Hayati Rais Magufuli, Machi 28, 2019 alifanya ziara ya kustukiza kwenye karakana za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kukagua ukarabati wa ndege ya serikali iliyopakwa rangi kwa gharama nafuu takriban Tsh milioni 5 ikilinganishwa na gharama zilizopaswa kwenda kutumika nje ya nchi kiasi cha zaidi...
Shida TISS inawachukulia mataifa mengine kama vilaza walivyo wao.Ni tamia neno kilaza kama heshima kubwa kwao.
Mlichokuwa mnafanya kutrace simu za watu ambao mnaona watavujisha taarifa zenu na uchafu wenu kumbukeni internet tu inawapa shida.
Haya mtaweza kutrace hivi vifaa hata Kishada cha...
Friends and Our Enemies,
Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka VATICAN ambako ni makao makuu ya kanisa hilo kuwashitaki viongozi wa kanisa hilo wa hapa nchini kwa...
Kurundika wasomi wote wasome Dar kuna changia mazingira ya ushawishi wa vijana ambao wanatoka mikoani kutoshawishika na mikoa mingine.
Hongera UDSM kufanya campus yenu kuwa mkoa wa kagera ili kuvutia wanaotoka mikoa ya kanda zaiwa na nchi jirani kusoma.
Kuweka campus kubwa kuna saidia...
https://www.instagram.com/reel/DRRCZIBgsNx/?igsh=MXZvNWQwdHFlbGRyZg==
https://www.instagram.com/reel/DRRQh0SDDUj/?igsh=MTdvanF1dTN1YWQ1aQ==
ALLY KIBAO alikuwa Muislamu, lakini leo hawa waandamanaji ndio wanaotaka huu utekaji uishe, polisi wawajibishwe au watekaji wapatikane. Lakini hata...
Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025
Wamesema kuwa hasira za wananchi zimechangiwa na kukosekana kwa sehemu ya...
Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao.
Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
Ni wakati sasa mahakama za Tanzania kufanya mabadiliko ktk sheria zake ili kuwezesha hati za wito kupelekwa na kupokelewa kwa whatssapp na sms kama njia ya haraka na sahihi na yenye kupunguza gharama kwa mdai na mdaiwa kama ilivyo kwa e.mail.
Mahakama haiwezi kujinadi kuwa imeingia kwenye...
Niko mkoani Mwanza, nina kama tani 200 za mchele, kwa sasa ninafanya biashara ya kawaida hapa hapa Mwanza
Ninahitaji kupanua soko langu na kuanza kusafirisha kupeleka nchi jirani.
Ninaomba iwapo yupo mdau ambae ana uzoefu na biashara hiyo anisaidie mchakato mzima kuanzia vibali na namna ya...
kuwaamsha watoto saa tisa au saa kumi waende shule
Kuwapeleka boarding wakiwa wadogo
Hakuna mapumziko likizo ni tuition mtindo moja
Halafu bado wana uwezo wa kawaida kabisa ama kupitwa na watoto wengine wanaoamka saa moja, wapo day, likizo ni kwajili ya mapumziko hakuna tuisheni.
Na hapo...
Chondechonde wazazi wenzangu msifuate mkumbo wa kupeleka watoto kusoma nje kama hauna kipato cha uhakika. Huko mnakopeleka watoto wenu kwa fedha zenu za kibubu yanawapata haya
1. Wanaolewa bila kupenda
2. Wanapakuliwa mitaro kwa wakiume mwisho ni ushoga
3. Wanavutishwa madawa ikiwemo bangi
4...
Je, hii inaweza kuwa mara ya kwanza katika historia kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii kusababisha ongezeko la matumizi ya nyuklia?
Rais Donald Trump, aliyekerwa na kauli za Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev, anasema ameamuru manowari mbili za nyuklia kusogea karibu na Urusi...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba ameamuru nyambizi mbili za nyuklia za nchi hiyo zipelekwe kwenye maeneo mawili ya kimkakati kufuatia matamshi aliyoyataja kuwa ya "kijinga na uchochezi" yaliyotolewa na Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev. Hivi karibuni Medvedev alitishia...
Nimeshangaa sana mtia nia mmoja huko Chato anajinasibu juu ya hii plan.
Eti mizigo ya kwenda Burundi, Drc na Afrika ya kati ipitie Chato kwenye bandari ya Nyamirembe kupitia Mwanza kwa njia ya treni.
Sasa huyu mtia nia mbona hajitambui? Nini maana ya kujenga Sgr mpaka Kigoma?
Hizi ni siasa gani?
Ni desturi mbaya kukusanyika mahali pa matanga na kukaa hapo hapo siku nyingi kuwatia gharama waliofiwa.
Mtu aliepatwa na msiba lazima apewe mkono wa tanzia maana atafarijika lakini kuiendeleza muda mrefu kutamwongezea huzuni na mzigo.
Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo.
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.
Hakuwaacha hapo tu, kawaambia...
Afisa habari wa Yanga amesema wana ratiba ya kupeleka ubingwa NBC PL, ili kama pongezi Kwa Rais Samia
Binafsi nimekereka na mambo ya uswahili yanayofanywa na club yangu
Kama viongozi wa Yanga wanataka kufanya uchawa wafanye wenyewe binafsi ila wasitumie nembo ya Yanga kufanyia uchawa
Huu ni...
Imagine Uto leo Wana hamu ya kucheza mechi, TAREHE 15 hamu Yao ilikuwa wapi mpaka wakavaa na Jezi zenye maandishi ya Hatuchezi Ng'oo? BODI ya ligi na TFF hawajatueleza aliyebadilisha Tarehe ni nani? kwa kanuni ipi kwa makubaliano na nani? kwanini bodi ibadilishe Tarehe na kupanga Tarehe mpya...
Wanabodi
Hili ni Bandiko la Voices from within,hivyo naomba kulianza kwa disclaimer
Leo saa hizi,ni usiku mkubwa!,hii ndio mida wenye mamlaka ya kweli,huongea na watu wao,, achilia hawa wenye mamlaka ya kukasimiwa,hapa tunazungumzia mamlaka iliyo KUU ya Ukweli, achilia hizi
mamlaka za kuja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.