kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Wajemeni eeh Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia! Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko! Najua humu kuna wengi tu...
  2. JamiiForums Tanzania Ulikabiliana vipi na ndugu waliokuzonga baada ya kupata ajira

    Wale wa kishua wanaweza wasinielewe sana. Ila wale wanaotoka familia za hali duni kama mimi mtanielewa. Ukishapata ajira rasmi hasa serikali ndugu huja kama manyingu kutaka misaada. Hiyo inakuwa kabla hata hujajipanga vizuri bado unajitafuta. Sijui wewe ulikabiliana nao vipi. Kwangu baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Misaada namna ya kupata app ya loan online

    Hatari Wana jukwaa Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu. Ninahitaji kuwa na app ya kukopesha pesa mtandaoni lakini sijui ninaipataje, ninafahamu hum Kuna wataalamu WA Kila kitu. Hivyo ninaomba msaada wenu wakuuu kuhusu njia za kutengeneza hiyo app au gharama zake mpaka niwe na app...
  4. JamiiForums Tanzania Inaonekana kama Elon Musk anapenda Nudity, Twitter akaita X, Wikipedia akapendekeza Dickpedia, Grok kupata kashfa ya kuvua Wanawake nguo

    Binafsi sijajua ni kipi kilichopo kwenye akili ya Elon Musk, pengine ana uraibu wa ngono kwasababu matukio yake ya kashfa za ngono yanafuatana Baada ya kununua Twitter akabadilisha jina na kuitwa X lakini pia akaruhusu maudhui ya ngono hata za ulawiti X ni alama ya utambulisho wa ponografia kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata AVN ,nataka kukushtaki chuo

    Habari za muda jukwaa la sheriff,nimemaliza chuo tangu 2020 lakini mpaka leo sina AVN ili niweze kujiunga na masomo ya chuo kikuuu. Sasa basi baada ya kuona napigwa danadana kwa kutopeleka matokeao yangu Nacte,sasa nafikiria kwenda mahakamani. Naombea ushauri wanasheria kwenye hili.
  6. JamiiForums Tanzania Moja ya faida kubwa ya mazoezi ukiachana na kujikinga na magonjwa ni, Kukinga viungo vya ndan kupata madhara

    Unapokua mtu wa mazoezi sana, faida kubwa ni kujiepusha na magonjwa yasioambukizwa kama vile matatizo ya insulin kupanda na kushuka ghafla(DIABETES)[KISUKARI], baadhi ya kansa na magonjwa mengine mengi basi faida ingine kuu ni misuli kukakamaa: faida yake niviungo ya ndan vinapata ulinzi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Ni nadra sana mtoto anaefanya mazoezi kupata magonjwa yasioambukizwa

    Watoto ama vijana walio chini ya miaka 30, wana advantage moja kubwa sana katika afya! KUPONA MAPEMA mtoto akiumia kama ni wa mazoezi basi haihitaji hospitali hua anapona mwenyewe hata kama ni tatizo kubwa kama kuvunjika hua matibabu yao ni haraka na wanapona mapema, hivo basi wewe kama mzazi...
  8. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi Tsehai: Treni ya SGR inahujumiwa. Yaharibika usiku huu Ruvu Station, abiria wanatembea zaidi ya 6KM kupata usafiri mbadala..!!

    SGR inahujumiwa waje wapewe wakezaji - na safari hii watapewa Warusi si wachina wallahi! LEO JIONI Treni hii limeharibika RUVU PORINI huko. Abiria wameambiwa Washuke Waanze kutembea na kwamba kuna Treni inakuja kuwachukua. Wataanza na abiria wa VIP—abiria wametembea zaidi ya KILOMITA 6 hakuna...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wanahitaji msaada wetu ili waweze kupata matibabu

    . Hawa mnaowaona hapa ni Watanzania wenzetu ambao wamepata madhira mbalimbali. Picha ya Kwanza anaitwa Kuringe Sawere huyu alitekwa na Maofisa wa Polisi Disemba 4, 2025 baada ya wiki mbili kupita kuna msamalia mwema alitujulisha kwamba Kuringe kafichwa kituo cha Polisi Chang’ombe Dar es salaam...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tumeshindwa kuwa na kiwanda cha kupokea takataka na kupata umeme, gesi, mbolea na malighafi?

