kura za maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kura za maoni zimefanya niwadharau Arusha mjini na Segerea

    Inakuwaje mnachagua mbunge mamluki aliyeishi jimboni miaka miwili tu Arusha mna akili kweli Segerea mnachagua Barabara mbovu jimboni
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto ambwaga Nondo kura za maoni ubunge Kigoma Mjini

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kura za maoni za kuwania Jimbo la Kigoma Mjini uliofanyika jana Jumanne Agosti 12, 2025. Katika mchakato huo uliofanyika mkoani Kigoma, Zitto ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT Wazalendo, alipata kura 228...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Babu Tale akipika Mrenda baada ya kushinda Kura za Maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini, Mashariki

    Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kura Za Maoni Kufanyika Upya Jimbo La Hayati Ndugai Na Fomu Kutolewa Kwa Laki Tano

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapendeni Sana Watanzania wenzangu. Habari ni Kuwa Kura za Maoni zitafanyika upya katika Jimbo la Kongwa Kufuatia kifo cha Hayati Jobu Ndugai aliyekuwa miongoni Mwa wagombea katika Jimbo hilo. Ambapo pia katika uchaguzi wa kura za Maoni za Awali kabla ya Kifo chake...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Elon Musk awa kinara wa kura za maoni za mtu aneyechukiwa zaidi Marekani

    According to Gallup's latest poll, several current and former Trump administration officials have also seen plunging favorability ratings, including secretary of state Marco Rubio, and president Trump himself, setting the stage for a whirlwind midterm election next year. Trump has since tried...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Nchimbi: Mgombea aliyeshinda kura za maoni apewe kipaumbele cha kuteuliwa au kupendekezwa na vikao

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeelekeza kuwa katika mchakato wa uchujaji na uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, mgombea aliyeshinda kura za maoni apewe kipaumbele cha kuteuliwa au kupendekezwa na vikao husika ili mchakato uendelee. Kwa mujibu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ninaishauri CCM irudie upya kura za maoni nchi nzima

    Kuna malalmiko mengi nchi nzima kuhusiana na kura za maoni zilizopigwa hivi karibuni. Wengi wamelalamika kuwa rushwa ilitawala sana na hasa wale walioshika namba moja hawakushika namba moja kwa haki. Ninaishauri CCM irudie zoezi hili kwa mara ya pili ili haki ipatikane. CCM inapiga vita...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa CCM Geita walalamikia kukithiri kwa rushwa kura za maoni

    Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Geita Mjini mkoani Geita wameeleza kusikitishwa kwao na namna mchakato wa kura za maoni za kupata wagombea ubunge na madiwani ulivyokwenda huku wakidai kugubikwa na rushwa kwa baadhi wagombea na wajumbe. Wakizungumza na JAMBO...
  9. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Moto wazidi kuwaka UWT K'njaro.walioenguliwa kura za maoni watishia kurejesha kadi za CCM

    MOTO WAZIDI KUWAKA UWT K'NJARO,WANACHAMA WATISHIA KUREJESHA KADI ZA CCM HALI bado si swari ndani ya Jumuiya ya wanawake wa Chama cha Mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake na wale walioenguliwa katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kutishia kurejesha kadi za Umoja huo endapo mamlaka za juu za...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wilson Mahera ambwaga Sagini kura za maoni Butiama

    Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Elimu, Wilson Mahera, ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Butiama, akimshinda mbunge aliyekuwa akitetea nafasi hiyo, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Condester Sichwale aongoza kura za maoni Momba

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Condester Michael Sichalwe (Mundy), ameibuka mshindi wa kura za maoni ndani ya chama hicho kwa kupata kura 4,872, sawa na 44.04% ya kura zote halali zilizopigwa. Akitangaza matokeo hayo Sukuru Kataba, katibu wa CCM Wilaya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Temeke lagubikwa na rushwa, vitisho na ukiukwaji wa maadili ya chama ktk kura za maoni

    Na Mwanachama Hai wa CCM TEMEKE Utangulizi Kwa masikitiko makubwa na kwa dhamira ya dhati ya kulinda heshima, maadili, na misingi ya haki ndani ya chama chetu, napenda kuwasilisha taarifa hii maalum ya uchunguzi wa awali kuhusu mchakato wa kura za maoni ndani ya Jimbo la Temeke. Taarifa hii...
  13. vnn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi kweli Babu Tale ni wa kuongoza Kura za maoni?

    Ni kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua Ujinga ni laana
  14. Now and then

    JamiiForums Tanzania Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waandishi wa Habari wakamatwa na Polisi wakifuatilia matokeo ya Kura za Maoni Manyara

    Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, mkoani Manyara. Kwa mujibu wa mashuhuda...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe wa CCM wamuhenyesha Mnyeti kura za maoni, aangushwa vibaya

    Wajumbe hawana utani, wamemtwanga vibaya ndugu Mnyeti. Anaitwa ‘𝘽𝙪𝙜𝙤𝙩𝙖 𝙬𝙖 𝙈𝙞𝙨𝙪𝙣𝙜𝙬𝙞’ (dawa ya Misungwi) jina maarufu alilopewa na wananchi wa Jimbo la Misungwi, wakimaanisha ‘dawa ya Misungwi’ kwa madai kwamba baada ya kuteswa na gonjwa sugu tafiti zimefanyika hatimaye tiba imepatikana...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi waandamana kumkataa mgombea wa Udiwani aliyeshinda kwenye kura za maoni

    Wakuu, Huko Bihawana wajumbe wamechachamaa kwa kuandamana wakipinga matokeo ya kura za maoni. Hawa wananchi hawamtaki diwani aliyeshinda kura za maoni wanasema tangu aingie miaka 10 iliyopita hajafanya kitu chochote cha maana na wao walikuwa wanataka akatwe tangu mapema lakini jina lake...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe waliamsha Simanjiro wakidai Katibu anaharibu mchakato wa kura za maoni

    Mko wapi? Its now obvious kwamba hata huko CCM wanahitaji kufanya reforms Hapa hawa wananchi wanalalamika kwamba kuna rafu zimefanyika kwenye mchakato wa Uchaguzi ambapo huyo Katibu anatuhumiwa kucheza rafu
  19. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Famonga ashinda kura za maoni jimbo la Temeke

    🛑 Famonga ashinda kura za maoni jimbo la Temeke. Fadhil Mohammed Famonga mshindi kura za maoni kupitia CCM jimbo la Temeke – Famonga ambaye amewahi kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Temeke. #AsanteniWajumbe
  20. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni Bukoba vijijini

    Bukoba Vijijini | CCM Kura za Maoni Falis Athumani Buruhan amegoma kusaini matokeo ya kura za maoni baada ya kutoridhika na matokeo hayo yaliompa ushindi Dk. Jasson Samson Rweikiza, aliyeibuka mshindi baada ya kupata kura 6,485 kati ya kura halali 11,582 Falis Athumani Buruhan, alipata kura...
Back
Top Bottom