kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Ikiwa D, naendesha gari, inawaka R na kupiga alarm ya reverse, P indiketa ya kulia inawaka signal

    Wadau,engine ni 1NZ,nikiwa naendesha iko kwenye D,nikikanyaga breki inawaka taa ya R na alarm,pia taa ya indiketa ya kulia inawaka,ila safari inaendelea bila tatizo,je maji yameingia sehemu? Au waya zimegusana? Msaada tafadhali@jitumirabaminne..
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wagner atokwa matusi baada ya drones za Ukraine kupiga Moscow

    Atukana wakuu wa majeshi Urusi na kushangaa kama taifa walifikaje huku ambapo drones zinapiga Moscow ndani, haingii akilini..... Russian mercenary force boss Yevgeny Prigozhin issued expletive-laden statement criticising failure to protect Moscow. The head of Russia’s Wagner mercenary force...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Biden atishia kuweka vikwazo kwa Uganda baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja. Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
  4. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Kupiga punyeto ni sawa na kufanya mauaji ya kimbari/ mauaji ya halaiki

    Ukipiga asubuhi, ukaunganisha mabao mawili tayari unakuwa umeua watu wawili. Ukipiga mchana moja, na usiku Raunds tatu, tayari ndani ya siku moja unakuwa umeua watoto sita. Fanya idadi hiyo mara wiki, vipi ukipiga mwezi mzima utakuwa umeua wangapi?
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale wote wanaojuta baada ya kupiga peku

    Habari wakuu, Kuna watu wanamtindo wa kujaamiana na watu wasiowaamini kwa Mara ya kwanza au pili bila kondom halafu anaenda mbele kujilaumu au anajialaumu kesho yake, baada ya siku kadhaa anajipa moyo yule alikuwa fresh tu, mara anakutana na mwingine anarudia tena halafu anajilaumu...
  6. mwemweremwemwere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kumpiga chini huyu Mwanamke, hajui kuishi kwa bajeti

    Tupo town hapa lakini cha ajabu anaishi kama tupo Itilima, hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki. Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha kwa kutwa moja! Wakuu hii ni kawaida kweli? Tayari nimefikiria kuchukua maamuzi magumu Ushauri...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kupiga Hatua za Mbele katika Elimu: Kuvunja Mipaka na Kuunda Kizazi cha Wanafunzi Wenye Ubunifu

    Utangulizi Katika uchambuzi huu, tunazingatia mabadiliko yanayohitajika katika sekta ya ubunifu na uvumbuzi, kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu. Lengo ni kuchochea uwajibikaji na kuleta mabadiliko chanya kwa jamii na nchi kwa ujumla. Tutapendekeza hatua za kukuza ubunifu na uvumbuzi...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Sakata dogo kama hilo la Kariakoo Magufuli angelimaliza kwa kupiga simu moja tu

    Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi! Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?! Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Geita walalamikiwa kupiga simu Zimamoto mara kwa mara kuwasalimia Askari

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewalalamikia wananchi wa Mkoa huo wanaotumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi hilo kwa lengo la kuwasalimia Askari waliopo zamu pamoja na kuulizia uwepo wa maji ya kutosha na utayari wao, ambapo limebainisha kuwa hali hiyo inazuia wananchi...
  10. 5

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kupiga punyeto kwa wanawake

    🍮
  11. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupiga vita umasikini wa nguvu kuliko kupiga vita UKIMWI

    Umasikini ni janga kuliko hata UKIMWI, umasikini unahitaji akili kubwa ili ukabiliwe lakini sio ukimwi,umasikini unamizizi lakini sio ukimwi,umasikini ni chanzo cha kusambaa kwa ukimwi lakini ukimwi ni chanzo cha kuongezeka kwa umasikini kwa kiwango kidogo,umasikini unatisha hata zaidi ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani hajawahi kupiga, kutesa na kuua wapinzani wake hapa Duniani?

    Najiuliza juu ya viongozi wanaolaumiwa kwa ukatili na mateso kwa raia. Viongozi kama Iddi Amin , Jean Bokasa na wengine wengi wanalaumiwa. Lakini kiuhalisia Je yupo ambaye hajawahi kufanya ukatili?
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Desiigner ashtakiwa kwa kupiga nyeto ndani ya ndege

    Mwanamuziki Desiigner ashtakiwa kwa kupiga nyeto ndani ya ndege
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe kupiga vita mapenzi ya jinsia moja inawezekana; wapo wapi wanaume waliokuwa wanajichubua na kulegeza viungo kwenye mitandao na TV?

    Hongera vyombo vya dola Kwa kuwafikisha kwenye vyombo vya dola waliokuwa wanajibadili jinsia na kukubali kuingiliwa. Wanaume waliokuwa wanajichubua na kufanyiwa masaji walegee wamepotea mtaan, wanaume waliokuwa wanalegeza sauti kwenye jamii sasa hivi sauti lazima ikaze wasikamatwe; wanaume...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!

    Watu waliojiapiza maisha yao, kufa au kupona, kuuwa ama kuuwawa, ni mafisadi! Ikiwa kweli mnamaanisha kupambana na watu hao hatari, anapotokea mtu mmoja kujitoa mhanga kuwataja hadharani watu hatari kama how, Sisi ambao tuko nyuma ya vita hiyo, jambo moja tu tunapaswa kufanya, Ni kumuunga...
  16. Debby the FEMINIST

    JamiiForums Tanzania Kilwa Lindi: Miaka 30 jela kwa kukiri kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Mahakama ya Wilaya ya Kilwa masoko mkoani Lindi imemuhukumu Muharami Ngayoma maarufu Kibwege (30) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile. Hukumu hiyo ya kesi namba 27 ya mwaka 2023 imetolewa Aprili 17,2023 na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Carolini Mtui...
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Matajiri wanaitwa Ikulu kupata futari, sisi walalahoi tutaitwa 2025 kupanga foleni kupiga kura!

    Wandugu asalaam! Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Australia: Aweka rekodi ya kupiga ‘push ups’ 3,200 kwa saa moja

    Lucas Helmke (33) ameweka rekodi hiyo katika ukumbi wake wa mazoezi uliopo Brisbane kuvunja rekodi iliyowekwa na raia mwenzake wa Australia, Mwaka 2022. Kila push up ilibidi isiwe na dosari ili kufikia viwango vinavyohitajika kwa rekodi rasmi ya Dunia, akitakiwa kuuweka sawa mwili wake...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za Plaster

    Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster na ufundi nyumba hii ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Pablo Escobar aliwezaje kupiga picha mbele ya White House? FBI na CIA hawakumtambua?

Back
Top Bottom