kupika

Joachim Mdadu Kikhela Kupika (10 March 1932 – 12 March 2019) was a Democratic Republic of the Congo Roman Catholic bishop.

View More On Wikipedia.org
  1. Haya wale mabachela na wale wasiojua kupika wali mweupe

    Mahitaji: mchele, maji, chumvi,mafuta bila kusahau moto wako wa gesi, mkaa,au kuni etc.hatua ya kwanza washa moto wako, kisha injika sufuria lako jikoni,unapoinjika tu akikisha mchele wako nao upo kwenye maji mambo ya kusema mnapika wali bila kuloweka mchele, ndo mana unatoka unatafunika, na...
  2. CCM ni kichwa ngumuu au ni jiko la kupika fitina?

    Leo nauliza swali fupi tu CCM ni kichwa ngumu...au ni jiko la kupikia fitina? Tangu mwanzo kabisa, kelele hizi za Bandari zetu na wawekezaji toka Emirate yaani DPW , tumekuwa tukikataa ubovu wa mkataba na siyo kumkataa mwekezaji, kwa nini ccm hamuelewi??? Matokeo yake sasa, CCM wamekuwa...
  3. Wali kupika kwa gesi, unaweza kukausha?

    Wana jamii naomba maujuzi ya kupika wali kwa gesi hadi kuukausha kwake.
  4. Ndaisaba Ruhoro Ameishauri Wizara ya Nishati Kuweka Fedha za Kutosha kwa Ajili ya Nishati Safi ya Kupika

    MHE. NDAISABA RUHORO AMEISHAURI WIZARA YA NISHATI KUWEKA FEDHA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA "Rais Samia ameona ni muda muafaka tuendeleze rasilimali ya Gesi Asilia ambayo MUNGU ametupatia Watanzania. Wananchi wa Ngara tunamuunga mkono Rais na timu nzima ya Wizara ya Nishati...
  5. Siku ya kwanza kupika ilikuwaje? Ulichopika kiliiva?

    Wakuu, Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii 😂😂😂. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa bokoboko😂😂. Mpaka nilipokuja kuuwezea ubwabwa nilishazoea na jina la bokoboko. Vipi wewe, siku ya kwanza...
  6. Idara ya afya Wilaya ya Rombo imegeuka Kikosi kazi cha kumwaga Chanjo za UVIKO-19, kupika majina ya watu kuwa wamechanja

    This is Tanzania. Yaliyoendelea, yanayoendelea yanasikitisha. Umeona takwimu za chanjo ya UVIKO-19 kuwa 86% ya Watanzania Wamechanja 😅 Kwa sample ndogo ya Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kazi iliyokuwa inafanyika inasikitisha. Vials za chanjo za UVIKO-19 zimemwagwa sana kwa kushirikiana na...
  7. Katibu itikadi na Uenezi CCM ashiriki kupika

    Vichekesho vya awamu ya 6 vinaendelea.
  8. Nimetumia dakika nane (8) kupika na kuivisha njugumawe!

    Nimenunua njugumawe nusu kilo. Huku Makongo Juu wanauza 1 kg = 3,400 Nikachambua, nikatia kwenye thermos flask kisha nikaweka maji ya moto (100°c), nikafunga chupa. Hapo ilikua saa tatu usiku. Asubuhi nikafungua thermos, nikamimina njugumawe kwenye sufuria. Zilikua hazijalainika ile kuiva...
  9. Hivi mnapata ugumu kujua mboga ya kupika kama mimi?

    Mwenzenu kila nikiwaza mboga ya kula siku hiyo napata tabu sana, yaani natumia muda mrefu sana kuwaza mboga na wakati mwingine nakosa najikuta kila nayowaza nimekula siku za karibu. Yaani kujua mbga ya kupika kwa upande wangu ni tatizo sana natamani hata ningekuwa naambiwa tu pika mboga hii leo...
  10. Namna ya kupika Coconut jum drop...

