugombea ubunge hapo Segerea.
Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:
SEGEREA
Jumla ya kura 144
Agness Lambert...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa katika kura za maoni mwaka huu, wanachama wa chama hicho watapewa majina matatu pekee ya wagombea watakaoshindania nafasi ya kupeperusha bendera ya chama katika nafasi ya ubunge.
Akihutubia wananchi wa Tunduma...
Mimi nafuatilia sana Siasa za Jimbo la Arusha Mjini, Jana nimemsikiliza sana diwani mmoja akimuomba radhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha akijifanya analilia kama mtoto wa kike aliyenyimwa Kodi ya pango na bwana wake akidai kuwa Gambo amekuwa mtu wa mizozo na migogoro na madiwani wenzake.
Eti amemuomba...
Team;
Salaam!
Sheria ya mitandao ya kijamii na Sheria zingine zinasemaje kuhusu kura za maoni kwa wamaotajwa kugombea URAIS mwaka 2025?
Kama itakuwa kitu kinachoruhusiwa kufanyika basi ningeomba
Hashim Rungwe Spunda;
Zitto Zuberi Kabwe
Tundu Antipas Lissu
Dkt Samia Suluhu Hassan
Ibrahim...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.