kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bernard Membe kwa kuwa umerudi CCM na kujinasibu wewe una mikono safi basi rejesha bil 46 ulizokwapua kupitia ubalozi wa Libya

    Ripoti za ndani kabisa zinaonyesha kuwa hakuna kampuni yoyote ile iliyopokea mkopo wa bil 46 ili iweze kujenga kiwanda cha saruji huko Lindi. Ripoti za ndani zinaonyesha wewe ukiwa waziri wa nje ulifanya janjajanja na hizo pesa zikakwapuliwa na hata huyu muwekezaji Meis industries hakupata...
  2. JamiiForums Tanzania Waombaji wote kupitia ajira portal naombeni mnijibu hili swala

    Je kwenye uandishi wa barua ya maombi, anwani unaandika ya taasisi husika au unaandika anwani ya sekretarieti ya ajira? pia je barua ya maombi inawekwa pale kwenye kipengele cha Recomendation Letter au inawekwa sehwmu gani? naombeni msaada katika hilo wakuu🙏🙏🙏
  3. JamiiForums Tanzania Ajira bila kupitia Utumishi

    Habari zenu mabibi na mabwana,naomba kuuliza jamani eti ni shirika gani ama idara ya serikali gani inaajiri wenyewe bila ya kupitia utumishi
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yakanusha kusambaza "Monkey pox" kupitia maabara za Naijeria

    Marekani imekanusha tuhuma zinazosambaa mitandaoni kuhusu kusambaza virusi vya "Monkey pox" kupitia maabara zake zilizoko nchini Naijeria ubalozi wa mareakani nchini Naojeria umeeleza FUATILIA HAPA US denies spreading Monkeypox through Nigerian labs The United States has denied social media...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Poland yasitisha kununua gesi toka Urusi: Lakini mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka Urusi sasa yataleta gesi toka urusi kupitia Ujerumani!

    Poland imesitisha mkataba wa kununua gesi toka ujerumani. Sababu ni kwamba hawataki kulipia gesi kwa ruble!! Ila cha kushangaza ni kwamba wanasema yale mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka urusi kwa sasa yataunganishwa kwa ujerumani ili yalete gesi toka ujerumani. Inajulikana kuwa ujerumani...
  6. JamiiForums Tanzania Kupiga chabo kulipelekea kuona tukio la mke kumloga mme wake kupitia chakula

    Tuheshimu privacy za watu chabo sio jambo zuri hata kidogo yanayofanyika ndani ya kuta nne yabaki kuwa confidential unless kama yaliyofanyika yana maslahi mapana kwa jamii. Kwa maslahi mapana ya wanaume wanaoandaliwa chakula na wake zao mimi BabaMorgan nimepata ujasiri wa kusema niliyoyaona...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Ajira wateuliwe wasomi waliofanikiwa kutengeneza ajira kupitia elimu zao

    Huu ni ushauri: Napendekeza Wizara ya ajira wateuliwe wasomi waliofanikiwa kutengeneza ajira kupitia elimu zao. Serikali isitishe kuteua mawaziri watafuta ajira katika hii wizara nyeti. Wanakosa ubunifu kwasababu wanakua hawana uzoefu wala ujuzi unaoweza kusaidia kuwapa uelekeo watanzania...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mila za wafu kuzungumza kupitia watu walio hai zipo makabila gani?

    Katika kabila la wahaya kuna mila inaitwa "nchweke" ambayo marehemu huzungumza kupitia watu walio hai. Je ni kabila gani unalolifahamu lenye mila kama hii
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nani anaelekeza madereva Mwendo Kasi kupakia abiria kupitia milango iliyoangalia barabarani (Kibaha to Kimara)? Hadi abiria wagongwe?

