kura za maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Daniel aibuka Mshindi Kura za Maoni Mgombea Ubunge Serengeti

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mara, Mary Daniel, ameibuka mshindi wa kura za maoni za CCM kuwania ubunge wa Jimbo la Serengeti, akimshinda kwa mbali mbunge aliyemaliza muda wake, Amsabi Amri Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa na mratibu wa uchaguzi huo...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Innocent Bashungwa aongoza kwa kishindo kura za maoni Ubunge Karagwe Mkoani Kagera

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Karagwe kimetangaza matokeo rasmi ya kura za maoni za kumpata mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Karagwe kupitia CCM, kufuatia uchaguzi uliofanyika tarehe 04 Agosti 2025. Katika matokeo hayo, Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ameibuka mshindi kwa kupata kura 7,902...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM: Kuongoza Kura za Maoni haimaanishi umeteuliwa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ubungo kimehitimisha zoezi la kura za maoni kwa ajili ya kuwapata wagombea wa nafasi ya Ubunge katika majimbo ya Ubungo na Kibamba, huku Prof. Kitila Alexander Mkumbo na Anjellah Kairuki wakiibuka vinara wa kinyang’anyiro hicho Akizungumza na waandishi wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bado sielewi, kama Mgombea hajapita Kura za Maoni inamaanisha hafai, sasa hizi habari ninazosikia eti wanawekwa pembeni kusubiri teuzi ndo nini?

    Wakuu habari, Kuna kitu sikielewi hapa yaani kama Mgombea hajapita kura za maoni ya kumuwezesha awe kiongozi inakuaje tena baadae anakuja kutgeuliwa mkuu wa wilaya au Mkoa kama wajumbe waliona hana vigezo apo awali Maana nimekua nikisikia Mgombea fulani amekatwa ila amewekwa pembeni asubiri...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Neto Kapalata amtwanga Kigwangalla kura za maoni Ubunge wa CCM Nzega Vijijini

    Katika jambo la kustaajabisha mithili ya Mende kuangusha kabati, Kada wa CCM Jimbo la Nzega Vijijini, Ndugu Neto Kapalata ameshinda kura za Maoni kwa kura 2,570 dhidi ya Ndugu Hamis Kigwangala. Kigwangalla ambaye ni Kada Mkongwe wa CCM na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, amepata kura 1,715, huku...
  6. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru wakazi wa Sikonge kwa kufanyia kazi ushauri wangu na kumuondoa Joseph Kakunda katika kura za maoni

    Here we go ! Tunahitaji viongozi wanofikika wasomi na ambao Elimu yao haina utata. Asanteni wanaSikonge kwa kumpuunzisha Bwana Joseph Kakunda. Cc Pascal Mayalla.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Nchimbi aongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa

    Aliyekua Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi ameongoza kura za maoni Jimbo la Nyasa baada ya kupata kura 9,157 kati ya kura 10,695 zilizopigwa akifuatiwa kwa mbali na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Stellah Manyanya aliyepata kura (548).
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shangwe laibuka baada ya Eric Shigongo kuibuka mshindi kura za maoni CCM, jimbo la Buchosa

    Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika jimbo hilo.
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia CCM, Priscus Tarimo, ameibuka mshindi katika kura za maoni

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Priscus Tarimo, ameibuka mshindi katika kura za maoni za chama hicho kwa kupata kura 1,539 kati ya kura halali 3,288 zilizopigwa, na hivyo kutetea nafasi yake ya kuwania tena ubunge. Matokeo hayo yametangazwa leo...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Adolf Mkenda aongoza kura za maoni Ubunge Jimbo la Rombo kwa Kishindo

    Mbunge aliyemaliza muda wake Jimbo la Rombo, ambaye ni Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameongoza kura za maoni kwa kupata kura 5,125 kati ya 6,156 zilizopigwa. Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Mossoud Melimeli amemtangaza Profesa Mkenda kuwa mshindi akifuatiwa na...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Festo Sanga ashinda Kura za Maoni Jimbo la Makete