    Coconut jum drop... Mahitaji ~ 150g ~ 1/2 cup Icing sugar ~ Yai Moja ~ Vanilla / au ladha yeyote kijiko kimoja ~ 1 na 1/4 cup unga ( self rising flour) ~ raspberry jum ~ 1 cup Nazi kavu (na 1 cup kwaajili ya coat ya juu) Jinsi ya kufanya 👇 Katika bakuli saga siagi na sukari mpka...
  11. L

    Mashine ya kichina yenye uwezo wa kupika vyakula 1000 tofauti

    Na Gianna Amani Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanakwenda kasi, kutokana na changamoto mbalimbali zilizopo duniani, binadamu wameendelea kukuna vichwa na kutafutia ufumbuzi ambao umeleta tija katika maeneo mengi sasa. Teknolojia imechangia katika kurahisisha shughuli za binadamu, lakini...
  12. Je, ni sahihi baba mwenye nyumba naye kupangiwa zamu ya kupika na kuosha vyombo?

    Habari za Muda huu Nipo na rafiki yangu, nimekua nikiona ana ratiba yake ya kupika na kuosha vyombo. Watu huku wenzetu wanamapenzi ya kizungu yaani huyu rafiki yangu kila Jumapili huwa anashinda Nyumbani na kufanya shughuli za kupika na kuosha vyombo achilia mbali kufua na kufagia uwanja. Je...
  13. C

    Mtazamo Wangu Juu ya Kuinua na Kupika Vipaji vya Michezo Tanzania

    Habari za leo. Baada ya Tanzania kufungwa na Uganda 1 - 0 katika kuwania tiketi ya kufuzu mashindano ya CHAN, kumeibuka mijadala mingi sana kuhusu kiwango cha timu yetu. Malalamiko mengi yameangukia kwa wachezaji, walimu, TFF, serikali, etc. Naomba niwasilishe maoni yangu kutokana na mimi...
  14. Kwa Tanzania; Kama Mwanamke hajawahi fika Ukanda wa Pwani ni hakika Hajui Kupika chakula kitamu

    Kwema Wakuu! Kuna watu watabisha Kwa ubishi wao tuu lakini kimsingi na kitaalumuna unapozungumzia mapishi Kwa nchi yetu basi hapo utakuwa unazungumzia ukanda wa Pwani. Kama unaishi maisha ya kawaida Kurudi ufukara na hujawahi kuishi Maeneo ya Pwani na hapa nazungumzia DAR es salaam, Pwani...
  15. Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

    Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi. mfano: 1...
  16. Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

    Habari Zenu Wakuu. Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi. Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY...
  17. Serikali haikagui vyakula, kipi kinawazuia wenye migahawa kupika mizoga, mchele wa plastiki, viungo expired, mafuta ya transfoma / nguruwe, n.k

    -kuweka hamira kwenye wali -kupika nyama zilizokaa mda mrefu (kuna namna ya kukata harufu), -kupika mizoga (zipo tetesi kuku wanaotupwa hukaangwa na kuuzwa buku kipande) -viungo viungo viliyo expire kama mchuzi mix, royco na nazi za kwenye makopo. -kutumia mafuta ya transfoma ama ya nguruwe...
  18. K

    Je, anajua kupika? Kwanini jibu gumu siku hizi?

    Kwa wale wanaotafuta wachumba wa kike swala la kujua kupika au kutokujua kupika limekuwa gumu sana siku hizi. Yaani imekuwa kama swali la kibinafsi ambalo ni vibaya kuuliza! Watasema amesoma, mtu wa dini….. kwenye kupika jibu ni gumu sana
  19. R

    Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

    Jamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo. Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki? Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume ni kutafuta pesa, kulisha familia, kusomesha watoto na kutoa ulinzi kwa familia na jamii...
  20. Jinsi ya kupika Ugali mweupe wa mihogo

    Jukwa la mapishi silioni, ninatamani kuelezea jinsi ya kupika ugali wa mhogo na ukatoka mweupe na si mweusi kama bada tulilo lizoea. Bada ninapenda sana tena liwe na mboga ya kuku wa kienyeji apikwe chukuchuku. Back to the topic. Mhogo uliochemshwa na kuiva kabisa ukiwa bado wa moto unwekwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…