    Nimeona jambo lisilo la kawaida katika eneo la Temboni, gari la mwendo Kasi linapakia abiria kupitia milango inayotazama katikati ya barabara. Kibaya Zaidi wakati wanapakia Kuna gari zinapita kwa Kasi huku abiria nao wakikimbia Kwa Kasi Jambo ambalo kiusalama siyo SAHIHI. Wakati haya yanafanyika...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia tafadhali usitulie na barua ya CHADEMA. Toa kauli tumsome Rais kupitia wewe

    Uamuzi wa Dr. Tulia kuhusu covid-19 baada ya barua ya pili kufikishwa ofisini kwake itatoa taswira kamili ya mama SSH kuhusu demokrasia. Mama kupitia kinywa chake amejipambanua kuwa ni mpenda haki , maridhiano na amani. Sasa uamuzi wa spika utaithibitishia dunia kama anayaishi maneno yake ama...
  11. JamiiForums Tanzania Picha maalum: Muonekano wa picha za watoto wakiwa tumboni kupitia vipimo vya MRI na Ultrasound 2D/3D/4D/HD

    MRI ULTRASOUND
  12. JamiiForums Tanzania Sitakuja kusahau nilivyozama kwenye penzi zito na binti tuliyejuana kupitia JamiiForums mwaka 2013

    Haya ni maboresho ya uzi niliowahi kuuandika ila niliuandika nikiwa sijatulia na maneno mengi nilikosea kutype, uzi huu nimesahisha maneno na niomeongezea vya ziada. Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2013 nikiwa nasoma chuo cha uhasibu Arusha (IAA – Institute of accountancy...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

    Ni halali kuwepo masanamu katika nyumba za ibada,ambayo hayasikii wala hayana msaada wowote ule katika kumuomba Mwenyezi Mungu?
  14. JamiiForums Tanzania Kigezo kipi hutumika kuajiri watumishi kupitia Tamisemi tofauti na connections?

    Kuna jamaa tuko naye home kashadharaulika sana mtaani yeye ni Clinical officer kamaliza 2017 ana miaka 30 na kaambatanisha barua ya kujitolea toka kwa Daktar mkuu wa wilaya kakitolea takriban miaka mi3 lakn safar hii ndo Dr mkuu wa wilaya akaamua kumpa barua sababu kasota sana pale hospital bila...
  15. JamiiForums Tanzania Umewahi kujifunza ujuzi gani kupitia Filamu?

    Tuongelee filamu kidogo.. Inasadikika kuwa baadhi ya movies (Filamu) ukitazama zinaweza kukufundisha ujuzi au masuala ambayo hukuwahi kuyafahamu kwa urahisi kabisa. Mfano movies zinazohusu masuala ya sheria/kesi zinapendwa na wengi sababu zinatoa elimu ya Sheria na mienendo ya haki huku...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wadau wa soka jifunzeni kingereza ili mjue kanuni za soka kupitia Wikipedia

    Mchezaji hawezi kuwa offside kama amezidi mikono... 👇
  17. JamiiForums Tanzania Eti kabla hujaomba zabuni kupitia mfumo wa GPSA ni lazima ujisajili kama mzabuni kwa taasisi unayoomba zabuni?

    Masahihisho: Nimeandika GPSA kwenye kichwa cha habari kimakosa, neno sahihi ni TANEPS. Nimesikia kwamba unaweza omba zabuni kwa taasisi yeyote ya serikali kwa kutumia mfumo wa TANEPS, lakini kwanza hakikisha wewe ni kati ya wazabuni waliosajiliwa na taasisi husika. Hivi hii kitu imekaaje? Kuna...
  18. JamiiForums Tanzania Filamu ya Royal tour ni janja ya mabeberu kujipatia pesa kupitia sekta ya utalii

    Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini? Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman...
  19. JamiiForums Tanzania Sura ya Mungu kupitia Wajapani

    MUNGU ANAPOSEMA ALIUMMBA MTU KWA MFANO WAKE ALIMAANISHA WAJAPANI THEN KWA MBARII WANAKUJA CAUCASIANS( NENO LANGU SI SHERIA). MJAPAN ANAWEZA KUKUOMBA MSAHAMA KWA USUMBUFU KWA KUSIKIA MUITO WA SIMU YAKE. NI WATU CIVILIZED SANA KULIKO RACE NYINGINE YOYOTE HALI HIYO INAFANYA PASPOT YAO KUWA YENYE...
  20. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea suala la tozo ya kodi ya pango kupitia LUKU za TANESCO si sawa

    Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…