kupunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    MPYA Limao inasaidia kupunguza idadi ya siku za hedhi?

    Kama ilivyo kwa watu wengi, nimekuwa nikisikia hadithi na imani mbalimbali za mitaani kuhusu matumizi ya limau. Hivi karibuni, niliamua kunywa maji ya limau kwa wingi. Lengo langu halikuwa kufanya majaribio ya kitabibu, bali ilikuwa ni sehemu ya utaratibu wangu tu wa kawaida. Huwa nimewahi...
  2. M

    Ni kawaida unapobadili vituo vya mafuta au aina ya mafuta gari kuwa nzito au nyepesi na kuongeza au kupunguza ulaji wa mafuta ?

    Mfano unapozoea kutumia mafuta ya Petrol ya kituo cha Puma aina ya Unleaed kwenda kituo cha Total wenye Petrol ya Excellium. Niliwahi kuona gari ikiwa nzito au nyepesi napobadili vituo hivyo pamoja na utofauti wa ulaji wa mafuta Au unapobadili vituo vinavyotumia Petrol unleaded lakini kampuni...
  3. A

    KERO Mifumo ya kidigitali ya DSE inaongeza vikwazo kwa wawekezaji badala ya kupunguza

    Kitendo cha Dar es Salaam stock exchange (DSE), kuondoa option ya wawekezaji kuammend order ya kununua au kuuza wenyewe kwenye MTP na badala yake kuwalazimisha kuwasiliana na broker inaongeza urasimu na haina mantiki yoyote kwenye digitalization. Wajitahidi kuongeza urahisi wa wawekezaji...
  4. Roving Journalist

    Jaji Mtembwa: Samia Ardhi Kliniki, Chachu Ya Kupunguza Migogoro Ya Ardhi Simiyu

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Simiyu inaunga mkono juhudi zinazofanywa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha Kliniki Maalumu ya Wanawake “Samia Ardhi Kliniki” ambayo ni chachu ya kupunguza migogoro kabla ya kufikishwa Mahakamani. Jaji wa Mahakama Kuu ya...
  5. idiomer

    Benk zetu pendwa wakati wa kupunguza riba sasa

    Kama benk zetu mbili zinazofanya vizuri sokoni zimepata faida maradufu kwa mara ya kwanza na haijawahi tokea.. Je hawaoni sasa ili kuonesha ukubwa na kurudisha gawio kwa wananchi kutoka mikopo kwa riba ndogo hata 10% kwa wafanyakazi?? Faida yao means RIBA ni kubwa pia asilimia 17% ...
  6. Masalu Jacob

    Njia ya kupunguza msongamano wa magari na watu katika Majiji - Tanzania

    Habari Tanzania ! Leo njoo tuwake kwa maneno makali hapa tuwaweke watu kazi juu juu. Njia za kupunguza na kuondoa msongamano wa watu na vyombo vya moto ni kama ifuatavyo; 1. Tuwekeze kwenye usafiri wa umma. Iwe kuna utaratibu kuwa njia zenye makazi ya watu yaani ile (Density Population )...
  7. M

    Ni kweli mbinu ya pulse and glide, kukanyaga moto kisha uliache gari free kunasaidia kupunguza ulaji wa mafuta ?

    Pulse (Ongeza kasi): Kanyaga accelerator kidogo hadi gari lifikie mfano 50 km/h. (mizunguko ya mjini) Glide (Teleza): Toa mguu kwenye accelerator, acha gari liende taratibu lenyewe Wakati gari limepungua kasi mfano 20 km/h rudia hatua ya kwanza
  8. Fbn

    Tanesco sasa mnaleta matangazo pika kwa umeme unit ndogo mumeshindwa kupunguza bei za unit na kuboresha umeme.

    Sio mpenzi sana wa TV ,Leo tarehe 2 nipo nyumbani nikaona niangalie habari ITV. Sasa naona tangazo la Tanesco linaitwa pika kwa umeme,Yani wanajisifu majiko yana tumia unit ndogo yana uzwa tanesco. Ina maana Tanesco wameshindwa kutatua shida za umeme kufanya umeme kununulika kwa unit ndogo...
  9. Traxtion

    Tanzania tunapaswa kufanya hivi ili kupunguza umasikini, uhaba wa ajira na kukuza lugha ya Kiswahili

    Hapa nitaongelea vipengele viwili na vinahusiana sana, kwa hiyo naomba usome hadi mwisho I. Suala la Uhaba wa Ajira II. Ukuaji wa Lugha ya Kiswahili I. UHABA WA AJIRA Tanzania ina uhaba wa ajira kwa sababu ya uhaba wa makampuni na wawekezaji. Sio tu wawekezaji wa nje, hata wa ndani pia ni...
  10. H