    Nahisi serikali ya CCM inapenda wale wawekezaji wasiotaka mema nchi wala kuona inapiga hatua mbele. Vyanzo vingi vya uchafu vinaweza kuwa recycle na kuwa na faida. Mfano mpaka sasa tumeshindwa kwenye majiji kutatua shida ya maji wakati mitaro ya maji,mito na vyanzo vingine ikawa msaada...
  11. JamiiForums Tanzania Reincarnation...nazidi kupata uhakika binadamu hatufi

    Naam hili jambo nilikuwa nalichukulia poa...lakini baada ya kuamua kufuatilia kidogo naanza kupata uthibitisho pasi kuwa na shaka juu ya mzunguko wa maisha ya viumbe sisi bin adamu. Kwa kifupi sana tafiti ni nyingi lakini......nilipata kuishi nyanda za juu kusini mwa Tanzania nikiwa kijana...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbinu ya kupata milioni 2 kabla mwaka haujaisha

    Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu. Nahitaji pesa, pesa, pesa. NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuzimwa kwa Intaneti wakati wa uchaguzi wa 2025, kuliumiza wengi, haki ya kupata taarifa iliminywa

    Tarehe 29 Oktoba 2025, Tanzania iliingia kizani kimawasiliano baada ya Mamlaka kuzima Mtandao wa intaneti (internet), upande wa pili Serikali ikidai kufanya hivyo kumeweza kuwadhibiti waandamanaji kuhamasishana kuandamana. Kuzimwa kwa Mtandao kulisababisha madhara mengi kwa Wananchi ikiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vurugu zilipangwa siku ya uchaguzi kwa sababu walishajua CCM inaenda kupata ushindi mkubwa.

  15. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wakiitaka kupata HAKI ya kweli wasiwategemee wanasiasa na viongozi wa dini

    Wanasiasa wote duniani ni wachumia tumbo wapo kwaajili ya matumbo yao na famila zao na ndiyo wasaliti wakubwa kwa jamii zao. Viongozi wa dini na waumini wao ndiyo wasaliti wakubwa wa wananchi kwani wamesaliti UAFRIKAWAO na ASILI ZAO na kufuata imani,mila na desturi za WAKOLONI ambao ni warabu...
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu wapi naweza kupata Laptop nzuri kwa dar es salaam

    Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe reasonable
  17. JamiiForums Tanzania Hali ilivyokuwa Trh 29 na 30 Oktoba uliwezaje kuishi (survive). Je ulitembea umbali gani hadi kupata usafiri?

    hali ilivyo trh 29 na 30 October kwako uliwezaje kusavaivu(survive) je ulitembea umbali gani hadi kupata usafiri? Mimi nilipangiwa kusimamia kituo cha kupigia kura pale mnazi 1, lumumba tulifika siku 1 kabla kama wasimamizi tukalala hapo ,tukalipwa posho elfu 90 lkn moyoni nilitaman sana kutoka...
  18. JamiiForums Tanzania Nanauka achana na hiyo njia ya maigizo ya kisiasa kupata attention ya vijana

    Kupanda bodaboda, kula kwa mama ntilie ugali dagaa na maigizo mengine ni chini hata ya matarajio ya aliyekuteua. Ishu za hivyo waachie wanasiasa wasio wabunifu waliozoea uongo. Wewe kufanya mbanga kama hizo ni kufanya tu uonekane huna jipya. Ninadhani uwe tu realistic. Nenda onana na vijana...
  19. JamiiForums Tanzania Tunaweza kupata viwanja kwenye Bahari ya Hindi

    Habari Tanzania ! Sasa leo nataka kuwauliza hivi hakuna uwezekano wa kupata Viwanja vya kutosha; endapo tukifunika hiyo Bahari ya Hindi pale Kigamboni na Kurasini maana naona kama hilo eneo halina kazi alafu pia tunaweza kupata Eneo kubwa la nchi kavu vijana wakapata maeno ya kufanya Makazi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…