    Festo Richard Sanga ambaye anatetea nafasi yake amepata kura 4,104 akimshinda Dr.Toba Nguvila aliyepata kura 2,359 na kufuatia na mfanyabiashara Award Mpandilla aliyepata kura 946.Wengine ni Prof.Norman Sigalla 103 aliyepata kura na Selina Msigwa aliyepata 21.
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jumaa Aweso aibuka kidedea kura za Maoni ubunge Jimbo la Pangani

    Mtia nia wa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Pangani mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, ameibuka mshindi kwa kishindo katika kura za maoni zilizofanyika jimboni humo baada ya kupata kura zote za ndiyo katika kata zote zilizopiga kura. Aweso amepitishwa na wajumbe wote...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haji Manara Aongoza Kwa kura za Maoni udiwani kata ya Kariakoo

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV, Haji Manara , ameibuka kidedea katika kura za maoni za kuwania nafasi ya Udiwani katika Kata ya Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Kura hizo za maoni zilifanyika leo Jumatatu tarehe 4 Agosti 2025, chini ya usimamizi wa chama...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania GE2025 Peter Msigwa ashindwa kura za maoni Iringa Mjini

    Alipokwenda Mbweni na kushauriwa na johnthebaptist agombee ubunge kupitia CCM hapa Iringa mjini, Peter Msigwa alidhani CCM wanampenda kumbe wanamtega.. Matokeo ya awali yanaonesha Msigwa hayumo kati ya wagombea watatu wa juu. Taarifa toka ndani ya CCM hapa mjini inaonesha Msigwa hawezi kuongoza...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Mawakala wadai Katibu wa CCM Siha anataka kuvuruga Uchaguzi wa Kura za Maoni

    Mchakato wa Upigaji Kura Jimbo la Siha umeanza kuingia doa baada ya kudaiwa kuwa upigaji Kura umekamilika lakini imetokea hali ya kutoelewana kati ya Wasimamizi wa Mchakato na baadhi Mawakala. Inadaiwa kuwa Katibu wa CCM Wilaya ametoa maelekezo kuwa msafara wa kubeba Kura uondoke bila kufuatwa...
  16. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

    Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini. 1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77 2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38 3. Dkt. Ahmad Sovu: 32 4. Baruan Muhuza: 20 5...
  17. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Apaikunda aongoza kura za maoni udiwani kata ya Mawenzi

    Diwani aliyemaliza muda wake wa Mawenzi, Jimbo la Moshi Mjini, Apaikunda Naburi ameongoza kura za maoni katika kata hiyo kwa kupata kura 58 kati ya 94 zilizopigwa. Akitangaza matokeo hayo, katika uchaguzi huo uliofanyika leo Jumatatu, Agosti 4, 2025, Katibu wa CCM Kata ya Mawenzi, Jolitha John...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mufindi Kusini waomba Uchaguzi wa Kura za Maoni Usogezwe Mbele

    Akizungumza na waandishi wa habari kada wa CCM Salimu Nyomolelo, ameomba uchaguzi wa Wilaya ya Mufindi Kusini usifanyike usogezwe mbele ili uchunguzi ufanyike kwa mwenyekiti na Katibu, ikidaiwa mmoja wa Mgombea wa Jimbo la Mufindi Kusini alitoa Rushwa ya gari kwa Mwenyekiti na Katibu wa Chama...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu wa CCM Mufindi atuhumiwa kwa njama za kuiba kura za maoni kumuunga mkono Mbunge Kihenzile

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mufindi anatuhumiwa kuhusika katika mipango ya kuiba kura za maoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika Agosti 4, 2025, ili kumuwezesha Mbunge aliyepo madarakani, Jimbo la Mufindi Kusini Davidi Kihenzile, kuendelea...
  20. Econometrician

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuelekea kura za Maoni kesho kutwa: Yafahamu majina ya watoto wa viongozi/ndugu wanaogombea majimboni

    1. Dorothy Aidan Mwaluko - Manyoni 2. Vita kawawa - Namtumbo 3. John John Nchimbi - Nyasa 4. Salum Chaurembo - Kisarawe 5. Haszan Shelukindo - Lushoto 6. Malumbo Philip Mangula - Wangin'gombe 7. CPA John Cheyo - Kwimba 8. Ahmed Mkulo - Kilosa 9. Peter Sarungi - Rorya 10.Kambarage Masato...
Back
Top Bottom