    Njia madhubuti ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania ni kwa kuweka nguvu zaidi kwenye sekta binafsi

    Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
  11. D

    Njia mojawapo ya kupunguza foleni na changamoto ya usafiri

    Habari zenu! Kutoka mbagala rangi tatu mpaka mbezi mwisho ni wastani wa kilomita 36.5km, let's say serikali inatoa tenda na kibali cha usafirishaji wa raia kutoka mbagala hadi mbezi mwisho kwa kampuni Moja binafsi kama ilivokuwa kwa barabara za mwendokasi ili kupunguza foleni itokanayo na idadi...
  12. H

    Mtazamo Wangu Juu ya Kupunguza Tatizo la Ukosefu wa Maji Jijini Dar es Salaam

    ✅ 1. Uboreshaji wa Miundombinu ya Maji Mabomba mengi ni ya zamani na yanavuja, hali inayosababisha upotevu mkubwa wa maji. Serikali na DAWASA wanapaswa kukarabati miundombinu hiyo na kupanua mtandao wa maji hadi maeneo ya pembezoni kama Chanika, Mbagala, Bunju, n.k. Pia, ujenzi wa matanki ya...
  13. tonicimmobility

    DAWASA yaanza fufua visima kupunguza nakisi ya maji Dar es salaam

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza kufufua na kuhuisha visima virefu vya maji ili kupunguza nakisi ya maji ndani ya mkoa wa Dar es Salaam na mikoa jirani. Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameyasema hayo siku Ijumaa Desemba 12, 2025 katika...
  14. K

    PostGE2025 Je, Wazee wa Dar es Salaam wataweza kupunguza juhudi ya Gen-Z kuelekea D09?

    Je, maagizo yatakayotolewa leo kwa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakazungumze na watoto wao na wajukuu wao waachane na D9, ya Kwamba wanatumika vibaya na kulipwa mabeberu, njia hii itasaidia maandamano yaliyoandaliwa D9 kutofanyika??? Pili, kwa wale watakaoshiriki maaandamano hayo, ataagiza...
  15. tonicimmobility

    PostGE2025 Prof. Mkumbo: Dira 2050 ina matarajio ya kupunguza udhibiti wa biashara

    "Dira 2050 imeweka matarajio mahsusi pia: kuwa na sera, sheria na kanuni wezeshi zinazopunguza udhibiti uliokithiri na zinazochochea ukuaji wa biashara za ndani pamoja na kuvutia uwekezaji wa ndani na nje; kuwa na mfumo imara wa kidijitali unaoendeleza biashara zinazochipukia kupitia sera...
  16. ChekoFagia

    Gavi, UNICEF watia saini mkataba wa kupunguza bei ya chanjo ya Malaria

    Muungano wa kimataifa wa chanjo Gavi na mshirika wake Unicef watalipa nafuu ya 25% kwa chanjo mpya ya malaria iliyotengenezwa na Taasisi ya Serum ya India ndani ya takribani muda wa mwaka mmoja, kuwaruhusu kufikia watoto zaidi licha ya kupunguzwa kwa misaada ya kimataifa. - Mpango huo...
  17. Brayan_Jk

    Namna rahisi ya kupunguza mzigo wa kutunza kumbukumbu na kupiga hesabu kwenye Ufugaji wako wa Kuku

    Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku? Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna ambayo haijawahi kutokea,ili uelewe gharama zako zote na mwisho wa siku ufanye maamuzi sahihi kulingana...
  18. Chizi Maarifa

    Game imeisha. Simba watakachoweza ni kupunguza idadi ya Magoli

    Watake wanafungwa, wasitake wanafungwa. HAMNA NAMNA WATAEPUKA KIKOMBE HIKI. YANGA TUMEKWEPA MITEGO YAO YOTE.
  19. VictoriaGreenHerbal

    Jinsi ya Kupunguza Mafuta Mwilini

    Lehemu (cholesterol) ni aina ya mafuta kama nta yanayopatikana kwenye damu na kusambaa sehemu mbalimbali za mwili. Kwa kawaida, lehemu ni muhimu sana kwa: Kuta za seli, Homoni za mfumo wa uzazi, Mishipa ya fahamu, Na hata kutengeneza baadhi ya vitamin. Ukiangalia nyama ya ng’ombe, yale mafuta...
  20. medisonmuta

    Kupunguza Matumizi na Kujenga Uwajibikaji wa Kiserikali Tanzania

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, ambapo mapato ya serikali mara nyingi hayalingani na matumizi yake. Badala ya rasilimali nyingi kuelekezwa katika maendeleo ya wananchi, sehemu kubwa ya bajeti imekuwa ikitumia kwa marupurupu ya wanasiasa, safari zisizo na tija, na matumizi...
Back
Top Bottom