kura za maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Wananchi wa Butiama wamzomea Jumanne Sagini wakati anaomba kura za maoni. Hawataki hata kumsikia

    Wakuu, Yaani wananchi hawana mchezo sasa hivi wanaruka na kila mtu. Leo wameruka na Sagini Haijalishi wewe ni Waziri au Mbunge lakini wanaruka na wewe na hapa ni kwenye kura za maoni tu tunasubiri kuona kwenye kampeni itakuwaje.
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo achaguliwa kura za maoni nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo ameshinda nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara akipata kura 320 nyuma ya Ng’wasi Kamani mwenye kura 409 na Jesca Magufuli mwenye kura 409. Zoezi la upigaji kura lilianza rasmi mnamo Agosti 1, 2025 na kufikia tamati alfajiri ya leo...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Morogoro: Walioshindwa kura za maoni ubunge viti maalum, wasema wamepokea matokeo kwa heshima na utulivu

    Watia nia wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Jane Mihanji na Hajra Mwikoki, wamesema wamepokea kwa heshima na utulivu matokeo ya kura za maoni zilizofanyika hivi karibuni. Kwa nyakati tofauti wamesema, licha ya kutoshika...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jesca Magufuli achaguliwa katika kura za maoni ubunge wa viti maalum

    Jesca John Magufuli amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana kutoka Tanzania Bara. Katika matokeo yaliyotangazwa leo Agosti 2 aliyeshika nafasi ya kwanza Damas Kamani alipata kura 409, Jesca...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM ampigia kampeni mgombea mmoja kabla ya kura za maoni

    Wakuu Hali ya kushangaza imejitokeza katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro baada ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Wanguba Maganda na Katibu wa Kata Machame kumpigia kampeni kinyume cha taratibu Aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo la Hai Mkoani Kilimanjaro Saashisha Elinikyo Mafuwe. Kupitia video...
  6. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Makalla: Wagombea wote wa udiwani CCM wapigiwe kura za maoni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa agizo kwa makatibu wa mikoa wote nchini kuhakikisha wagombea wote wa nafasi za udiwani waliokuwa kwenye orodha ya awali wanarejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Taarifa hiyo imetolewa siku ya Ijumaa na CPA Amos...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni

    Wakuu, Naanza kuamini Tanzania unaweza ukakuta Tanzania kweli ni chaneli ya vichekesho huko mbinguni Mwanri kaendelea kutoa comedy kwa ujumbe katika harakati za kupata maoni huko Sia
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe CCM amuuliza Peter Msigwa kama atahama chama andapo atashindwa kura za maoni, Msigwa asema kuhama sio kosa la jinai, inategemeana na mazingira

    Mtia nia wa Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, leo 31 Julai 2025 amemjibu moja ya mjumbe aaliyemuuliza swali "endapo akishindwa atahama chama?" Msigwa amejibu swali hilo wakati akiomba kura za maoni kutola kwa wajumbe wa Kata ya Mtwivila.
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Enock Koola aungwa mkono asilimia 90 ya wajumbe wote katika Jimbo la Vunjo, ni mwelekeo ushindi Kura za maoni CCM

    ENOCK KOOLA AUNGWA MKONO ASILIMIA 90 YA WAJUMBE WOTE KATIKA JIMBO LA VUNJO – MWELEKEO WA USHINDI KATIKA KURA ZA MAONI ZA CCM Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Katika mchakato unaoendelea wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, hali ya kisiasa...
  11. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Musiba ashangaa kukatwa CCM: 2020 nilikuwa nafasi ya pili kura za maoni, 2025 nimeonekana sifai kabisa?

    Mwnaharakati machachari na mzalendo wa Chama cha Mapinduzi, aliyependa na kupendwa sana na hayati Magufuli Cyprian Musiba amesema hajaelewa sababu walizotumia viongozi wa chama kukata jina lake pamoja na majina ya watu wengine Musiba amesema yeye amechukua fomu kwa mara ya nne mwaka huu na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mke wa Mzee wa Vijisenti, Andrew Chenge, aongoza Kura za maoni Viti Maalum Simiyu

    Tina Chenge mke wa Mzee wa Vijisent, Andrew Chenge, ameibuka kinara katika kura za maoni za kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalumu mkoa wa Simiyu, baada ya kupata kura 631 kati ya kura halali 1,029 zilizopigwa. Kura hizo zilipigwa katika Mkutano Maalumu wa UWT mkoa wa Simiyu uliowakutanisha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Suma Fyonda na Maryprisca Mahundi wachomoza kura za maoni nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya

    Msimamizi wa uchaguzi nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Balozi na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amewatangaza washindi Suma Fyandomo kuongoza kwa kura 1,152, Maryprisca Mahundi nafasi ya pili kwa kura 1,150 na matokeo mengine kwa ujumla. Uchaguzi huo ulianza tangu jana Julai...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe Arusha wafanya yao kura za maoni viti maalum, Catherine Magige atupwa nje

    Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha. Wabunge hao amao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Juliana Shonza aongoza kura za maoni viti maalum Songwe

    Bi. Juliana Shonza, aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum, Mkoa wa Songwe, ameongoza kwa idadi ya wingi wa kura za maoni baada ya kupigiwa kura na wajumbe kwenye uchaguzi wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) mkoani humo. Akitangaza matokeo hayo Msimamizi wa Uchaguzi huo Bw. Antony Mtaka, amesema...
  16. Barca

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jacqueline Ngonyani Msongozi Aongoza Kura za maoni UWT Mkoa wa Ruvuma

    Leo ilikuwa siku ya kupiga kura za maoni kwaajili ya kuwachagua wanao wania nafasi ya ubunge VITI MAALUM kupitia UWT kwa ngazi ya Mikoa yote Tanzania Bara na visiwani. Huu ni utaratibu wa kawaida baada ya kuwa walifanya uchaguzi wa viti maalumu kwa ngazi ya madiwani. Leo ilikuwa zamu wabunge wa...
  17. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nini sababu ya CCM kumkata Furaha Dominic aliyeongoza kura za maoni Kawe 2020? Ni chuki na Magufuli?

    Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM. Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe UWT CCM Mkoa wa Njombe Kupiga kura za maoni Uchaguzi Wabunge Viti Maalum

    Wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Njombe wakiwa kwenye Ukumbi wa Agreement uliopo halmashauri ya mji wa Njombe kwa ajili ya kupiga kura za maoni katika uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu Mkoa wa Njombe Chanzo: Mwananch_official
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waliokuwa wabunge wa CHADEMA (Covid 19) waliohamia CCM na kubwagwa kura za maoni Ubunge

    Nadhani wote tunawakumbuka wale wabunge 19 walioingizwa bungeni kinyemela kwa tiketi ya CHADEMA huku chama kikiwa hakitambui uwakili wao. Yaliongelewa mengi sana, kesi ikaenda mahakamani, danadana mpaka sasa, wakakingiwa kifua na Spika na mifumo mingine ya maamuzi, kumbe ilikuwa ajenga tu...
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Dkt SSH, chondechonde rudisheni majina yote yapigiwe kura za maoni 04 August 2025

    CCM HQ; * Kuanzia kesho CCM itaanza kugawanyika makundi 2 * Tarehe 04 August baada ya kura ya maoni CCM itagawanyika tena kutoka miongoni mwa watakaoteuliwa leo; * Mpasuko wa mwisho utakuwa baada ya taifa kurudisha jina mpeperusha bendera kwa Uchaguzi mkuu. Mipasuko hii ni mikubwa na ina...
Back
Top Bottom