Wajumbe wa Kata ya Tabata Jimbo la Segerea, jijini Dar es Salaam wametakiwa kutoka ndani ya ukumbi mara baada ya kupiga kura.
Hata hivyo, tangazo la kuwataka watoke ndani kwenda nje limeibua malalamiko leo Jumatatu, Agosti 4, 2025 katika ukumbi wa Green Light kutoka kwa wajumbe.
Hatua hiyo...